Kauli zitakazomponza Magufuli na serikali yake

Nchi hii ina hela za kumwaga.Wageni wanashangaa kuona watanzania wenyewe kama watu binafsi walivyozubaa.

Wewe kampuni hadi kutoka jirani tu hapa kenya wanakuja waanzisha bishara za kuzalisha vifaranga wanatajirika kibao mtanzania kazubaa tu anaangalia serikali imtafutie fursa.

Ziko kampuuni kama STEERS wanauza chips kuku wametajirika hadi basi.

Wako wafanyabiashara kama SAMAKI SAMAKI anajiuzia chakula chenye samaki ana maduka kila kona Dar salaam,MTANZANIA KAZUBAA TU ANASUBIRI SERIKALI IMTAFUTIE FURSA.

Raisi anaposema Tanzania kuna utajiri hatanii.Tatizo ni watu waliozubaa kama wewe.

Uganda ukienda walimu badala ya kulalamika huungana na kuanzisha shule zao.Wakiwa wao ndio wamiliki na walimu.Mashule mengi makubwa ya kutisha uganda yanamilikiwa na walimu.Tanzania watu wamezubaa tu unakuta mtu ana PHD anasubiri serikali imtafutie fursa hajui cha kufanya kama yule DK.RUTENGWE aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro
Umenifurahisha sana Dr anamuomba jpm msamaha ikiwa ni too late
 
Magu wala hatakiwi kuendelea kusema nchi hii si maskini, alikwishayasema hayo wakati wa kampeni, tukamsikia. Sahizi anatakiwa kuwaonesha Watanzania kuwa nchi yao ni tajiri, na hayo wananchi hawastahili kuambiwa bali wanatakiwa kuona katika maisha yao ya kila siku.
 
Nchi hii ina hela za kumwaga.Wageni wanashangaa kuona watanzania wenyewe kama watu binafsi walivyozubaa.

Wewe kampuni hadi kutoka jirani tu hapa kenya wanakuja waanzisha bishara za kuzalisha vifaranga wanatajirika kibao mtanzania kazubaa tu anaangalia serikali imtafutie fursa.

Ziko kampuuni kama STEERS wanauza chips kuku wametajirika hadi basi.

Wako wafanyabiashara kama SAMAKI SAMAKI anajiuzia chakula chenye samaki ana maduka kila kona Dar salaam,MTANZANIA KAZUBAA TU ANASUBIRI SERIKALI IMTAFUTIE FURSA.

Raisi anaposema Tanzania kuna utajiri hatanii.Tatizo ni watu waliozubaa kama wewe.

Uganda ukienda walimu badala ya kulalamika huungana na kuanzisha shule zao.Wakiwa wao ndio wamiliki na walimu.Mashule mengi makubwa ya kutisha uganda yanamilikiwa na walimu.Tanzania watu wamezubaa tu unakuta mtu ana PHD anasubiri serikali imtafutie fursa hajui cha kufanya kama yule DK.RUTENGWE aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro
Subirini soon tutaanza kugawa zile milioni 40 kila kijiji hvyo subr fungu lako mkuu hata usifanye kaz maana pesa zaja.
 
Mkuu kwa hiyo wewe huamini kwamba nchi hii ni tajiri? Huwezi kuamka leo ukakuta mana imejaa nchi nzima hivyo mnaanza kula na kusema sasa kweli nchi ni tajiri. Naamini baada ya muda huduma za kijamii zitaboreka na kuimarika. Tumpe muda Rais ao yeshe jinsi atakavyotumia utajiri wa nchi kuneemesha nchi na wala si kuneemesha wananchi wachache. Miaka mitano wala haiko mbali, apewe nafasi asipoonyesha hayo jipange 2020 si basi. Adui yako si umuombee njaa. Tuache siasa. Wenzetu Kenya hawajatulia baada ya uchaguzi wa 2012 wao wamekuwa wakipiga siasa tu na mwaka kesho uchaguzi huuuu, hakuna kitu. Hata bomba tumewapiga!!

Rais gani huyo wa kupewa muda? Huyu wa CCM "ile ile" ndiyo alete neema?

Ghoosh!...mtasubiri sana, mwisho wa siku miaka mitano inakatika na wanakuja na slogans zingine tamu zaidi na kusema "...tumejipanga na sasa tumpe miaka mingine mitano ili aanze kufanya kazi!!"

Kudadeki......HAPA KAZI TU, HAKUNA LONGOLONGO!!
 
Anauza makoti ya ngozi Dar?

Acha ushamba ww, kila anayenunua koti hapo Dar lazima alivalie Dar? Au unadhani ukiwa Dar huna ruhusa ya kwenda nje ya Dar kwenye hali ya baridi?
 
Nchi hii ina hela za kumwaga.Wageni wanashangaa kuona watanzania wenyewe kama watu binafsi walivyozubaa.

Wewe kampuni hadi kutoka jirani tu hapa kenya wanakuja waanzisha bishara za kuzalisha vifaranga wanatajirika kibao mtanzania kazubaa tu anaangalia serikali imtafutie fursa.

Ziko kampuuni kama STEERS wanauza chips kuku wametajirika hadi basi.

Wako wafanyabiashara kama SAMAKI SAMAKI anajiuzia chakula chenye samaki ana maduka kila kona Dar salaam,MTANZANIA KAZUBAA TU ANASUBIRI SERIKALI IMTAFUTIE FURSA.

Raisi anaposema Tanzania kuna utajiri hatanii.Tatizo ni watu waliozubaa kama wewe.

Uganda ukienda walimu badala ya kulalamika huungana na kuanzisha shule zao.Wakiwa wao ndio wamiliki na walimu.Mashule mengi makubwa ya kutisha uganda yanamilikiwa na walimu.Tanzania watu wamezubaa tu unakuta mtu ana PHD anasubiri serikali imtafutie fursa hajui cha kufanya kama yule DK.RUTENGWE aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro
huna lolote nenda katafute bangi nchi hii kwa jinamizi hili la ccm labda uwe mwizi tu ndio utafanikiwa nchi hii ni ya mijizi na wageni tu ndio wanaofanikiwa ebu niambie wakulima wa korosho nani kafanikiwa kwa nchi hii ya CCM wakati korosho inauzwa madukani $16 mtanzania ana nini zaidi ya njaa ilioletwa na CCM
 
Back
Top Bottom