Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

Kwa kweli kama ni watanzania kuchezewa na serikali ya ccm, tumechezewa vya kutosha, sasa inatosha, hatuwezi kufanywa wendawazimu siku zote kwa kupumbazwa na muungano ambao haupo, sijawahi kuona au kusikia duniani kote, nchi mbili zinaungana na kutengeneza serikali mbili, haya ni maajabu, sisi tunataka katiba mpya, tumetoa mawazo yetu, sasa leo hii wanapoleta ubabe kwa kutumia wingi wao bila hoja, kulejesha muundo wa serikali mbili uleule tulioukataa, ambao kiuharisia haupo kutokana na Zanzibar kuunda katiba inayowatambulisha kuwa nchi kamili, je hii ndiyo katiba mpya tuliyoitaka watanzania, baada ya kunyanyasika kwa muda wa miaka hamsini, hapana tumechoka, tupo tayari kwa lolote katiba mpya ipatikane, na siyo kurejesha ya zamani.
 
Wabunge wa chadema ndio mafundi wa kutukana,hata mtoto mdogo anajua
 
chama dume ccm kinajadili rasimu ipi?coz ya tume ya warioba mshasema ni batili
 
ccm ni chama cha wahuni na washenzi wanasahau katiba ni mali ya wananchi ukawa wamefanya maamuzi mazuri kuwaacha watengeneze katiba wanayoitaka wao
 
Katika hili la kutoka nje wamekosea.
 
Mbowe angetoka kabla ya kusaini posho ya mpaka mwisho wa mwezi hapana simwelewi kabisaaa
 
sisi wananchi tuliowengi tunataka3 nyie ccm na chama chenu mnapinga,salsa hiyo katiba mnayotunga ni ya wananchi au ya ccm? hay a mmebaki wenyewe tungeni mnachokitaka mtuletee uharo wenu nasi tutawaonyesha nguvu ya summa.
 
Inaonekana huu Muundo wa serikali 2 ulifanyiwa zindiko kubwa sana. Kwanini unang'ang'aniwa namna hii ni kama vile ni Biblia au kurani ambazo haziwezi kubadilishwa kabisa?
 
Mbowe amevurugwa, akumbuke matusi ya wehu anaowaongoza akina nassari, sugu na msigwa kila waliposimama kuchangia bungeni. Wamelianzisha wenyewe

Yaweke wazi hayo matusi,mbona ustaarabu unawashinda?chambua hoja alizotoa Mbowe siyo kuazisha matusi hapa
 
Inaonekana huu Muundo wa serikali 2 ulifanyiwa zindiko kubwa sana. Kwanini unang'ang'aniwa namna hii ni kama vile ni Biblia au kurani ambazo haziwezi kubadilishwa kabisa?

na huu mkakati wa serikali tatu unaelekea una ufadhili mrefu sana na ndani na nje kiasi cha jamaa hawataki kusikiliza wenzao kwa hoja bali kwa nguvu na wakizidiwa wanatoka nje.
 
Bunge limekuwa zuri Sana baada ya ukawa kuondoka nimependa Sana
Ni wenye utindio wa ubongo tu ndio wanaendelea kuangalia hili bunge la hovyo kuliko yote yaliyowahi kuwepo kwenye uso wa dunia
 
Ni wenye utindio wa ubongo tu ndio wanaendelea kuangalia hili bunge la hovyo kuliko yote yaliyowahi kuwepo kwenye uso wa dunia
Wewe na familia yako ndio wa hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa duniani
 
Sisi Intarahamwe tunaendelea na mchakato wa kutengeneza katiba yetu itakayotulinda sisi wenyewe hao wengine watajua wao
Kagame alijua CCM under Jk ni kundi moja na Intarahamwe..
 
Zumari liliasisiwa na mpigaji, na Hali mpigaji akijua WIMBO wa kucheza na matokeo ya ngoma. Hatimaye lengo lake linaenda kutimia. Mission will be accomplished in a near future. System at work and CCM at work; what do you expect?
 
Back
Top Bottom