...
muafikiane mapema, hata kabla hamjaanza kwani huenda kajisahau mkiwa katika lindi la nyege!
...
Wanaume wengine hutoa kila kisingizio na kisababu cha kutotaka kutumia kondom Mara kadhaa atasema:
"
- Ninataka kuwa karibu nawe zaidi mpenzi! Nakupenda sana! kwani wewe hunipendi?" ...
JAMANI VIDUME TUANGALIE SANA NA HIZI KAULI
zile condom za sultan zilikuwa na allergy kweli......baada ya kitendo sehemu za siri zinawasha kweli kweli......wengine husema hii kitu hunipa allergy!
zile condom za sultan zilikuwa na allergy kweli......baada ya kitendo sehemu za siri zinawasha kweli kweli......
WOS plz ipeleke hii thread kwenye mahusiano na mapenzi
...Mbona mnawalaumu sana akina baba?
Umeambiwa kuwa wadada saa zote hupenda condom?
Hii thread ipelekwe ktk Mapenzi
WOS plz ipeleke hii thread kwenye mahusiano na mapenzi
JJ
I wish I could do just that!
Mimi siyo Mod wala initiator wa hii thread.
WoS
Wanaume wengine hutoa kila kisingizio na kisababu cha kutotaka kutumia kondom Mara kadhaa atasema:
"
- Ninataka kuwa karibu nawe zaidi mpenzi! Nakupenda sana! kwani wewe hunipendi?" ...
- "kufanya mapenzi na kondom ni kama kula peremende na karatasi yake!"...
- "Kwa mara moja tu, basi tufanye leo kesho tutatafuta hizo kondom" ...na kadhalika
muafikiane mapema, hata kabla hamjaanza kwani huenda kajisahau mkiwa katika lindi la nyege!
JAMANI VIDUME TUANGALIE SANA NA HIZI KAULI