Kauli ya kweli: Je, Mungu huomba?

Kauli ya kweli: Je, Mungu huomba?

Ukimwelewesha kama ulivyomuelewesha atakuuliza kuna Mungu wangapi, utakosa JIBU.

Biblia Iko wazi Mungu ni mmoja nafsi moja tu.

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyevaa mwili na kuonekana kama Mwanadamu, lakini Roho yake ni Mungu.
Kwanini unaandika mambo usiyo kuwa na elimu nayo ?
 
Unaniuliza alifufuka mwili au Roho,NAMI nikuulize,

Mabaki ya mwili wa Yesu ya wapi?

Ndipo ujue, Ni Mungu ndiye aliyevaa mwili wa Mwanadamu akawa kama Mwanadamu wakati huo huo akiwa Mbinguni Katika utukufu akiitwa BABA.
Mabaki ya Adamu yako wapi ? Mabaki ya Musa yako wapi ? Mabaki ya Ibrahimu yako wapi ? Mbona unauliza maswali ya kitoto sana ?!
 
YESU ni mwana WA MUNGU Kwa hio uungu wake ni Kwa sababu ya asili ya Baba yake.Kwa kuwa Baba yake ni MUNGU na yeye ni MUNGU asilimia Mia.Ila nafasi yake ni mwana.Mkuu kushinda yeye ni Baba alieumba vitu vyote
Kwahiyo hata Maana Masumbwi ni nae ni mtoto wa Masumbwi ? Au Mwana Historia nae ni nani ?
 
Huu ulioandika ni utoto na uhuni, mtu mwenye akili hawezi kukubaliana na wewe.

Unajua sababu gani alikuja Yesu ? Yesu alikuja kuleta ujumbe. Basi kama yeye alikuwa ni Mungu, hili lingesemwa na Mungu mwenyewe sababu katika sifa za Mungu ni kujielezea yeye ni nani na ana sifa gani ?

Maneno ya Mungu yote huwa Yana ufafanuzi na yako wazi.

Ajabu ni vipi Biblia ipatie kumuelezea Yesu, hali ya kuwa hao waandishi wa Biblia hawakumdiriki Yesu ?!
Huwezi kuuijua Biblia Toka kwenye Quran.... Ni Ukweli lakini Mchungu...!

Ndiyo maana hakuna Mkristo anahangaika na Uislamu ama Waislamu... Ila Waislam hawana Amani bila kuhangaika na Waislam...!

Hata wewe nakushauri chukua tu muda wako kujifunza Quran, Biblia sio sehemu yako Kwa Wakati huu.
 
Usijisumbue. Mimi ni mkristo na kwa imani yangu na uelewa wa jinsi Biblia inamzungumzia Yesu ni wazi ni mwana wa Mungu. Yupo Mungu mkuu na si Yesu. Mungu hatumwi wala kuomba chochote kwa yeyote. Vyote ni mali yake
Kwahiyo kuna Mungu mkuu na Yesu ni wawili tu, Yesu Mungu na Mungu mkuu hao ni wawili sio watatu, ukuriasto raha kweli lazima ujizime data kabisa.
 
Mungu ni mmoja tu nafsi moja. Maandiko yapo wazi, ni mmoja tu.

Ndiye huyo huyo BABA,

Ndiye huyo huyo Mungu Mwana/Neno.

Ndiye huyo huyo Mungu Roho mtakatifu.

Na jina la Mungu huyo mmoja litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
 
Mkuu Mungu wa Musa na Abraham ni Yesu huyu huyu?
 
Huwezi kuuijua Biblia Toka kwenye Quran.... Ni Ukweli lakini Mchungu...!

Ndiyo maana hakuna Mkristo anahangaika na Uislamu ama Waislamu... Ila Waislam hawana Amani bila kuhangaika na Waislam...!

Hata wewe nakushauri chukua tu muda wako kujifunza Quran, Biblia sio sehemu yako Kwa Wakati huu.
Naam hatuwezi kuijua sababu si maneno ya Mungu. Ingekuwa Injili, au Taurati au Zaburi sawa, sababu ni vitabu vya Mungu.

Tunahoji, Biblia kwa Yale yaliyomo ndani yake sababu huwa mnasema ni maneno ya Mungu bali ni kitabu kitakatifu.

Wewe bufatilii, Kila siku wanaanzisha kuuongelea vibaya UISLAMU, hili hulioni ? Bali huko mitandaoni mpaka nje, wenzako wanashughulishwa na UISLAMU mno. Ilimradi tu wauchafue lakini hawawezi.

Mimi naendelea kujifunza Qur'an mpaka pale nitakapo Kufa. Biblia sifaitilii Wala Sina haja nayo, bali tunahoji kutokana na yale ambayo mnayazungumza kila uchwao.
 
Mungu ni mmoja tu nafsi moja. Maandiko yapo wazi, ni mmoja tu.

Ndiye huyo huyo BABA,

Ndiye huyo huyo Mungu Mwana/Neno.

Ndiye huyo huyo Mungu Roho mtakatifu.

Na jina la Mungu huyo mmoja litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Ndio maana hili unashindwa kulitetea sababu hata Yesu mafundisho haya hajawafunza.

Hii ni Falsafa tu. Halo tayari ushaongelea nafasi tatu tofauti. Hata Lugha nayo ina wakataa.
 
Safi sana, very deeply philosophical and intelligent question lakini hautapata jibu hapa, sababu hizi dini zote ni imani tuu, mimi kwangu hizi dini zote ni usanii mtupu na zimetengenezwa na binadamu ili kujipa power na uwezo wa kutawala wengine , hata uislam kuna vitu ukiangalia vizuri ni usanii mtupu na uwongo kiwango cha lami
 
IMG_3927.jpeg
 
Naam hatuwezi kuijua sababu si maneno ya Mungu. Ingekuwa Injili, au Taurati au Zaburi sawa, sababu ni vitabu vya Mungu.

Tunahoji, Biblia kwa Yale yaliyomo ndani yake sababu huwa mnasema ni maneno ya Mungu bali ni kitabu kitakatifu.

Wewe bufatilii, Kila siku wanaanzisha kuuongelea vibaya UISLAMU, hili hulioni ? Bali huko mitandaoni mpaka nje, wenzako wanashughulishwa na UISLAMU mno. Ilimradi tu wauchafue lakini hawawezi.

Mimi naendelea kujifunza Qur'an mpaka pale nitakapo Kufa. Biblia sifaitilii Wala Sina haja nayo, bali tunahoji kutokana na yale ambayo mnayazungumza kila uchwao.
Binafsi sihangaiki na Quran inasemaje, sitaki kujua Mtume alisema Nini na Nini...!

Kupitia Biblia ipo njia kwangu, ndo naifata...!

Na wewe jaribu kutumia muda wako kujifunza Quran basi....!
 
Kwahiyo kuna Mungu mkuu na Yesu ni wawili tu, Yesu Mungu na Mungu mkuu hao ni wawili sio watatu, ukuriasto raha kweli lazima ujizime data kabisa.
Mimi siamini kwenye utatu mtakatifu. Kuna Mungu na Yesu ni mwana wa Mungu. Hakuna niliposema Yesu Mungu. Shida mkisikia Wakristo mnaamini wote tuna imani moja na tunafanya mambo yanayofanana.
 
Mungu ni mmoja tu nafsi moja. Maandiko yapo wazi, ni mmoja tu.

Ndiye huyo huyo BABA,

Ndiye huyo huyo Mungu Mwana/Neno.

Ndiye huyo huyo Mungu Roho mtakatifu.

Na jina la Mungu huyo mmoja litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Sentensi ya kwanza na ya pili kimaandiko ziko sahihi. Mungu ni mmoja ni ndiye Baba

Ukisema yeye ni Mungu mwana hapana. Yohana 14:28 "Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.

Mungu na Yesu ni viumbe tofauti ila wamoja katika utendaji. Mambo wanayofanya wanafanya kwa upatano.
 
Kila siku tunawaambia muachane na hizo ngano za kirumi hamuelewi. Nyie wenyewe yanawachanganya ila kwa neno la Kuamini na kuogopa ukihoji utakufuru basi mnabaki ka wendawazimu tu. Ukombozi hata hivyo u karibu, mtaelewa tu siku sio nyingi.
Siku si nyingi ,unakufa wanakuja wengine nao wanasubiri hizo siku ambazo si nyingi nao wanakufa wanakija wengine hivyohivyo upuuuzi ,wenzetu wanaendelea sisi yumekaa tunasubiri ukombozi siku si nyingi,shenzi
 
A lot of contradictions, that's why I have decided to stay away from any kind of denominations. My culture will lead me to the Almighty God.
 
A lot of contradictions, that's why I have decided to stay away from any kind of denominations. My culture will lead me to the Almighty God.
Silly contradiction are only found in bible with their christianity, but other religion are very stightforward
 
Back
Top Bottom