....... Nasubiri kuona ni nini kitafuata baada ya hili
- Ukishatawaliwa miaka 50 ni sawa na kutawaliwa kwa maisha yako yote maana unahitaji miaka 50 zaidi kujikomboa, sasa umetawaliwa na CCM halafu ukatawaliwa na Chadema, Muasisi anasema MWalimu ni safi wapambe wanasema sio ndio matokeo a kutawaliwa miaka 50 na milele ijayo
Le Mutuz System
CCM ni chama dume kitaendelea kupeta daima,Mbowe na wenzake wamekosa hoja ndiyo maana wameamu kutoka bungeni maana wameona walichokuwa wanakitegemea hakitakuwa na hivyo watashindwa cha kuwaeleza wafuasi wao wanywa viloba.