Kwani sheria inasemaje? Kuna sheria kweli inayomtaka mtia nia kwenda kimya kimya kutafuta wadhamini? Mara nyingi nimemsikia TAL akilizungumzia hili kwamba kabla ya mtia nia hajapitishwa na NEC yale anayoyatamka haiwezi kutafsirika (kisheria) kuwa ni kufanya kampeni kabla ya wakati!Habari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form
Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?
Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia
Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?
Au wanajua walilo yatenda?
Kuhusu Membe kuna mambo ya kuangaliwa na yananifanya nikitilie mashaka ACT-Wazalen na shaka yangu huenda ipo kwa Chadema
siku Membe anachukua fomu NEC yule mwanadada wa publicity wa ACT alizungumza kwa namna ya kumwonyeha TAL hafai apo hakumtaja (Tafuta taarifa ya habari ya ITV iku hiyo)
Kwa kuwa Zito amewahi kutumiwa na akina Jack Zoka na Membe amefanya na akina Jack Zoka ni rahisi kuhitimisha kwamba ACT-Wazalen ni chombo kinachotumiwa tu na kitengo, na ili kutaka kuJua fuatilia mahuiano ya Zitto na