Kauli ya mke: Kwanini moyo wangu umekuchoka?

Kauli ya mke: Kwanini moyo wangu umekuchoka?

Biashara ya kuishi mbali na mke wangu huwa siifanyi

Sio kwamba watu wanapenda, kazi hiz unahamishwa hapa na pale mara pah distance mara pah mambo ndio hayo. Ukute wife na yeye anakibarua chake au muajiriwa, aiseee utapata shida sana
 
Sio kwamba watu wanapenda, kazi hiz unahamishwa hapa na pale mara pah distance mara pah mambo ndio hayo. Ukute wife na yeye anakibarua chake au muajiriwa, aiseee utapata shida sana
Aaaah sasa akiamishwa, mm na yeye ndo inakua bas mzeey.
 
Kama unavyosoma hapo kwenye title, hiyo ni kauli nliyoambiwa na mke wangu wa ndoa na nimezaa nae watoto kadhaa copyright na mimi.

Kimsingi tunaishi mbalimbali muda mrefu sana kutokana na masuala ya kikazi na utafutaji. Nahisi tayari anakandwa huko. Kwa kauli hii kuna ndoa kweli hapa?

Mi sijamjibu nimeendelea tu na harakati zangu za maisha.

Kila la kheri Young Africans.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Umeshamfikisha alipotaka umfikishe!!

Mlishajenga!!?ana kipato cha kumuingizia vipesa!!?

Kama ni HIVYO jiandae KWA MITARA kimya KIMYA!!!
 
Wewe kama mwanamke unafanya nini kumtunza mumeo na kumtimizia mahitaji yake muhimu? Hannah

Nafanya yale yote yanayopaswa kufanywa na mwanamke, kibiblia , na kimila na kitamaduni.

Nahakikisha akili ya mume wangu ina utulivu hapa ni pamoja na kuhakikisha siwi sababu ya kumwondolea utulivu na pia kumpa faraja endapo utulivu utaondolewa kwa sababu simginezo.

Nahakikisha mume wangu anakuwa na afya njema hapa ni pamoja na kumpikia vyakula vizuri ki afya, kuhakikisha anakula balance diet na anakula kwa wakati.
Kuhakikisha anakuwa nadhifu muda wote kwa kuhakikisha mavazi yake yanakuwa safi na katika mpangilio mzuri.

Nahakikisha nampa ushirikiano mzuri wakati wa chakula cha ndoa. Na kubwa kuliko

Ni kumwombea mume wangu. Hii ndio kazi kubwa ya mwanamke kiimani” kuomba kwa ajili ya mume wake na familia yake.

Karibu kwa swali la nyongeza.
 
Hebu toka kwenye hiyo ndoa maana kila siku mke hivi mke vile...




 
Haujatuelezea mahusiano yenu kwa sasa yapoje.. mnagombana sana? Je anaonesha wivu juu yako? Je unamtunza? Unamtimizia mahitaji yake muhimu kama awali?
Baada ya kauli yake hii ndo tumezidi kupotezeana kabisa sina mood nae na hata kwenda kuwaona watoto najiskia uvivu ni Km 200 tu kutoka nilipo ila kwa kauli yake hii kanikata mood. Tunatoboa hadi mwezi hatuwasiliani. Inshort sina mzuka nae kabisa baada ya hii kauli yake

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba watu wanapenda, kazi hiz unahamishwa hapa na pale mara pah distance mara pah mambo ndio hayo. Ukute wife na yeye anakibarua chake au muajiriwa, aiseee utapata shida sana
Mke kaajiriwa serikalini mimi nipo private na siwezi kuacha kazi kufuata yeye eti kisa kulinda ndoa hapana. Halafu na kule aliko hata mishe za business ni ngumu bora hata kungekua na mzunguko mzuri wa fedha ningejichanga nikafungue business kule ila ndo hivyo hakuna inshu kule

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kauli yake hii ndo tumezidi kupotezeana kabisa sina mood nae na hata kwenda kuwaona watoto najiskia uvivu ni Km 200 tu kutoka nilipo ila kwa kauli yake hii kanikata mood. Tunatoboa hadi mwezi hatuwasiliani. Inshort sina mzuka nae kabisa baada ya hii kauli yake

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Msamehe, rudi muulize kwa upendo kwa nini anahisi kukuchukia, myajenge mlee watoto!

Naamini ukikimbilia kumuacha haitakusaidia chochote! Utaharibu maisha ya watoto na zaidi hautajua anakereka na nini juu yako so popote utakapoweka kambi unaweza kuwa kero Kama ilivyokuwa kwa mkeo!

Mpende, mthamini, mjali mkeo! Haina maana yoyote kumzalisha na kumtelekeza! Mke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe! The opposite is also true!

Pole
 
Hizo ni nyege tu hakuna lingine, sema anaanzia mbali
 
Kama unavyosoma hapo kwenye title, hiyo ni kauli nliyoambiwa na mke wangu wa ndoa na nimezaa nae watoto kadhaa copyright na mimi.

Kimsingi tunaishi mbalimbali muda mrefu sana kutokana na masuala ya kikazi na utafutaji. Nahisi tayari anakandwa huko. Kwa kauli hii kuna ndoa kweli hapa?

Mi sijamjibu nimeendelea tu na harakati zangu za maisha.

Kila la kheri Young Africans.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mwanamke akikuchoka wala hawezi kukwambia na wala hamuwezi kugombana kabisa.

Wanawake si kila wanachoongea huwa wanamaanisha hivyo, akikwambia nenda basi wewe usiende, inahitaji akili kuishi nao.
 
Back
Top Bottom