Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!