Kwa akili yako hao wazungu walifikishwa hapo na Malaika Gabrel? Wasomi wetu wanayo ramani ya nchi nzima inayoonesha miamba na madini na gesi iliyopo na imekuwa hapo toka miaka milioni ngapi iliyopita.Hivi UDSM mbona wanatuaibisha sana atoke mzungu Ulaya huko anagundua gesi maproffesor wetu wa UDSM wapo wapo tu kazi yao kubwa ni kudesa tu na kukariri vitabu vilivyopitwa na wakati...Ugunduzi.Utafiti ni Zero kabisa..SHAME ON THEM UDSM
Si ndio hao akina Benson Bana na Muhongo wanaganga njaa tu hawana cha kugunduaHivi UDSM mbona wanatuaibisha sana atoke mzungu Ulaya huko anagundua gesi maproffesor wetu wa UDSM wapo wapo tu kazi yao kubwa ni kudesa tu na kukariri vitabu vilivyopitwa na wakati...Ugunduzi.Utafiti ni Zero kabisa..SHAME ON THEM UDSM
Almasi, dhahabu Tanzanite, uranium, chuma, makaa ya mawe Gesi, wanyama pori ukanda wa zaidi ya 1000km wa bahari, maziwa makuu, hali nzuri ya hewa, utulivu wa kisiasa vimetusaidiaje sisi wananchi wa hali ya chini kiasi sasa unaanza kushangilia helium??Hakika Mungu ameikumbuka Tanzania.....tupo na kwa jinsi yeyote ile hakuna wakutuzulumu tena. The old is gone tazama tumetengenezewa mwanzo mpya.....Mungu akiwa upande wetu nani atakuwa kinyume chetu? Kwa hakika Tanzania njema is a must project
Almasi, dhahabu Tanzanite, uranium, chuma, makaa ya mawe Gesi, wanyama pori ukanda wa zaidi ya 1000km wa bahari, maziwa makuu, hali nzuri ya hewa, utulivu wa kisiasa vimetusaidiaje sisi wananchi wa hali ya chini kiasi sasa unaanza kushangilia helium??
Kwa akili yako hao wazungu walifikishwa hapo na Malaika Gabrel? Wasomi wetu wanayo ramani ya nchi nzima inayoonesha miamba na madini na gesi iliyopo na imekuwa hapo toka miaka milioni ngapi iliyopita.
Kinachofanywa sasa ni kujua kiasi kilichopo kina wingi gani na kama kinatosha kuita wawekezaji kwa ajili ya kuweka mitambo ya kuivuna. Uvunaji huitaji teknolojia kubwa ambayo Tanzania hatunayo
nakubaliana na wewe"Tutawapa wachina ndio marafiki wetu wa kweli"
Acha kujifusha class, yaani hapo ulipo unaonekana umeshakata tamaa. Acha sisi wengine tuendelee kufikilikutegemea Tanzania njema kwa gesi hii ni ndoto maana lundo la rasilimali ambazo tunazo tayari linatosha kutufanya tuwe Uswizi au hata USA. Kabla ya kusubiri mikataba mipya ni kwa nini tusifanya amendment kwa hii mibovu!?
Kikubwa hapa ni akili na sio asilimali, mbali na hapo tutakuwa na rasilimali nyingi lakini zitavumbuliwa na wenye akili kama hii na mwisho ndio watanufaika wao, kwa nini hujiulizi tulikuwa wapi mpaka tusijue uwepo wa hii gesi!
mkuu kasema tumegundua....wazungu wamesema wamegundua helium huko tzHabari wanaJF,
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameandika kupitia ukurasa wa wake wa Twitter kuhusu ugunduzi wa gesi ya Helium (He) na kutoa wito kwa wanasheria, wachumi na wataanzania wote.
View attachment 361117 View attachment 361118
Na Warusi"Tutawapa wachina ndio marafiki wetu wa kweli"