Kuna kosa gani kumuita mtu a fool?
Utakuwa unaumwa!
MSOMALI mwenzake angethubutu kumuita hivyo, ww huwajui hawa watu wanaubaguzi mkubwa, na kujikweza? kwao Mswahili ni mtu wa Daraja la chini wanaona heri ya mwarabu na Mhindi ambaye sio kafiriKuna kosa gani kumuita mtu a fool?
sio tu hilo mkuu, pia tunahitaji MENTAL detector, maana sijui wengine wanaziacha wapi wakiingia mjengoni.hivi bungeni kuna metal detector?alshabab anatembea na bunduki kiunoni
nani kakwambia tabora wanachagua mtu....kule we weka bendera tu unapita, wanachagua chama sio mtukweli tabora mlijitahidi kutuchagulia mbunge wakati chadema wawaumbua wezi wa maliasili zetu,ccm wanawaita fool?
Kuna kosa gani kumuita mtu a fool?
Umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango?
Huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!
Naweza kusema wapenzi wengi na wanachama wa CDM vichwa vyao vikubwa kama kambale lakini havina uelewa inawezekena rage amekosea lakini neno hilo angelisema mbunge wa CDM mngelimsifu na kutungiwa methali ila kwa upande wenu kumbe yanawachoma'FOOL'
Rage is a convicted CRIMINAL before the court of law. That is a PLAIN TRUTH. It is because of our bad constitution that is why he is out of jail. If it was not that, Rage should be behind bars and not in the parliament. I stand to be corrected.
Before he went to jail "alistaafishwa kwa manufaa ya umma akiwa mfanyakazi wa CDA". No one with straight mind will take him seriously or even listen to him when ha talks "kwa manufaa ya umma"Hakuna nchi yoyote duniani ex-jailbird Ismael Aden Rage angeweza kuukwaa ubunge isipokuwa Tanzania tena kwa kupitia chama cha wahalifu wenzake, that is the plain truth.