kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,694
- 2,132
Mbona huyu hafungi mafisadi, anafunga Wanasiasa?
Tutanyooooookaaaa tuuuuuuKumbukumbu na ushahidi unaniambia kuwa manabii hawakutulia bali wote kwa umoja wao walipaza sauti kila ilipoitwa leo kutabili Raisi ajaye.
Na utabili huu ulianza mwishoni mwa mwaka 2010 na kuzidi kati ya miaka ya 2014.
Ni wakati ambapo timu ambayo ilikuwa machachali na timu ya hatari tena ilikuwa balaa katika tabiri nyingi za nafasi ya URAISI na Mungu wa Mbiguni alikuwa upande wao kutimiza tabiri hizo.
Zifuatazo ni baadhi ya tabiri hzo.
>Tunataka Raisi ambaye hata angalia sura ya mtu (Mhs. John Myika 2012 akiwa Kirombero Morogoro).
>Tunataka Raisi mkali asiye cheka cheka na mtu (Mch. Msigwa akuwa Mbeya).
Tunataka Raisi asiye safiri safiri nje (Mh: Freeman Mbowe akiwa kanda ya Ziwa 2013).
>Nchi hii inahitaji Raisi Dikteta na sivinginevyo (Mh: Tundu Lisu akiwa Dar).
>Tunataka Raisi ambaye atakuwa anakusanya kodi (Mh: Freeman Mbowe akiwa Tandahimba).
>Tunataka Raisi atakaye isimamia elimu ya Tanzania ( Viti Maarumu Jina ....... Bungeni).
>Tunataka Raisi ambaye atarudisha nidhamu serikalini (Mh: Godbless Lema Mbeya).
>Nchi hii inataka Raisi atakaye wafunga jela mafisadi (Mh: Heche Tarime).
>Tunataka Raisi atakayerinda Mali asili zetu (Mh: Mchungaji Msigwa 2014 Bungeni).
>Anatakiwa Raisi atakaye kuwa anakerwa na rushwa ( Dr. Wilbroad Slaa akiwa Dar).
Nchi hii inataka Raisi atakayekuwa na maamuzi magumu (Mh: Selasini akiwa Rombo ).
Kama kumbukumbu haziko sawa twaweza rekebishana.
Raisi wetu tukubali au tukatae ametusaidia sana kuwaelewa wanasiasa maana mtu anasema tunataka Raisi atakaye kuwa anakusanya kodi wakati yeye halipi kodi.
Tunataka Raisi wa kufufua shirika la ndege TZ, lkn ndege zikinunuliwa wanasema cyo priority.
Tunataka Raisi asiyesafiri, sasa hasafiri wanasema anatakiwa kwenda kutembea nchi za wenzetu.
Tunataka Raisi atakaepunguza/kuondoa michango mashuleni baada ya kufanya hvo wanasema ilikuwa bado kwa TZ kutoa elimu bure.
Tunataka Raisi anatakayesimamia madini yetu, baada ya kuanza kufanya hvo wanasheria wa upinzani wanawaunga mkono wezi wa madini.
Kwakweli siasa ni shdaaa, lkn naamini Mh: JPM atatuvusha salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitashukuru sana sana kupata source au link ya hii kitu hapo juu.>Nchi hii inahitaji Raisi Dikteta na sivinginevyo (Mh: Tundu Lisu akiwa Dar).
Walishau kuzungumzia demokrasia apparently kwa sababu wakati ule haikuwa shidaKumbukumbu na ushahidi unaniambia kuwa manabii hawakutulia bali wote kwa umoja wao walipaza sauti kila ilipoitwa leo kutabili Raisi ajaye.
Na utabili huu ulianza mwishoni mwa mwaka 2010 na kuzidi kati ya miaka ya 2014.
Ni wakati ambapo timu ambayo ilikuwa machachali na timu ya hatari tena ilikuwa balaa katika tabiri nyingi za nafasi ya URAISI na Mungu wa Mbiguni alikuwa upande wao kutimiza tabiri hizo.
Zifuatazo ni baadhi ya tabiri hzo.
>Tunataka Raisi ambaye hata angalia sura ya mtu (Mhs. John Myika 2012 akiwa Kirombero Morogoro).
>Tunataka Raisi mkali asiye cheka cheka na mtu (Mch. Msigwa akuwa Mbeya).
Tunataka Raisi asiye safiri safiri nje (Mh: Freeman Mbowe akiwa kanda ya Ziwa 2013).
>Nchi hii inahitaji Raisi Dikteta na sivinginevyo (Mh: Tundu Lisu akiwa Dar).
>Tunataka Raisi ambaye atakuwa anakusanya kodi (Mh: Freeman Mbowe akiwa Tandahimba).
>Tunataka Raisi atakaye isimamia elimu ya Tanzania ( Viti Maarumu Jina ....... Bungeni).
>Tunataka Raisi ambaye atarudisha nidhamu serikalini (Mh: Godbless Lema Mbeya).
>Nchi hii inataka Raisi atakaye wafunga jela mafisadi (Mh: Heche Tarime).
>Tunataka Raisi atakayerinda Mali asili zetu (Mh: Mchungaji Msigwa 2014 Bungeni).
>Anatakiwa Raisi atakaye kuwa anakerwa na rushwa ( Dr. Wilbroad Slaa akiwa Dar).
Nchi hii inataka Raisi atakayekuwa na maamuzi magumu (Mh: Selasini akiwa Rombo ).
Kama kumbukumbu haziko sawa twaweza rekebishana.
Raisi wetu tukubali au tukatae ametusaidia sana kuwaelewa wanasiasa maana mtu anasema tunataka Raisi atakaye kuwa anakusanya kodi wakati yeye halipi kodi.
Tunataka Raisi wa kufufua shirika la ndege TZ, lkn ndege zikinunuliwa wanasema cyo priority.
Tunataka Raisi asiyesafiri, sasa hasafiri wanasema anatakiwa kwenda kutembea nchi za wenzetu.
Tunataka Raisi atakaepunguza/kuondoa michango mashuleni baada ya kufanya hvo wanasema ilikuwa bado kwa TZ kutoa elimu bure.
Tunataka Raisi anatakayesimamia madini yetu, baada ya kuanza kufanya hvo wanasheria wa upinzani wanawaunga mkono wezi wa madini.
Kwakweli siasa ni shdaaa, lkn naamini Mh: JPM atatuvusha salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ilikuwapo-kumbuka Tume ya Warioba, Bunge la Katiba na michakato yake na ile ya nnje ya bunge kwa mfano Vyama vya Siasa na Centre for Demokracy chini ya Cheyo na jinsi JK alivyowapiga chenga (Tume huru ya Uchaguzi, Mgombea huru, Kupeleka matokeo ya kura ya uraisi mahakamani kama hukuridhika).Walishau kuzungumzia demokrasia apparently kwa sababu wakati ule haikuwa shida
Nimewahi seat
Hiyo ni ya humu jf na siwezi kunukuu kauli za mtu anayejiita ni kichaaHiyo kauli Jpm alisema wapi chief
watanzania tembeeni kifua mbele, nchi iko kwenye raiti traki!Hapa kazi tu