Kauli ya Paul Makonda ni taa nyekundu kwa Dr Ryoba?

Tumesikia mkuu wa mkoa wa Dar mtukufu Paul Makonda akimwaga sifa kwa mkurugenzi wa Azam TV ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa TBC ndugu Tido Mhando.

Kauli ya mtukufu Paul Makonda ilionesha kutoridhika kwake kuona mtu mwenye ubunifu kamaTido Mhando anawafaidisha Azam.

Maswali:
1. Dr Ryoba anawashiwa taa nyekundu?

2. Mtukufu Paul Makonda havutiwi na ubunifu wa mtaalamu na gwiji wa fani ya habari Dr Ryoba?

3. Ubunifu wa Dr Ryoba pale TBC wa kuanzisha vipindi vya Tunatekeleza, Safari ya Dodoma, live coverage ya matukio ya CCM, wasanii kutembelea ujenzi wa reli, hotuba za Mh sana nk yeye (Mtukufu Paul Makonda ) hajavutiwa hadi avutiwe na TV za nje?

4. Anapata wapi muda wa kuangalia Azam TV na kuacha kuangalia TV ya kizalendo (TBC1)

Asante

Nani aliyekuambia Mwalimu wangu ( Poti ) na ' Genius ' Dkt. Ayub Ryoba ' akitumbuliwa ' happ TBC atakosa Kazi mahala popote? Tena nadhani TBC inamuhitaji zaidi Dkt. Ryoba kuliko Yeye Dkt. Ryoba anavyoihitaji TBC. Na kuna uwezekano mkubwa Dkt. Ryoba ameshapeleka ' Mapendekezo ' mengi tu ya Kuifanya TBC si tu ifanane bali pia iizidi hata hiyo Azam Media ila tatizo Kubwa liko kwa ' Amita Bachan ' wa Baharini ambaye hapendi Ushauri na aking'ang'ania lake basi ni hilo hilo daima milele Amina.

Bado mpaka sasa sijamuona ' Mweledi ' aliyetukuka kabisa wa masuala mazima ya Tasnia ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano wa kumzidi ' Genius ' Dkt. Ayub Ryoba. Hicho ni Kichwa na binafsi najivunia mno na sana kupata bahati ya ' Mtende ' kabisa ya Kukufunzwa / Kufundishwa nae Chuo Kikuu.

Kidogo Mtu ambaye naweza Kumlinganisha nae ni Mzee ' Nguli ' wa Habari na Great Thinker Jenerali Ulimwengu lakini siyo ' Vikolokolo ' vingine. Kwa wenye maono ya mbali tunajua kwanini RC Makonda amekisifia hicho Chombo kwani Yeye ndiyo ' Mratibu ' wa kuhakikisha baada ya Kutoka Kituo cha Africa Media Group ( AMG ) sasa vimebaki Vituo viwili vya Clouds Media Group na wamalizie na cha Azam Media ila hadi kufikia 2020 vyote viwe ni ' part and parcel ' kwa Chama cha Lumumba na Mnazi Mmoja.

Kwa leo naomba niishie hapa tafadhali.
 
Kiongozi gani wa CCM alimshurutisha. Tatizo lako umeng'ata mbege ukashushia na white brand kidogo mkuu. Badilika siku si nyingi utaanza kuokota makopo.
Tatizo umekuja mjini baada ya jiwe/kichaa kuwa rais hivyo huwezi kujua mambo ya nyuma. Endelea kushangilia na kupiga push ups
 
Tumesikia mkuu wa mkoa wa Dar mtukufu Paul Makonda akimwaga sifa kwa mkurugenzi wa Azam TV ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa TBC ndugu Tido Mhando.

Kauli ya mtukufu Paul Makonda ilionesha kutoridhika kwake kuona mtu mwenye ubunifu kamaTido Mhando anawafaidisha Azam.

Maswali:
1. Dr Ryoba anawashiwa taa nyekundu?

2. Mtukufu Paul Makonda havutiwi na ubunifu wa mtaalamu na gwiji wa fani ya habari Dr Ryoba?

3. Ubunifu wa Dr Ryoba pale TBC wa kuanzisha vipindi vya Tunatekeleza, Safari ya Dodoma, live coverage ya matukio ya CCM, wasanii kutembelea ujenzi wa reli, hotuba za Mh sana nk yeye (Mtukufu Paul Makonda ) hajavutiwa hadi avutiwe na TV za nje?

4. Anapata wapi muda wa kuangalia Azam TV na kuacha kuangalia TV ya kizalendo (TBC1)

Asante
Kwani jamaa amesomea utaalam wa recruitments?? kwanza mweneywe ana tuhuma zipo pending muda mrefu za vyeti vyake hadi leo kagoma kutuonyesha!!

Dr. Ryoba piga kazi - labda alitaka uwe unampa air-time anapozunguka zunguka mjini.

Simamia ethics kwenye kazi yako.
 
Pale lumumba kuna cheo kipya cha Mkuu wa Mawasiliano na vyombo vya habari vya CCM....... Hicho cheo kikimpata mtu maarufu ni kikubwa sana!
Aliyekuwa anashikilia nafasi hii hapo kitambo kidogo aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Longido. Kwa sasa kahamishiwa wilaya ya Kinondoni. USININUKUU tafadhali.
 
Tumesikia mkuu wa mkoa wa Dar mtukufu Paul Makonda akimwaga sifa kwa mkurugenzi wa Azam TV ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa TBC ndugu Tido Mhando.

Kauli ya mtukufu Paul Makonda ilionesha kutoridhika kwake kuona mtu mwenye ubunifu kamaTido Mhando anawafaidisha Azam.

Maswali:
1. Dr Ryoba anawashiwa taa nyekundu?

2. Mtukufu Paul Makonda havutiwi na ubunifu wa mtaalamu na gwiji wa fani ya habari Dr Ryoba?

3. Ubunifu wa Dr Ryoba pale TBC wa kuanzisha vipindi vya Tunatekeleza, Safari ya Dodoma, live coverage ya matukio ya CCM, wasanii kutembelea ujenzi wa reli, hotuba za Mh sana nk yeye (Mtukufu Paul Makonda ) hajavutiwa hadi avutiwe na TV za nje?

4. Anapata wapi muda wa kuangalia Azam TV na kuacha kuangalia TV ya kizalendo (TBC1)

Asante

Una uhasama na Dr. Ryoba? Sioni correlation yoyote kati ya Mh.Mkuu wa Mkoa kumsifu Tido Mhando na issue ya Dr. Ryoba kupoteza kazi. By the way, Tido alishavuka 60 na ninadhani hata 70 anaweza kuwa amevuka, ana umbile zuri na maisha yake yamekuwa mazuri muda wote, na hivyo hawezi kuja kuwa replacement ya Dr, Ryoba kwa namna yoyote ile.

Ninavyoona mimi, inaonyesha KAMA Dr. Ryoba unamfahamu kwa ukaribu fulani hivi na unaumia sana kwamba kwa nini ana position hiyo aliyonayo wakati wewe huna!
 
TBC hawapo huru ni TV inayoendeshwa kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite hata ukiwachukua wakurugenzi toka CNN, sky News, BBC, DW nk hawataweza kuigeuza kuwa ya kisasa
Aaahhhaa Malyamungu umenikumbusha yule mpambe wa Idd Amini Dada, alikuwa katili kuliko idd amin mwenyewe 😂😂😂
 
Back
Top Bottom