Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Huo ndio ukweli clouds fm inasikilizwa na wengi kuliko kituo kingine chochote hapa TZ.Nimesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete hivi majuzi katika ukumbi wa Diamond Jubilee alipokuwa akihutubia Warsha ya "Kamata Fursa Twenzetu" iliyoandaliwa na kituo cha radio cha Clouds FM. Rais Kikwete katika mambo mengi aliyosema ni pamoja na kuwa hakuna kituo cha radio kinachosikilizwa nchini Tanzania zaidi ya CLOUDS FM.
Huenda Mh Rais ni kweli anao utafiti wa Kisayansi kuthibitisha hoja yake, lakini akiwa kama Rais ambapo katika nchi yake kuna vyombo vingi vya habari na vyenye ushindani, si busara kusimama hadharani na kutamka taasisi fulani ya kibiashara ni bora kuliko zote. Akitumia busara zaidi iwapo anaouthibitisho basi aseme kuwa CLOUDS FM ni miongoni wa vituo bora zaidi vya Radio nchini Tanzania.
Kwa upendeleo huo wa wazi na hata kupigia debe kituo hicho, huenda vituo vingine vikajisikia kutotendewa haki kama Rais wa nchi anasimama hadharani kutamka kituo bora kuliko vyote ni kipi.
Kama ni mshabiki na ana hisa katika kituo hicho, ni vyema Rais aweke kando kofia ya ukuu wa nchi na kisha atoe tamko kama KIKWETE na si RAIS WA NCHI.
Binafsi nawapenda CLOUDS FM, japokuwa si busara kama kiongozi mkuu wa nchi na mlezi wa taasisi zote nchini kutamka wazi kuwa wao ni bora kuliko wote.
Upo sahihi wa kwetu.Upendeleo wa kauli kutoka kwa yeyote haufifishi ubora wa radio nyingine wa kweli kama.upo!!!!!!
Acha wasifiwe kama.wanastahili ila THE TRUTH WILL ALWAYS STAND AND PREVAIL
Ila ni kweli, utafiti wa synovate 2012 redio bora ya kibiashara na inayosikilizwa na watu wengi ni cloudsfm.
Acha chuki.
Upo sahihi wa kwetu.
Huo ndio ukweli clouds fm inasikilizwa na wengi kuliko kituo kingine chochote hapa TZ.
kweli hapo ameteleza.Nadhani bado anafikiri Clouds hii ya sasa bado ina influence kwa vijana kama enzi za akina ML Chriss,Bobby,seven,Dj Boggie Master,Amina Chifupa n.k
Clouds sio radio ya burudani tena bali imejaa siasa na kufanya kazi za TBC.
CLOUDS FM ni mbadala wa radio UHURU CCMNimesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete hivi majuzi katika ukumbi wa Diamond Jubilee alipokuwa akihutubia Warsha ya "Kamata Fursa Twenzetu" iliyoandaliwa na kituo cha radio cha Clouds FM. Rais Kikwete katika mambo mengi aliyosema ni pamoja na kuwa hakuna kituo cha radio kinachosikilizwa nchini Tanzania zaidi ya CLOUDS FM.
Huenda Mh Rais ni kweli anao utafiti wa Kisayansi kuthibitisha hoja yake, lakini akiwa kama Rais ambapo katika nchi yake kuna vyombo vingi vya habari na vyenye ushindani, si busara kusimama hadharani na kutamka taasisi fulani ya kibiashara ni bora kuliko zote. Akitumia busara zaidi iwapo anaouthibitisho basi aseme kuwa CLOUDS FM ni miongoni wa vituo bora zaidi vya Radio nchini Tanzania.
Kwa upendeleo huo wa wazi na hata kupigia debe kituo hicho, huenda vituo vingine vikajisikia kutotendewa haki kama Rais wa nchi anasimama hadharani kutamka kituo bora kuliko vyote ni kipi.
Kama ni mshabiki na ana hisa katika kituo hicho, ni vyema Rais aweke kando kofia ya ukuu wa nchi na kisha atoe tamko kama KIKWETE na si RAIS WA NCHI.
Binafsi nawapenda CLOUDS FM, japokuwa si busara kama kiongozi mkuu wa nchi na mlezi wa taasisi zote nchini kutamka wazi kuwa wao ni bora kuliko wote.
Ndio inayochochea mauaji ya kimbari hapa tanzaniaIla ni kweli, utafiti wa synovate 2012 redio bora ya kibiashara na inayosikilizwa na watu wengi ni cloudsfm.
Acha chuki.