mwambie, amezidi kuniringia. Nishajifunza; sitongozi tena mwanaume maana nimejifunza the hard way! Lol
Dah hii makitu ni noumer yeuwiiiiiiii...........
Nimeimiss jamani khaaaaa!!!!!!
na hii hapa
Hizi picha zimetengua maombi yangu.....
usijali Vin diesel watakuja na kitu cha kudilute, maombi lazima yaendelee, sheitwan shindwa kwa jina la anayeabudiwa na vin Diesel
tushahairisha ibada mpaka hapa....tuendelee kushusha vyombo tu....
me simo tena ohoooooooooooo naona kondoo kagoma kuingia kundini , muhawi lara akuwahie nafasi kwenye viti virefu maana siku ka ya leo memba wanaongezekaga
Hizi picha zimetengua maombi yangu.....
yapi tena mkuu!!!!!
He he he, kumbe
Hapo blue:becky::becky::becky:
unamjua kongosho? namtafta.
He he he he shostito
Happy to see you back
Twnede chit chat tukasherehekee basi