Kauli ya Nape ni kauli ya kuiogopa CHADEMA

Majukumu yepi mkuu? Au ndo mmeanza kuogopa
Kuogopa!!!! Hapana ila kwa namna ulivyo izungumzia CDM wkt sio msemaji wake.
Lkn niulize..hivi CCM mliandaa mchakato wa maoni ya katiba huku mkiwa na majibu?
Na tatizo ni nini kama CDM inatoa ufafanuzi kwa wanachama na wananchi kwa ujumla kuhusu mfumo wa serikali tatu?
Naomba jibu lako Mkuu...
 
Machadema ya ajabu kweli, badala yatoe maoni ya katiba yenyewe yanahangaika kuichafua ccm

Aaah!mbona CCM ni wachafu muda tu toka alipofariki muasisi wao.kwa ufinyu wa mawazo unafikiri CDM inawachafua,Janjaluka wewe.
 
Lazima awaogope wauwaji, wamwagia watu tindikali na walisha sumu, ht km ingekuwa ww

Hizi hoja zenu zimeshagonga mwamba.

Sasa inajulikana Tindikali, Sumu Na mabomu vinafanywa Na agents Wa CCM
 
Tiih tiih wancha ncheke Hapo penye wekundu ni tabia za CCM na mshirika wake wa ndoa ya mkeka!!.

By Lizaboni:
Mkuu, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mikutano ya CHADEMA. hakika wanachofanya si kukusanya maoni ya wananchi bali kuwaelekeza wananchi ni nini msimamo wa chama ili wananchi wawaunge mkono. mathalan uwepo wa serikali tatu, haki ya kugoma na maandamano, kuhalalishwa kwa ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha demokrasia na mengineyo
Tiih tiih wancha ncheke Hapo penye wekundu ni tabia za CCM na mshirika wake wa ndoa ya mkeka!!.

Hah hah hah hah
 
Kuogopa!!!! Hapana ila kwa namna ulivyo izungumzia CDM wkt sio msemaji wake.
Lkn niulize..hivi CCM mliandaa mchakato wa maoni ya katiba huku mkiwa na majibu?
Na tatizo ni nini kama CDM inatoa ufafanuzi kwa wanachama na wananchi kwa ujumla kuhusu mfumo wa serikali tatu?
Naomba jibu lako Mkuu...

Mkuu, kwa nini ni viongozi wa kitaifa tu ndio wanazunguka mikoani tena kwamgharama kubwa kuwaelimisha wananchi juu ya rasimu ya katiba mpya? kwanza watambue kuwa huu si wakati wa vyama vyamsiasa kutoa elimu hiyo. kuna wakati muafaka utafika. naam, ule wakati wa kura za maoni (referendum)juu ya katiba mpya. tume ndiyo itakayoratibu utaratibu mzima wa elimu kwa wananchi na si uhuni wa vyama vya siasa kutaka matakwa yao ndiyo yazingatiwe
 
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 7"]
[TR]
[TD] S/N

[/TD]
[TD] IBARA
[/TD]
[TD] MAPENDEKEZO YA CHAMA (CHADEMA)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 1.
[/TD]
[TD] 2 Eneo la Jamhuri ya. Muungano
[/TD]
[TD] Neno Tanzania Bara liondolewe na kuandika Tanganyika kila palipo na neno Tanzania Bara.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 2.
[/TD]
[TD] 4(1) Lugha ya Taifa
[/TD]
[TD] Lugha ya Taifa itakuwa Kiswahili na miswada/sheria zote zitaandikwa kwayo pamoja na lugha zingine
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3.
[/TD]
[TD] 5 Tunu za Taifa
[/TD]
[TD] Viongozwe vipengele hivi demokrasia ya vyama vingi, utawala wa sheria,uwazi na haki za binadamu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 4.
[/TD]
[TD] 6(2) Daftari la wapiga kura
[/TD]
[TD] Liwe mahali ambapo kila raia akifikisha miaka 18 ana andikishwa wakati wowote.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 5.
[/TD]
[TD] 17&85 watumishi wa umma.
[/TD]
[TD] Mishahara ya watumishi wote wa umma pamoja Rais ijulikane.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 6.
[/TD]
[TD] 32 (2) haki ya kuandamana
[/TD]
[TD] Kila mtu ana haki kwa amani na bila kubeba siraha kukusanyika/kuandamana kuzuia njia na kuwasilisha malalamiko.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 7.
[/TD]
[TD] 35(e) kugoma
[/TD]
[TD] Kugoma au kusitisha nguvu kazi yake mahali pa kazi.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 8.
[/TD]
[TD] 47 Haki ya kumiliki rasilimali
[/TD]
[TD] Iongezwe ibara mpya ya 48 haki ya kumiliki rasilimali za asili zote Ardhi, Madini, mafuta na gesi, maji na misitu na wanyama pori.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 9.
[/TD]
[TD] 60 (7)nyongeza
[/TD]
[TD] Kiongozwe kifungu cha 7 Maadili na miiko ya uongozi na utumishi wa umma, Haki za binadamu na wajibu wa raia. Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 10.
[/TD]
[TD] Serikali tatu (3)
[/TD]
[TD] Kuwepo serikali ya Muungano, serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 11.
[/TD]
[TD] 75(d) Uchaguzi wa rais.
[/TD]
[TD] Umri wa mgombea urais uwe miaka kumi na nane

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 12.
[/TD]
[TD] 83(i) kinga dhidi ya mashtaka ya Rais.
[/TD]
[TD] Wakati wowote Rais akiwa madarakani na baada ya kuacha kushika madaraka aweze kushtakiwa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 13.
[/TD]
[TD] 105 (2) (b) wabunge wa kuteuliwa
[/TD]
[TD] Kipengele hiki kifutwe na badala yake iwe wabunge 20 watakaochaguliwa kutokana na uwiano wa kura zilizopigwa kwa vyama vya siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 14.
[/TD]
[TD] 117(i) (a) Mgombea Ubunge
[/TD]
[TD] Umri wa mgombea ubunge uwe miaka 18 na si 25 kama inavyopendekezwa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 15.
[/TD]
[TD] 123(2) uwajibikaji wa mbunge.
[/TD]
[TD] Hii ifutwe na kuongeza :mbunge aliyependekezwa na chama cha siasa atapoteza ubunge wake ikiwa atafukuzwa au kuvuliwa uanachama wa chama chake cha siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 16.
[/TD]
[TD] 123(3) mbunge kuhama/kujiunga na chama cha siasa.
[/TD]
[TD] Kuongeza ibara ndogo :endapo mbunge kwa ridhaa yake atajiondoa au kujivua uanachama wa chama cha siasa au kujiunga na chama kama alikuwa mgombea huru basi atapoteza sifa ya kuwa mbunge.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 17.
[/TD]
[TD] 124 adhabu kwa mbunge
[/TD]
[TD] Kuondoa kabisa ibara hiyo na badala yake iseme wananchi wa jimbo au kata watakuwa na haki ya kuwaondoa madarakani kwa sababu na kwa kufuata utaratibu na sheria.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 18.
[/TD]
[TD] 182 Tume Huru ya uchaguzi.
[/TD]
[TD] Kuongeza wajumbe wa vyama vya Mawakili na vyama vya siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 19.
[/TD]
[TD] 184 Tume Huru ya Uchaguzi
[/TD]
[TD] Watumishi wote wa Tume Huru ya uchaguzi wasiwe watumishi wa serikali.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 20.
[/TD]
[TD] 234 Mkurugenzi wa usalama wa Taifa.
[/TD]
[TD] Ateuliwe baada ya kuthibitishwa na Bunge
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 21.
[/TD]
[TD] Nyongeza
[/TD]
[TD] Kuanzishwa kwa mchakato wa katiba ya Tanganyika, kuundwa TUME ya Katiba ya Tanganyika.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

HUU NDIO UTUMBO AMBAO CHADEMA WANAULAZIMISHA. Wanataka umri wa mgombea urais upunguzwe ili ZITTO KABWE naye apate nafasi ya kugombea. wanataka Serikali ya Tanganyika badala ya Tanzania Bara ILI KUUA KABISA NENO Tanzania na hatimaye muungano
 
Angalia kauli kama hii iliyotolewa na Mheshimiwa Nape jana (22.08.2013):
"Taasisi zilitakiwa ziandae mabaraza ya katiba ambayo yatatumika kukusanya maoni. Hivyo sijui ni ushamba wa CHADEMA au kutokujua sheria wanafanya mikutano ya hadhara, maoni ya helikopta hayapokelewi kama alivyosema mzee warioba"
Kama wanavunja sheria si akashitaki kwenye vyombo husika vya kusimamia sheria,anangoja nini sijui.
 
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 7"]
[TR]
[TD] S/N
[/TD]
[TD] IBARA[/TD]
[TD] MAPENDEKEZO YA CHAMA (CHADEMA)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 1.[/TD]
[TD] 2 Eneo la Jamhuri ya. Muungano[/TD]
[TD] Neno Tanzania Bara liondolewe na kuandika Tanganyika kila palipo na neno Tanzania Bara.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 2.[/TD]
[TD] 4(1) Lugha ya Taifa[/TD]
[TD] Lugha ya Taifa itakuwa Kiswahili na miswada/sheria zote zitaandikwa kwayo pamoja na lugha zingine[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3.[/TD]
[TD] 5 Tunu za Taifa[/TD]
[TD] Viongozwe vipengele hivi demokrasia ya vyama vingi, utawala wa sheria,uwazi na haki za binadamu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 4.[/TD]
[TD] 6(2) Daftari la wapiga kura[/TD]
[TD] Liwe mahali ambapo kila raia akifikisha miaka 18 ana andikishwa wakati wowote.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 5.[/TD]
[TD] 17&85 watumishi wa umma.[/TD]
[TD] Mishahara ya watumishi wote wa umma pamoja Rais ijulikane.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 6.[/TD]
[TD] 32 (2) haki ya kuandamana[/TD]
[TD] Kila mtu ana haki kwa amani na bila kubeba siraha kukusanyika/kuandamana kuzuia njia na kuwasilisha malalamiko.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 7.[/TD]
[TD] 35(e) kugoma[/TD]
[TD] Kugoma au kusitisha nguvu kazi yake mahali pa kazi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 8.[/TD]
[TD] 47 Haki ya kumiliki rasilimali[/TD]
[TD] Iongezwe ibara mpya ya 48 haki ya kumiliki rasilimali za asili zote Ardhi, Madini, mafuta na gesi, maji na misitu na wanyama pori.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 9.[/TD]
[TD] 60 (7)nyongeza[/TD]
[TD] Kiongozwe kifungu cha 7 Maadili na miiko ya uongozi na utumishi wa umma, Haki za binadamu na wajibu wa raia. Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 10.[/TD]
[TD] Serikali tatu (3)[/TD]
[TD] Kuwepo serikali ya Muungano, serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 11.[/TD]
[TD] 75(d) Uchaguzi wa rais.[/TD]
[TD] Umri wa mgombea urais uwe miaka kumi na nane
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 12.[/TD]
[TD] 83(i) kinga dhidi ya mashtaka ya Rais.[/TD]
[TD] Wakati wowote Rais akiwa madarakani na baada ya kuacha kushika madaraka aweze kushtakiwa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 13.[/TD]
[TD] 105 (2) (b) wabunge wa kuteuliwa[/TD]
[TD] Kipengele hiki kifutwe na badala yake iwe wabunge 20 watakaochaguliwa kutokana na uwiano wa kura zilizopigwa kwa vyama vya siasa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 14.[/TD]
[TD] 117(i) (a) Mgombea Ubunge[/TD]
[TD] Umri wa mgombea ubunge uwe miaka 18 na si 25 kama inavyopendekezwa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 15.[/TD]
[TD] 123(2) uwajibikaji wa mbunge.[/TD]
[TD] Hii ifutwe na kuongeza :mbunge aliyependekezwa na chama cha siasa atapoteza ubunge wake ikiwa atafukuzwa au kuvuliwa uanachama wa chama chake cha siasa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 16.[/TD]
[TD] 123(3) mbunge kuhama/kujiunga na chama cha siasa.[/TD]
[TD] Kuongeza ibara ndogo :endapo mbunge kwa ridhaa yake atajiondoa au kujivua uanachama wa chama cha siasa au kujiunga na chama kama alikuwa mgombea huru basi atapoteza sifa ya kuwa mbunge.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 17.[/TD]
[TD] 124 adhabu kwa mbunge[/TD]
[TD] Kuondoa kabisa ibara hiyo na badala yake iseme wananchi wa jimbo au kata watakuwa na haki ya kuwaondoa madarakani kwa sababu na kwa kufuata utaratibu na sheria.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 18.[/TD]
[TD] 182 Tume Huru ya uchaguzi.[/TD]
[TD] Kuongeza wajumbe wa vyama vya Mawakili na vyama vya siasa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 19.[/TD]
[TD] 184 Tume Huru ya Uchaguzi[/TD]
[TD] Watumishi wote wa Tume Huru ya uchaguzi wasiwe watumishi wa serikali.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 20.[/TD]
[TD] 234 Mkurugenzi wa usalama wa Taifa.[/TD]
[TD] Ateuliwe baada ya kuthibitishwa na Bunge[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 21.[/TD]
[TD] Nyongeza[/TD]
[TD] Kuanzishwa kwa mchakato wa katiba ya Tanganyika, kuundwa TUME ya Katiba ya Tanganyika.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

HUU NDIO UTUMBO AMBAO CHADEMA WANAULAZIMISHA. Wanataka umri wa mgombea urais upunguzwe ili ZITTO KABWE naye apate nafasi ya kugombea. wanataka Serikali ya Tanganyika badala ya Tanzania Bara ILI KUUA KABISA NENO Tanzania na hatimaye muungano
Wewe ndiye uliyeandika yaliyo ndani ya utumbo yaani M_avi!! "wanataka" statement za kwenye mkeka majungu. Kweli mwigulu mwenye chemba wako wengi!!
 
sure mkuu. kitendo cha vyama vya siasa kuandaa maoni yao na kuyatangaza kwa wananchi ili yaonekane kama ni mawazo yao ni kubaka demokrasia. mfano ni harakati za CHADEMA

Mkuu,
Ni haki ya vyama kutokana na mwongozo Wa rasimu ya katiba. Vyama vinatakiwa kupeleka maoni ya wanachama wake Kama vyama vya siasa. Pia taasisi Na Watu binafsi wana haki hiyo
 
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 7"]
[TR]
[TD] S/N

[/TD]
[TD] IBARA
[/TD]
[TD] MAPENDEKEZO YA CHAMA (CHADEMA)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 1.
[/TD]
[TD] 2 Eneo la Jamhuri ya. Muungano
[/TD]
[TD] Neno Tanzania Bara liondolewe na kuandika Tanganyika kila palipo na neno Tanzania Bara.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 2.
[/TD]
[TD] 4(1) Lugha ya Taifa
[/TD]
[TD] Lugha ya Taifa itakuwa Kiswahili na miswada/sheria zote zitaandikwa kwayo pamoja na lugha zingine
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3.
[/TD]
[TD] 5 Tunu za Taifa
[/TD]
[TD] Viongozwe vipengele hivi demokrasia ya vyama vingi, utawala wa sheria,uwazi na haki za binadamu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 4.
[/TD]
[TD] 6(2) Daftari la wapiga kura
[/TD]
[TD] Liwe mahali ambapo kila raia akifikisha miaka 18 ana andikishwa wakati wowote.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 5.
[/TD]
[TD] 17&85 watumishi wa umma.
[/TD]
[TD] Mishahara ya watumishi wote wa umma pamoja Rais ijulikane.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 6.
[/TD]
[TD] 32 (2) haki ya kuandamana
[/TD]
[TD] Kila mtu ana haki kwa amani na bila kubeba siraha kukusanyika/kuandamana kuzuia njia na kuwasilisha malalamiko.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 7.
[/TD]
[TD] 35(e) kugoma
[/TD]
[TD] Kugoma au kusitisha nguvu kazi yake mahali pa kazi.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 8.
[/TD]
[TD] 47 Haki ya kumiliki rasilimali
[/TD]
[TD] Iongezwe ibara mpya ya 48 haki ya kumiliki rasilimali za asili zote Ardhi, Madini, mafuta na gesi, maji na misitu na wanyama pori.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 9.
[/TD]
[TD] 60 (7)nyongeza
[/TD]
[TD] Kiongozwe kifungu cha 7 Maadili na miiko ya uongozi na utumishi wa umma, Haki za binadamu na wajibu wa raia. Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 10.
[/TD]
[TD] Serikali tatu (3)
[/TD]
[TD] Kuwepo serikali ya Muungano, serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 11.
[/TD]
[TD] 75(d) Uchaguzi wa rais.
[/TD]
[TD] Umri wa mgombea urais uwe miaka kumi na nane

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 12.
[/TD]
[TD] 83(i) kinga dhidi ya mashtaka ya Rais.
[/TD]
[TD] Wakati wowote Rais akiwa madarakani na baada ya kuacha kushika madaraka aweze kushtakiwa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 13.
[/TD]
[TD] 105 (2) (b) wabunge wa kuteuliwa
[/TD]
[TD] Kipengele hiki kifutwe na badala yake iwe wabunge 20 watakaochaguliwa kutokana na uwiano wa kura zilizopigwa kwa vyama vya siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 14.
[/TD]
[TD] 117(i) (a) Mgombea Ubunge
[/TD]
[TD] Umri wa mgombea ubunge uwe miaka 18 na si 25 kama inavyopendekezwa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 15.
[/TD]
[TD] 123(2) uwajibikaji wa mbunge.
[/TD]
[TD] Hii ifutwe na kuongeza :mbunge aliyependekezwa na chama cha siasa atapoteza ubunge wake ikiwa atafukuzwa au kuvuliwa uanachama wa chama chake cha siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 16.
[/TD]
[TD] 123(3) mbunge kuhama/kujiunga na chama cha siasa.
[/TD]
[TD] Kuongeza ibara ndogo :endapo mbunge kwa ridhaa yake atajiondoa au kujivua uanachama wa chama cha siasa au kujiunga na chama kama alikuwa mgombea huru basi atapoteza sifa ya kuwa mbunge.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 17.
[/TD]
[TD] 124 adhabu kwa mbunge
[/TD]
[TD] Kuondoa kabisa ibara hiyo na badala yake iseme wananchi wa jimbo au kata watakuwa na haki ya kuwaondoa madarakani kwa sababu na kwa kufuata utaratibu na sheria.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 18.
[/TD]
[TD] 182 Tume Huru ya uchaguzi.
[/TD]
[TD] Kuongeza wajumbe wa vyama vya Mawakili na vyama vya siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 19.
[/TD]
[TD] 184 Tume Huru ya Uchaguzi
[/TD]
[TD] Watumishi wote wa Tume Huru ya uchaguzi wasiwe watumishi wa serikali.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 20.
[/TD]
[TD] 234 Mkurugenzi wa usalama wa Taifa.
[/TD]
[TD] Ateuliwe baada ya kuthibitishwa na Bunge
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 21.
[/TD]
[TD] Nyongeza
[/TD]
[TD] Kuanzishwa kwa mchakato wa katiba ya Tanganyika, kuundwa TUME ya Katiba ya Tanganyika.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

HUU NDIO UTUMBO AMBAO CHADEMA WANAULAZIMISHA. Wanataka umri wa mgombea urais upunguzwe ili ZITTO KABWE naye apate nafasi ya kugombea. wanataka Serikali ya Tanganyika badala ya Tanzania Bara ILI KUUA KABISA NENO Tanzania na hatimaye muungano

Mkuu kwani unatatizo na Zito?
Umri sio kigezo..awe Zito au kijana yeyote ni lazima aongoze nchi kwa misingi ya sheria/katiba na ilani za chama alichopo..ni CCM pekee ambayo sheria za nchi zipo midomoni mwa viongozi wao.....
CDM inataka Tanganyika kuua Tanzania? Hahaaa co kweli
Kabla ya Tanzania Tulikua na Tanganyika.
Mkuu naomba sababu moja tu ya msingi ya kuulilia muungano..
Mimi nitakupa za kuukataa..
 
Mikutano ya hadgara nayo imegeuka mabaraza ya katiba.
 
Hahahaaaaa. Nape Kamaliza kazi. mmebaki mnajigongagonga tu kwake. ila mkumbuke kuwa mwisho wa kuwasilisha maoni ya Taasisi ni tarehe 31.8.2013. Sijui chadema watakutana lini kucompile maoni ya wanachama. au viongozi wao wanafurahia tu kuruka kwenye chopa

kila kitu kinajulikana, lini vikao vitakaa na ku-compile maoni ya wanacham, wapenzi na wananchi kwa ujumla wanajua viongozi. Kazi ni masaa 24, usihofu!
 
Tumewaachia kanafasi kidogo mpumue maana uwepo wetu hapa JF umekiwa kero kwa wengine. by the way Nape kaongea vizuri na yupo sahihi. tatizo ni uelewa mdogo wa viongozi wa CHADEMA
Nape siku zote huweweseka....kila siku lazima aitaje chadema ili kupata mlo wa siku.kweli chadema ni kiboko cha magamba.
 
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 7"]
[TR]
[TD] S/N

[/TD]
[TD] IBARA
[/TD]
[TD] MAPENDEKEZO YA CHAMA (CHADEMA)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 1.
[/TD]
[TD] 2 Eneo la Jamhuri ya. Muungano
[/TD]
[TD] Neno Tanzania Bara liondolewe na kuandika Tanganyika kila palipo na neno Tanzania Bara.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 2.
[/TD]
[TD] 4(1) Lugha ya Taifa
[/TD]
[TD] Lugha ya Taifa itakuwa Kiswahili na miswada/sheria zote zitaandikwa kwayo pamoja na lugha zingine
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3.
[/TD]
[TD] 5 Tunu za Taifa
[/TD]
[TD] Viongozwe vipengele hivi demokrasia ya vyama vingi, utawala wa sheria,uwazi na haki za binadamu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 4.
[/TD]
[TD] 6(2) Daftari la wapiga kura
[/TD]
[TD] Liwe mahali ambapo kila raia akifikisha miaka 18 ana andikishwa wakati wowote.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 5.
[/TD]
[TD] 17&85 watumishi wa umma.
[/TD]
[TD] Mishahara ya watumishi wote wa umma pamoja Rais ijulikane.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 6.
[/TD]
[TD] 32 (2) haki ya kuandamana
[/TD]
[TD] Kila mtu ana haki kwa amani na bila kubeba siraha kukusanyika/kuandamana kuzuia njia na kuwasilisha malalamiko.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 7.
[/TD]
[TD] 35(e) kugoma
[/TD]
[TD] Kugoma au kusitisha nguvu kazi yake mahali pa kazi.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 8.
[/TD]
[TD] 47 Haki ya kumiliki rasilimali
[/TD]
[TD] Iongezwe ibara mpya ya 48 haki ya kumiliki rasilimali za asili zote Ardhi, Madini, mafuta na gesi, maji na misitu na wanyama pori.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 9.
[/TD]
[TD] 60 (7)nyongeza
[/TD]
[TD] Kiongozwe kifungu cha 7 Maadili na miiko ya uongozi na utumishi wa umma, Haki za binadamu na wajibu wa raia. Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 10.
[/TD]
[TD] Serikali tatu (3)
[/TD]
[TD] Kuwepo serikali ya Muungano, serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 11.
[/TD]
[TD] 75(d) Uchaguzi wa rais.
[/TD]
[TD] Umri wa mgombea urais uwe miaka kumi na nane

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 12.
[/TD]
[TD] 83(i) kinga dhidi ya mashtaka ya Rais.
[/TD]
[TD] Wakati wowote Rais akiwa madarakani na baada ya kuacha kushika madaraka aweze kushtakiwa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 13.
[/TD]
[TD] 105 (2) (b) wabunge wa kuteuliwa
[/TD]
[TD] Kipengele hiki kifutwe na badala yake iwe wabunge 20 watakaochaguliwa kutokana na uwiano wa kura zilizopigwa kwa vyama vya siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 14.
[/TD]
[TD] 117(i) (a) Mgombea Ubunge
[/TD]
[TD] Umri wa mgombea ubunge uwe miaka 18 na si 25 kama inavyopendekezwa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 15.
[/TD]
[TD] 123(2) uwajibikaji wa mbunge.
[/TD]
[TD] Hii ifutwe na kuongeza :mbunge aliyependekezwa na chama cha siasa atapoteza ubunge wake ikiwa atafukuzwa au kuvuliwa uanachama wa chama chake cha siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 16.
[/TD]
[TD] 123(3) mbunge kuhama/kujiunga na chama cha siasa.
[/TD]
[TD] Kuongeza ibara ndogo :endapo mbunge kwa ridhaa yake atajiondoa au kujivua uanachama wa chama cha siasa au kujiunga na chama kama alikuwa mgombea huru basi atapoteza sifa ya kuwa mbunge.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 17.
[/TD]
[TD] 124 adhabu kwa mbunge
[/TD]
[TD] Kuondoa kabisa ibara hiyo na badala yake iseme wananchi wa jimbo au kata watakuwa na haki ya kuwaondoa madarakani kwa sababu na kwa kufuata utaratibu na sheria.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 18.
[/TD]
[TD] 182 Tume Huru ya uchaguzi.
[/TD]
[TD] Kuongeza wajumbe wa vyama vya Mawakili na vyama vya siasa.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 19.
[/TD]
[TD] 184 Tume Huru ya Uchaguzi
[/TD]
[TD] Watumishi wote wa Tume Huru ya uchaguzi wasiwe watumishi wa serikali.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 20.
[/TD]
[TD] 234 Mkurugenzi wa usalama wa Taifa.
[/TD]
[TD] Ateuliwe baada ya kuthibitishwa na Bunge
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 21.
[/TD]
[TD] Nyongeza
[/TD]
[TD] Kuanzishwa kwa mchakato wa katiba ya Tanganyika, kuundwa TUME ya Katiba ya Tanganyika.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

HUU NDIO UTUMBO AMBAO CHADEMA WANAULAZIMISHA. Wanataka umri wa mgombea urais upunguzwe ili ZITTO KABWE naye apate nafasi ya kugombea. wanataka Serikali ya Tanganyika badala ya Tanzania Bara ILI KUUA KABISA NENO Tanzania na hatimaye muungano

Mkuu hapa naona sasa wewe ndie unajichanganya!

Kwani wewe hujui kila mwananchi anayo haki ya kupiga kura Na kuchaguliwa kuwa kiongozi.

Na kwa mujibu Wa katiba umri huu ni miaka 18?

Sasa unapoweka masharti ya umri tena kwa mgombea ubunge Au urais we mwenyewe unajipinga. Katiba inakuwa Haieleweki inasimamia nini.

Swala la Kama mtu anafaa kuchaguliwa kuwa mbunge Au rais linafaa liamuliwe Na wapiga kura Sio mtu anyimwe haki Na katiba.

Sasa hapa unapodhani Chadema wanataka umri Wa kugombea urais uwe miaka 18 kwa sababu Zito awe rais Naona Kama hujatumia busara; Kwani CCM Hakuna vijana wanaoweza kugombea nafasi za urais mpaka Zito pekee
 
Mikutano ya hadgara nayo imegeuka mabaraza ya katiba.

wanachama Wa Chadema Na wapenzi ni wengi hawawezi kuenea ndani. Na hawana cha kuficha ndio maana wanafanyia nje hadharani
 
Nape siku zote huweweseka....kila siku lazima aitaje chadema ili kupata mlo wa siku.kweli chadema ni kiboko cha magamba.

Kweli kabisa Mkuu,
Unaona Hata huku kwenye mitandao Watu Wa Lumumba mambo ya buku 7 hayaendi bila kutaja CHADEMA, Mbowe Au Slaa
 
Back
Top Bottom