Levi isaya
Member
- Apr 1, 2013
- 18
- 0
Mmmmmmh mi nahic alikuwa ametoka kulala
Katiba ni si ya chadema wala ccmm ni ya watanzania. Mbowe anapoitisha mikutano si wanachadema pekee wanaohudhuria mikutano hiyo wapo watu wengi sana hata wasio na vyama wanaenda kumsikiliza mbowe so the guy is on the right direction
Kosa kumwita mh
Si unajua ndio wanavyopenda kuitwa; ni Kama tu heshima kiubinadamu. Lakini kweli nikitafakari watu Kama kina Nape Na Mwigulu hawana uheshimiwa.
Hapo kweli Mkuu nakubali nimekosea
Ccm mmeona ni upumbavu kuitisha mabaraza ya katiba nnafanyia ofisini dah mnachumia tumbo tuu ila vizuri wanachama wenu wameona
mkuu blueray huyu chizi Nape si unajua chama chao ni cha kidikteta? Badala ya kufanya maoni participatory wao wanatengeneza maoni wao viongozi halafu wanawahadaa wanachi wayakubali (top down approach) wakati down-top approach ndiyo inatakiwa katika suala hili nyeti la katiba. Ila fahamu kuwa si Nape anaogopa CDM peke yake bali SSM nzima CDM ni tishio ndiyo maana wameajiri dola kuishughulikia CDM!!! Vyama vingine wamefanikiwa kufunga ndoa na viongozi wake, ya CDM imeshingikana!!!
poyoyo huyo, watu wanatoa maoni yeye anashangaa helcopter