GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,573
- 108,927
"Zanzibar tunaendelea kupambania nafasi yetu huko CAF kama nchi ili nasi tuweze kushiriki AFCON na mambo si mabaya muda wowote nasi tutakuwa huko kama Wenzetu" amesema Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo alipokuwa katika Hafla Maalum ya Kuzindua Jezi za Timu ya Taifa ya Zanzibar "Zanzibar Heroes"
Chanzo: U-FM Radio kipindi chao cha Michezo cha Saa 10 Kamili Jioni hadi Saa 1 Kamili Usiku.
GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Rais wa Zanzibar na Wazanzibari wote hawapendi na wala hawakupenda kabisa kuwaona Wachezaji kama akina Ibrahim Baka, Mudathiri Yahaya na Feisal Salum 'Feitoto' wakiichezea Taifa Stars katika michuano hii ya AFCON inayoendelea sasa nchini Ivory Coast na ambayo hata hivyo Tanzania ( Taifa Stara ) imetolewa / imeyaaga Mashindano hayo katika Hatua za Awali kabisa.