Sasa amekuja na hii ya kuwasema polisi wasiwaonee wanasiasa (soma wapinzani) wakati wa kampeni aonekane ni mwenye huruma na mpenda haki kwa kila mtu.Usimwamini Jiwe katu!
Dictators are like that!Sasa amekuja na hii ya kuwasema polisi wasiwaonee wanasiasa (soma wapinzani) wakati wa kampeni aonekane ni mwenye huruma na mpenda haki kwa kila mtu.
Sijui kama anaamini watu wanamwelewa kwa hayo anayoyasema sasa hivi kuelekea kwenye uchaguzi.
Ni kama ana 'multiple personalities'.
Hii kama vitani. Mwanajeshi anaeasi nchi yake hua haaminiwi kwa asilimia zote huko aendako. Wanasema kama huyu aliweza kuiuza nchi yake basi anauwezo wa kuwauza na kuwasaliti wao piaWasaliti wa wananchi wapigwe chini tuu