Kauli ya Nape ni kauli ya kuiogopa CHADEMA

Jamaa yangu
Nape na ccm mmelala, mtakapozinduka tu, manyoya tayari - wanachama
wameliwa

Hahahaaaaa. Nape Kamaliza kazi. mmebaki mnajigongagonga tu kwake. ila mkumbuke kuwa mwisho wa kuwasilisha maoni ya Taasisi ni tarehe 31.8.2013. Sijui chadema watakutana lini kucompile maoni ya wanachama. au viongozi wao wanafurahia tu kuruka kwenye chopa
 
Ukisha kuwa kiongozi CCM,
lazima upate maambukizi ya ugonjwa unaoitwa UKOSEFU WA KUFIKIRI.
Hivi Nape ameshindwa kujua kwamba wananchi pia ni Taasisi!!?? Au anajiwa
na fikra kwamba Taasisi ni zile zenye hati ya kuandikishwa tu kama
ilivyo CCM? Na kama ndivyo anashindwa je kufahamu kwamba Hati ya
kuandikishwa wananchi kuwa Taasisi ipo kwenye Katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania!?

Kama ndivyo alivyo karirishwa na Mwenyekiti wa Tuma ya Rasimu ya Katiba
mpya basi nao ni upofu pia.

Yeye andelee na MAGAMBA yao, ukizingatia kwamba siku hizi hata majukwaa
wanayaogopa na ndio maana wameamua kuja na fasion mpya ya kujifungia
kwenye maghala ya CCM na kuhalallisha eti ni vikao vya ndani.

Atapiga kelele sana lakini elimu ya uraia inayo tolewa kwa waTanganyika
na ime wakamata CCM hadi basi. Si tumeona hata M/Kiti wake siku hizi
hapandi majukwaani bila kuwa na mashahidi kama akina Dr. Mwakyembe? Huku
wakiwa na ushahidi wa utekelezaji wa ahadi hewa!!!!

Sisi tunasubiria uboreshwaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Tume
huru ya Uchaguzi. hapo ndipo tunataka kuonyesha hasira zetu kwa CCM.
Maana mateso haya lazima yalipizwe kwa kitu kama hii "T 2015
CDM".

Mkuu, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mikutano ya CHADEMA. hakika wanachofanya si kukusanya maoni ya wananchi bali kuwaelekeza wananchi ni nini msimamo wa chama ili wananchi wawaunge mkono. mathalan uwepo wa serikali tatu, haki ya kugoma na maandamano, kuhalalishwa kwa ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha demokrasia na mengineyo
 
mchakato wa katiba
umeingiliwa kwa kiasi kikubwa na vyama vya siasa#poor normal citizen
they just watchdog

sure mkuu. kitendo cha vyama vya siasa kuandaa maoni yao na kuyatangaza kwa wananchi ili yaonekane kama ni mawazo yao ni kubaka demokrasia. mfano ni harakati za CHADEMA
 
Mkuu, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mikutano ya CHADEMA. hakika wanachofanya si kukusanya maoni ya wananchi bali kuwaelekeza wananchi ni nini msimamo wa chama ili wananchi wawaunge mkono. mathalan uwepo wa serikali tatu, haki ya kugoma na maandamano, kuhalalishwa kwa ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha demokrasia na mengineyo
Dahh, hakika CHADEMA ni janga la taifa
 
Hahahaaaaa. Nape Kamaliza kazi. mmebaki mnajigongagonga tu kwake. ila mkumbuke kuwa mwisho wa kuwasilisha maoni ya Taasisi ni tarehe 31.8.2013. Sijui chadema watakutana lini kucompile maoni ya wanachama. au viongozi wao wanafurahia tu kuruka kwenye chopa
Mkuu Lizaboni, kwani unafikiri CHADEMA lengo lao ni kuwasilisha maoni kwa tume? La hasha. Wao lengo lao ni kuwaambia wananchi nini msimamo wao juu ya rasimu ya katiba mpya kama ulivyosema hapo awali
 
Lazima awaogope wauwaji, wamwagia watu tindikali na walisha sumu, ht km ingekuwa ww
 
Tumewaachia kanafasi kidogo mpumue maana uwepo wetu hapa JF umekiwa kero kwa wengine. by the way Nape kaongea vizuri na yupo sahihi. tatizo ni uelewa mdogo wa viongozi wa CHADEMA
Mkuu Lizaboni, hawa CHADEMA wala hawaeleweki. Tukiwajibu kwa hoja wanasema kuwa wameingiliwa. Tukiwaacha wenyewe wajikanyage wanasema wametumiss.
 
Kero sio uwepo wenu hapa JF bali michango na hoja zenu muflisi.hoja zenu si mawazo ya mmoja mmoja bali kuna handout ambazo mmekariarishwa, ukitoka nje ya mstari B7 hakuna!
 
Machadema yanalenga kujitangaza tu wala hawapo serious na katiba mpya
 
Machadema ya ajabu kweli, badala yatoe maoni ya katiba yenyewe yanahangaika kuichafua ccm
 
Mkuu Lizaboni, kwani unafikiri CHADEMA lengo lao ni kuwasilisha maoni kwa tume? La hasha. Wao lengo lao ni kuwaambia wananchi nini msimamo wao juu ya rasimu ya katiba mpya kama ulivyosema hapo awali

CDM inawatesa sana, mpaka mnasahau majukumu yenu..
 
Kero sio uwepo wenu hapa JF bali michango na hoja zenu muflisi.hoja zenu si mawazo ya mmoja mmoja bali kuna handout ambazo mmekariarishwa, ukitoka nje ya mstari B7 hakuna!
Mkuu, mambo ya kukaririshwa yapo pale kinondoni, mtaa wa ufipa kwa vile wameajiri vijana ambao wameshindwa kielimu na kimaisha
 
Mkuu Lizaboni, hawa CHADEMA wala hawaeleweki. Tukiwajibu kwa hoja wanasema kuwa wameingiliwa. Tukiwaacha wenyewe wajikanyage wanasema wametumiss.

Kuingiliwa ni tabia ya CCM na Mshirika wake wa Kiliberali.CDM hilo haliwezekani it's a taboo!
 
Yaelekea Computer Room pale Lumumba bado hapajafunguliwa kwani team ya Buku 7 bado kutinga jamvini. Wakifungua tu mtaona akina CHAMA, RITZ, CHAMVIGA, LIZIBON & Co. Watakuja na njaa criticism.

Leo week end mpaka waidhinishiwe kwanza Na Nchemba
 
Mkuu, mambo ya kukaririshwa yapo pale kinondoni, mtaa wa ufipa kwa vile wameajiri vijana ambao wameshindwa kielimu na kimaisha

Duh!kaaazi kweli kweli!Hebu funguka zaidi hapo penye red.
 
Mkuu, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mikutano ya CHADEMA. hakika wanachofanya si kukusanya maoni ya wananchi bali kuwaelekeza wananchi ni nini msimamo wa chama ili wananchi wawaunge mkono. mathalan uwepo wa serikali tatu, haki ya kugoma na maandamano, kuhalalishwa kwa ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha demokrasia na mengineyo

Tiih tiih wancha ncheke Hapo penye wekundu ni tabia za CCM na mshirika wake wa ndoa ya mkeka!!.
 
Back
Top Bottom