Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Maalim Seif anaendeleaje
 
Ni kweli Lisu anaweza kukatwa, na sababu zitakazotumika ni hizo ulizotaja, lakini sababu haswa ya yeye kukatwa ni kwakuwa Magufuli hawezi kushindana na Lisu kisiasa, hivyo atatumia madaraka yake kushurutisha Lisu aenguliwe. Na NEC wanajua idadi yao ya kubumba ya wapiga kura 29m+, haiwezi kufanya kazi vizuri iwapo Lisu atakuwa mgombea wa urais, kwani hatakubali matokeo ya kihuni.
Kisiasa ndo kivipi tuelezee hapo
 
Lissu hawezi kukatwa hata kama amevunja sheria izo mnazosema

Na ikitokea ikawa ivyo,basi amini kwamba Tanzania itaenda kuweka rekodi mpya ya umwagaji damu kipindi chote cha kampeni.
Anza kumwaga damu yako Kwanza....unazungumza au kuandika kana kwamba kumwaga damu ni Jambo rahisi...yalilipuka mabomu pale gongolamboto watu wakakimbia Hadi chalinze bila viatu na watoto wao wakawaacha Hadi walipokuja kutambuliwa baadaye uwanja wa taifa...msipende kutisha watu na hoja ya umwagaji wa damu...je wewe utakuwa mstari wa mbele vurugu zikianza? Au unahamasisha tu watu huku ukuwa umejificha mahali...
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Wacheni kuwa na hofu...
Tundulisu hato katwa....
Atakuwepo ili kuonyesha Tanzania ilivyo na demokrasia pia kudhihirisha zaidi ni nchi inayo fanya siasa za uvumilivu na kidemokrasia....
 
Sheria ya ccm wanataka kuifanya iwe sheria ya nchi???
Tanzania hajatokea nguli wa sheria kama Lisu, na anafahamu nini anafanya katka mambo ya sheria.
Membe hauziki na asitegemee mtaji wa chadema kuingia ikulu,, act iko kigoma tu.
Membe anawaza lisu aengiliwe ili atembelee mgongo wa chdm...
Kwa sababu unamfahamu TL mawakili wenginee wote hawafai bali yeye alifikiria zaidi tutashitakiwa MIGA all whatever you call it?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom