Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

Inaonekana huu Muundo wa serikali 2 ulifanyiwa zindiko kubwa sana. Kwanini unang'ang'aniwa namna hii ni kama vile ni Biblia au kurani ambazo haziwezi kubadilishwa kabisa?

Ccm ilisha tangaza kuwa inamaslahi na muungano kwahiyo usishangae
 
Leo katika kipindi cha KUMEPAMBAZUKA kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RADIO ONE STERIO nimemsikia Kamanda Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya bunge maalumu la katiba na kutorudi tena bungeni bali kwenda kwa wananchi. Mheshimiwa Mbowe ameeleza jinsi ambavyo bunge linavyoendeshwa kwa upendeleo mkubwa sana,Matusi makubwa ya nguoni kwa wajumbe wenye mawazo tofauti na ya serikali ya ccm,kutumia vitisho vingi,udhalilishaji na uonevu mkubwa .

Mheshimiwa Mbowe ametolea mfano kwamba Kama Lukuvi amekwenda kanisani na kuanza kuhutubia watu kwamba kama serikali 3 zitapita Jeshi litachukua nchi.Hivi ni vitisho ambavyo kwanza vinampunguzia umakini ama uwezo rais aliyepo madarakani na pia ni kuamsha hisia za jeshi kufanya hivyo hata leo.Kwa maneno mengine ni kuwapa mawazo ama maoni wanajeshi wetu kupindua serikali.

Inashangaza sana Mheshimiwa Lukuvi hawezi kuwajibika kwa kauli hii kwani mwaka 2009 Samson Mwigamba aliwahi kuandika makala fulani kwenye gazeti la TANZANIA DAIMA kuhusu jeshi lakini serikali ya ccm ikamfungulia mashtaka mahakamani kwamba ni mchochezi na analitaka jeshi LIASI TAIFA NA KUFANYA MAPINDUZI ( ARMY MULTINY AND REVOLUTION) na bahati nzuri sana kesi ile Mwigamba alishinda mwezi Fenruary 2014.Je serikali haioni kwamba Lukuvi ameamsha hisia na kufanya uchochezi jeshi kuasi????

Hata hivyo,mimi binafsi nadhani ccm wanakiinimacho wananchi.Wananchi wamesema Wanataka serikali 3 wao wanatoa vitosho vya Muungano kuvunjika,wanatoa vitisho kwamba nchi itaingia vitani,wanatoa vitisho kwamba fanya ufanyalo ni serikali 2 tu na mwingine akasema kwamba hata kama wananchi wanataka serikali 3 basi wasubiri yeye aondoke madarakani kwanza.

HIVI statements kama hizo zinaashiria dalili za nia njema kweli( GOOD POLITICAL WILL) ya kupata katiba mpya kweli???.Nina mashaka makubwa sana kama kweli katiba mpya inaweza kupatikana katika hali hii ?

- Mbona hakusema kuhusu kurudisha posho ya Serikali ya Intarahamwe au posho yake ni sawa ila mengine ndio mabaya? ha! ha!

Le Mutuz System
 
Naona hao maccm yaliyobaki bungeni wanaweza kupitisha katiba yao sasa fastafasta bila kupata upinzani, wafanye hivyo kabla ya mwezi huu haujaisha wawe tayari wameshamaliza.
 
- Mbona hakusema kuhusu kurudisha posho ya Serikali ya Intarahamwe au posho yake ni sawa ila mengine ndio mabaya? ha! ha!

Le Mutuz System

Posho inahusiana nini na alichoongea Mh bowe,msitutoe kwenye mada nyie ntarahamwe
 
- Mbona hakusema kuhusu kurudisha posho ya Serikali ya Intarahamwe au posho yake ni sawa ila mengine ndio mabaya? ha! ha!

Le Mutuz System
Hakuna kurudisha kwani si wameshazifanyia kazi? points walizotoa washalipia hizo pesa
 
Posho inahusiana nini na alichoongea Mh bowe,msitutoe kwenye mada nyie ntarahamwe

- Ha! ha! ha! Baniani mbaya kiatu chake dawa ha! ha! ha! Serikali intarahamwe lakini posho yake super ha! ha! ha! mashangingi yake super! ha! ha! ha! intarahamaweeeheeeee!! ha1 ha!

Le Mutuz System
 
Hakuna kurudisha kwani si wameshazifanyia kazi? points walizotoa washalipia hizo pesa

- Wamefanyia kazi posho ya mpaka tarehe 30/4/2014 unasema wamezifanyia kazi? ha! ha! ha! posho ya Serikali ya intarahamwe? ha! ha!

Le Mutuz System
 
- Mbona hakusema kuhusu kurudisha posho ya Serikali ya Intarahamwe au posho yake ni sawa ila mengine ndio mabaya? ha! ha!

Le Mutuz System

Posho- Posho mbona mhasemi Pesa zinazotumika na Waziri asiye na Wizara au hizi

Nani kakuambaia pesa ni za Serikali hizi Kodi zetu bana - Wananchi .Mutaendelea kuwadanganya na kuwalaghai wale munaowanunua kwa Ubwawa ,viroba ,ngoma na tisheti.
 
- Wamefanyia kazi posho ya mpaka tarehe 30/4/2014 unasema wamezifanyia kazi? ha! ha! ha! posho ya Serikali ya intarahamwe? ha! ha!

Le Mutuz System
hao waliobaki hawana point yeyote,wao ndo warudishe pesa ya wananchi ..
 
Wewe na familia yako ndio wa hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa duniani
we siongei na mbwa naongea na wenye mbwa, wewe ni nguruwe, wewe, kikwete, baba ako na mama ako wote mna utindio wa ubongo, lazima mama ako aliiba nje ndio wewe ukazaliwa ndio maana akili yako mbovu
 
Wanaotakiwa kushtakiwa kwa kuathiri mchakato wa Katiba ni hawa waliotoka nje ya bunge kinyume na utaratibu.

Siku hizi sijui unawaza kwwa kutumia nini.....Jambo liko wazi, CCM wanataka kuteka bunge la katiba kama ni wao ndio wanaopaswa kuamua kia kitu na kumkejeli mzee Warioba as if aliomba kazi ya tume ya katiba.

Pia kitendo cha Lukuvi kwenda kanisani na kudanganya kuwa endapo nchi itaamua kuwa na serikali 3 eti jeshi litaipindua nchi.....Inaingia kichwani kwako kweli????

Mambo mengine yanaumiza moyo sana, laiti ungefungua macho uone ulivyo uchi hakika ungejisitiri.
 
- Ukishatawaliwa miaka 50 ni sawa na kutawaliwa kwa maisha yako yote maana unahitaji miaka 50 zaidi kujikomboa, sasa umetawaliwa na CCM halafu ukatawaliwa na Chadema, Muasisi anasema MWalimu ni safi wapambe wanasema sio ndio matokeo a kutawaliwa miaka 50 na milele ijayo

Le Mutuz System
 
hao waliobaki hawana point yeyote,wao ndo warudishe pesa ya wananchi ..

- Serikali intalahamwe lakini posho yake super tumegundua janaja yenu bunge liongezwe ili posho iendeleee Serikali ya intalahamwe lakini posho yake Super!!

Le Mutuz System
 
CCM ni chama dume kitaendelea kupeta daima,Mbowe na wenzake wamekosa hoja ndiyo maana wameamu kutoka bungeni maana wameona walichokuwa wanakitegemea hakitakuwa na hivyo watashindwa cha kuwaeleza wafuasi wao wanywa viloba.

we kweli ndezi,unakubali kuwa bakuli la kunywewa supu tena kongoro!CCM imepoteza dira,wapigaji kila kukicha wanaongezeka!
 
- Serikali intalahamwe lakini posho yake super tumegundua janaja yenu bunge liongezwe ili posho iendeleee Serikali ya intalahamwe lakini posho yake Super!!

Le Mutuz System

Mahubiri na maneno kama haya ndo yametufikisha hapa. Bahati njema matunda yake yataliwa na kila mtu. Watchout.
 
ccm wamesha shindwa wamebakiza vitisho nasi tumechoka tunawangoja mitaani
 
Wanaotakiwa kushtakiwa kwa kuathiri mchakato wa Katiba ni hawa waliotoka nje ya bunge kinyume na utaratibu.

Hebu tueleze huo utaratibu sahihi waliopaswa kuufuata kama walikuwa na nia ya kutoka?
 
Eti leo CCm wanadai kuwa serikali tatu ni mzigo kwa wananchi, leo ndio wanamfikiria huyu mwananchi wakati muda wote wanamdhoofisha na sera mbovu za kiuchumi, miundominu,afya, elimu na mengineyo. Hiyo huruma ya CCM inatoka wapi? Wazandiki, mafisadi na wahuni wakubwa wanaoendelea kuliibia taifa letu na wananchi wake kwa kuwadanganya eti kuendelea kudumisha amani iliyopo. Amani ipi iliyoko Tanzania? muda wenu umeisha nyie CCM na soon u will realize.
 
Back
Top Bottom