mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 535
na ukweli utabaki kuwa ukweli, usemwe na Rais au mtu mwingine. No research no right to speakIla ni kweli, utafiti wa synovate 2012 redio bora ya kibiashara na inayosikilizwa na watu wengi ni cloudsfm.
Acha chuki.
Nimesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete hivi majuzi katika ukumbi wa Diamond Jubilee alipokuwa akihutubia Warsha ya "Kamata Fursa Twenzetu" iliyoandaliwa na kituo cha radio cha Clouds FM. Rais Kikwete katika mambo mengi aliyosema ni pamoja na kuwa hakuna kituo cha radio kinachosikilizwa nchini Tanzania zaidi ya CLOUDS FM.
Huenda Mh Rais ni kweli anao utafiti wa Kisayansi kuthibitisha hoja yake, lakini akiwa kama Rais ambapo katika nchi yake kuna vyombo vingi vya habari na vyenye ushindani, si busara kusimama hadharani na kutamka taasisi fulani ya kibiashara ni bora kuliko zote. Akitumia busara zaidi iwapo anaouthibitisho basi aseme kuwa CLOUDS FM ni miongoni wa vituo bora zaidi vya Radio nchini Tanzania.
Kwa upendeleo huo wa wazi na hata kupigia debe kituo hicho, huenda vituo vingine vikajisikia kutotendewa haki kama Rais wa nchi anasimama hadharani kutamka kituo bora kuliko vyote ni kipi.
Kama ni mshabiki na ana hisa katika kituo hicho, ni vyema Rais aweke kando kofia ya ukuu wa nchi na kisha atoe tamko kama KIKWETE na si RAIS WA NCHI.
Binafsi nawapenda CLOUDS FM, japokuwa si busara kama kiongozi mkuu wa nchi na mlezi wa taasisi zote nchini kutamka wazi kuwa wao ni bora kuliko wote.
Aisee, umenikumbusha mbali na hyo list hapo juu, ML Chriss yupo ChoiceFM radio ya inayotangaza kwa lugha ya kiingrereza, ni ndugu na CloudsFMkweli hapo ameteleza.Nadhani bado anafikiri Clouds hii ya sasa bado ina influence kwa vijana kama enzi za akina ML Chriss,Bobby,seven,Dj Boggie Master,Amina Chifupa n.k
Clouds sio radio ya burudani tena bali imejaa siasa na kufanya kazi za TBC.
Huyo JK ameamua kuwapa promo hiyo Clouds, kwa kuwa anajua, kuanzia wamiliki wake Kusaga na Ruge, pamoja na watangazaji wao, akina Kibonde, Bonge na wengineo, nao ni kama wamekunywa maji ya bendera ya CCM.Nimesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete hivi majuzi katika ukumbi wa Diamond Jubilee alipokuwa akihutubia Warsha ya "Kamata Fursa Twenzetu" iliyoandaliwa na kituo cha radio cha Clouds FM. Rais Kikwete katika mambo mengi aliyosema ni pamoja na kuwa hakuna kituo cha radio kinachosikilizwa nchini Tanzania zaidi ya CLOUDS FM.
Huenda Mh Rais ni kweli anao utafiti wa Kisayansi kuthibitisha hoja yake, lakini akiwa kama Rais ambapo katika nchi yake kuna vyombo vingi vya habari na vyenye ushindani, si busara kusimama hadharani na kutamka taasisi fulani ya kibiashara ni bora kuliko zote. Akitumia busara zaidi iwapo anaouthibitisho basi aseme kuwa CLOUDS FM ni miongoni wa vituo bora zaidi vya Radio nchini Tanzania.
Kwa upendeleo huo wa wazi na hata kupigia debe kituo hicho, huenda vituo vingine vikajisikia kutotendewa haki kama Rais wa nchi anasimama hadharani kutamka kituo bora kuliko vyote ni kipi.
Kama ni mshabiki na ana hisa katika kituo hicho, ni vyema Rais aweke kando kofia ya ukuu wa nchi na kisha atoe tamko kama KIKWETE na si RAIS WA NCHI.
Binafsi nawapenda CLOUDS FM, japokuwa si busara kama kiongozi mkuu wa nchi na mlezi wa taasisi zote nchini kutamka wazi kuwa wao ni bora kuliko wote.
Huo ndio ukweli clouds fm inasikilizwa na wengi kuliko kituo kingine chochote hapa TZ.
Huo ndio ukweli clouds fm inasikilizwa na wengi kuliko kituo kingine chochote hapa TZ.
Hayo ni maoni yake binafsi kama ambavyo kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake ambayo si lazima yashabihiane na ya mwingine.
Hata mseme vp coulds ndo redio iliyowapa ujanja wq kujua miziki kama ya akina 50 cent Dr dre snoop Dogg tupac na pia kupaisha mziki wetu wa dansi sababu mlikuwa mnasikiliza pepe kalee tuu na usisahau clouds media ndo walikupa ujuzi wa kucheza Mziki leo hii ukiingia kwanja kupitia zile beach na house party nyiingii enzi zilee so mnyonge mnyongeni haki yake mpeni