Daaahh!!!nimempenda bure huyo mke wako,,,,hivyo ndivyo inavyotakiwa kwenye mahusiano hata kwenye maisha pia hata kama mmefunga ndoa kuambizana ukweli mapema tuu unapoona mambo yanaenda kombo ili isije leta taharuki kwa jamii pindi maamuzi ya ovyo yanayoweza kuja tokea baadae!!Jamaanii katika mahusiano ya namna yoyote yale kuchokana kupo na ndio asili ya ulimwengu inabidi uwe fleksibo kwenye kuishi ndio utainjoi maisha,,,unaishi kwa utashi,, kujali na kuheshimu mazingira ya wakati huo kwa fikra zenye akili,,hekima na busara ndani yake na si kuishi kwa mazoea/kimazoea,,usijaribu kukazaa shingo itakukosti pakubwa,,,,,tujitahidi angalau kwa utashi tuliojaaliwa kujali,,kuthamini na kusikiliza zaidi hoja,,hisia na maono ya wengine kuliko kujipa ubinafsi,,,Umimi zaidi,,ukamilifu,,,sijui vijiutukufu vilivyo pitiliza"""###Usilie kwa kuwa Yameisha/Limeisha,,Bali Furahi kwa kuwa Yametokea/Limetokea###Binti yako bonge moja la Muungwana ni vitendo na ukweli ulionyooka tuu na ndio siri ya muungwana