Left handers ndo tulivyo.....take it easyHata huyu jamaa anavyoshika kalamu kuandika huwa simuelewi, sijui ndio wale wale!!😎😎😎
![]()
![]()
![]()
"Huyo ni wa Kiingereza ?,,,,,,??????,,"Kuna vitabu vinakuwa na lugha mbili, ukigeuza huku may be kishwahili na upande mwngne may be kiingereza so ukiwa unasoma upande mmoja automatic kitabu kinakuwa kimegeuka kwa upande mwngne
Hata kama Obama anatumia shoto lakini jinsi daftari linavyowekwa ni kama upside down!Left handers ndo tulivyo.....take it easy