Hili jukwaa si lilikua halipo? kwanini limerudi?habar za wakati wana jf kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana.bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo~
1.ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho kumwambia mama yako ilikuwa lini(jamani sasa ye inamuhusu)
2.ukimnunulia simu ya tochi utamsikia"unaninunuliasimu ya tochi kwani mi mlinzi"
3.mkigombana kidogo utamsikia"haloo ukisusa wenzio wala babu we"
4.kauli nyingine ni ile kuwaita wanaume mabuzi kwani sisi wanyama mpaka mtuite mbuzi mko*e utasikia"shoga nimelipata buzi hilo linahonga"
wadada hizi sio kauli nzur acheni kama kuacha ni ngumu mwaka ujao mtatoka ngeu
Ndo uvumilie tuu kama sie ukitaka ushindane na ukuta bureeeeeenao si watoe malalamiko yao hapa kama kweli hawapendi!
Wewe umekutana na vimeo.... Wanawake sio wote wako hivyo... Asilimia kubwa sana wana upendo wa dhati wanajali na wana heshima kuliko hata wanaume wengihabar za wakati wana jf kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana.bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo~
1.ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho kumwambia mama yako ilikuwa lini(jamani sasa ye inamuhusu)
2.ukimnunulia simu ya tochi utamsikia"unaninunuliasimu ya tochi kwani mi mlinzi"
3.mkigombana kidogo utamsikia"haloo ukisusa wenzio wala babu we"
4.kauli nyingine ni ile kuwaita wanaume mabuzi kwani sisi wanyama mpaka mtuite mbuzi mko*e utasikia"shoga nimelipata buzi hilo linahonga"
wadada hizi sio kauli nzur acheni kama kuacha ni ngumu mwaka ujao mtatoka ngeu
Dame is a noble title the equivalent of sir. The same way you can call your man' my knight in shining amour' he can call you his dame which is same as knight(sir)Hhhha hiyo no 4 mnaona kero kuitwa hivyo na nyie muache kutuita demu (mademu)
Eti dame inamaana ya "sir"duuu ina maana tunaitwa mwanaume ingali ni mwanamke (where is my dictionary hii lugha iliyokuja na meli duu ni shiiida)Dame is a noble title the equivalent of sir. The same way you can call your man' my knight in shining amour' he can call you his dame which is same as knight(sir)
Love is blind....Hizo kauli hutumiwa na wanawake wa kiswazi sana, yani wale ambao hata shule walikimbia umande,wao hawajishughulishi na chochote in short wapo wapo tu, sasa wewe mpaka uanze mahusiano na watu kama hao wastarabu unakua huwaoni??
Kwani sio simu??!!Namba mbili sawa kabisa. Kwanini umnunulie simu ya tochi? ....
demu=DAMEHhhha hiyo no 4 mnaona kero kuitwa hivyo na nyie muache kutuita demu (mademu)
Swala sio simu! But aina ya simu.Kwani sio simu??!!
Hahaaa mkuu hapo kwenye red umetisha mbayaaaaa, inaonekana unaasili ya wale jamaa zetu akina 'muraa' kwani nao huwa hawapendi maskhara atii!hilo ndo kabisa nikisikia naitwa hivyo nampa mtu vitasa hapo hapo
Kivipi? Kwahio kitochi sio simu sahihi kumpa mwanamke/msichana? Kama ndio uwezo ulipoishia? Sio kila mtu anaweza kununua iphone 6Swala sio simu! But aina ya simu.
Labda mtu ka @Heaven Sent anaweza kukubali.
But sijui @atoto anaweza kukubali....