Kauli ya kweli: Je, Mungu huomba?

Kauli ya kweli: Je, Mungu huomba?

Na tuumbe mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu.

Hujui mtu ni mfano wa Mungu,

Hujui kuwa Mungu ana macho, masikio, mikono, miguu nk nk?

Husomi maandiko kuwa Yeye aketiye kiti Cha Enzi mbinguni, ana mikono na mikono yake ina matundu ya misumari?

Mungu ni mmoja tu.

Ndiye Yesu.

Ngoja nikutag kwenye Uzi ulioelezea Mungu alionekana kama mtu mbinguni.
Je unajua Kwa nini YESU ameitwa Adam wa Pili?? It is better ukastick Kwanza na kwamba YESU ni mwana pekee WA MUNGU..
 
Yesu ni Adam wa pili sababu tu ya kuja Katika mwili wa Mwanadamu.

Na ndio sababu ya kuitwa mwana wa Mungu, sababu ya mwili alipokuja nao duniani kwa kazi maalum ya kuokoa wanadamu.

Mungu amekuwa akijifunua kama Mwana / Neno, Roho mtakatifu, au Roho wa Mungu, pia amejifunua kama MUNGU BABA,

Lakini anabaki kuwa Mungu mmoja tu.
 
Qur'an 33:56:

"Hakika Allah na Malaika wake wanamswalia (wanamtukuza, kumheshimu na kumrehemu) Mtume. Enyi mlioamini! Mswalieni naye na mumsalimu kwa salamu ya amani."

Tafsiri ya maelezo hayo:

Allah anapotajwa kuwa "anaswali" juu ya Mtume, haimaanishi kwamba anasali kama binadamu wanavyosali au kuabudu. Kwa Kiarabu, neno "ṣalāh" (صلاة) linapohusishwa na Allah linamaanisha kutoa baraka, heshima, na rehema. Si tendo la kuabudu au kuomba kwa hofu kama wanadamu.

Watafsiri wakubwa wa Kiislamu kama Ibn Kathir, Al-Tabari na hata wasomi wa Kikristo wanaojua Kiarabu wanaelewa kwamba

"Swala ya Allah" kwa Mtume ni heshima na baraka, si ibada au kujinyenyekeza kwa nguvu ya juu zaidi.

Katika Qur’an, Allah hajawahi kusujudu, kuinama au kumuomba mungu mwingine. Yeye ni wa pekee na hajahitaji kitu chochote.

Mjifunze Quran kwa kina acheni kukurupuka bila kua na elimu ya kitu.
Hii ni kutafuta kichaka ,kwanini isingeandika allah anatoa baraka imeandikawa allah anaswali ila mnabadilisha kukwepesha.mnapoenda kuswali msikitini mnaenda kutoa baraka?? Acha kupotosha
 
Tatizo huna ujuzi na lugha ya kiarabu kwa wale wanao jua kiarabu hata wawe wakristo hataelewa haraka kabisa........ignorance is a disease
 
Ndio,

Shetani alimjaribu Mungu Katika mwili wa Mwanadamu,

Rejea majibu ya YESU akimjibu shetani, alimwambia,

"Imeandikwa, Usimjaribu BWANA Mungu wako".

Sasa shetani amjaribu Yesu, Yesu amjibu, Mungu hajaribiwi.
Hujaelewa context wewe. Shetani alimwambia Yesu ajitupe chini Mungu atatuma malaika kumdaka ili asiumie, ndio Yesu akamjibu usimjaribu Mungu wako - yaani usimjaribu kwa kufikiri atakutumia malaika kwa jambo unalofanya kwa makusudi.

Tayari shetani alikuwa anamjaribu Yesu, sasa kama context ya "usimjaribu Mungu wako" ilimhusu Yesu wakati huo, kwa nini shetani aliendelea kumjariu baada ya hilo jibu?

Kwa hiyo "Mungu" aliemsema Yesu hapa hakuwa yeye mwenyewe, bali yule shetani ambae aliesema atamuokoa akijitupa chini toka juu. Aliewatuma malaika kumpongeza na kumhudumia Yesu aliposhinda majaribu ya shetani
 
Ukimwelewesha kama ulivyomuelewesha atakuuliza kuna Mungu wangapi, utakosa JIBU.

Biblia Iko wazi Mungu ni mmoja nafsi moja tu.

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyevaa mwili na kuonekana kama Mwanadamu, lakini Roho yake ni Mungu.
Kama Mungu ni mmoja nafsi moja, kuna wakati Mungu alikufa basi. Sasa alipokufa nani alimfufua? Na Biblia inasema Mungu hana mwanzo wala mwisho. Sasa mtu anaekufa utasemaje hana mwanzo wala mwisho? Kama Yesu asingefufuliwa ingekuwa ndio mwisho wake, kwa hiyo Yesu hawezi kuwa ndie Mungu.
 
Hujaelewa context wewe. Shetani alimwambia Yesu ajitupe chini Mungu atatuma malaika kumdaka ili asiumie, ndio Yesu akamjibu usimjaribu Mungu wako - yaani usimjaribu kwa kufikiri atakutumia malaika kwa jambo unalofanya kwa makusudi.

Tayari shetani alikuwa anamjaribu Yesu, sasa kama context ya "usimjaribu Mungu wako" ilimhusu Yesu wakati huo, kwa nini shetani aliendelea kumjariu baada ya hilo jibu?

Kwa hiyo "Mungu" aliemsema Yesu hapa hakuwa yeye mwenyewe, bali yule shetani ambae aliesema atamuokoa akijitupa chini toka juu. Aliewatuma malaika kumpongeza na kumhudumia Yesu aliposhinda majaribu ya shetani
WEWE ndiye hujaelewa,

Shetani na mapepo yalimjua YESU KRISTO kuwa ndiye Mungu,

Na mapepo yalimwomba usitutese, au usitupeleke shimoni,

Shetani pia alisema " Ikiwa u mwana wa Mungu,

Hakusema ikiwa u Mwanadamu.

Sasa shetani anakuzidi ufahamu,

Hili linasikitisha.
 
Basi tuishie hapo. Kuna watu hata Yesu mwenyewe, pamoja na akili zake nyingi na uwezo wa kusoma mind zao, walikataa kuona alichowaambia japo mambo yalikuwa wazi sana, sembuse mimi! Sasa kama wewe umeamua kuamini Mungu alikufa hata uambiwe kitu gani, basi ni uamuzi wako, sio kwa sababu hujaeleweshwa.
 
Kama Mungu ni mmoja nafsi moja, kuna wakati Mungu alikufa basi. Sasa alipokufa nani alimfufua? Na Biblia inasema Mungu hana mwanzo wala mwisho. Sasa mtu anaekufa utasemaje hana mwanzo wala mwisho? Kama Yesu asingefufuliwa ingekuwa ndio mwisho wake, kwa hiyo Yesu hawezi kuwa ndie Mungu.
(Mathayo 26:46-68)

Nina UWEZO wa kuliharibu hekalu hili Kisha nikalirejesha baada ya siku tatu.

..... mwisho wa kunukuu...

Ndipo ujue kuwa Yesu alitoa uhai Katika mwili Kisha akaurejesha Tena Katika mwili.

In other words, aliitoa Roho mwilini na kujifufua Tena( kurejesha mwili kuwa hai).

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja.
 
Basi tuishie hapo. Kuna watu hata Yesu mwenyewe, pamoja na akili zake nyingi na uwezo wa kusoma mind zao, walikataa kuona alichowaambia japo mambo yalikuwa wazi sana, sembuse mimi! Sasa kama wewe umeamua kuamini Mungu alikufa hata uambiwe kitu gani, basi ni uamuzi wako, sio kwa sababu hujaeleweshwa.
Ikiwa utajua tafsiri ya kufa ni Nini ungeelewa zaidi.

Roho haifi milele,

Mwili ndio hufa, ila Roho Iko vile vile,

Kufa ni kutenganisha mwili wana Roho, kufa SI kudissapear ni kubadili form, unaacha mwili wa nyama na kubaki na mwili wa Roho.

Sasa Mungu Hafi, ulikufa mwili aliouvaa, Kisha akaurudishia Tena uhai( akafufuka).

Uelewa wako uongezeke kwa Jina la YESU.
 
Tatizo huna ujuzi na lugha ya kiarabu kwa wale wanao jua kiarabu hata wawe wakristo hataelewa haraka kabisa........ignorance is a disease
Kwamba kujua kiarabu ndio ignorance?? Huko madrasa mnafundishwa ujinga? Swala ni swala mnajificha kwenye kichaka cha kutoa baraka wakati andiko limeandika hakika Allah na malaika wake wanaswali kumswalia mtu ,nguzo ya ya pili kwenye uislam ni kuswali
 
Wewe una chuki Zako hataki kuelewa na utaelewa nyooni mwako una maradhi na Allah kauongezee maradhi kqasbb ya uchuki dhidi ya dini nyingine bila sababu
 
Ikiwa utajua tafsiri ya kufa ni Nini ungeelewa zaidi.

Roho haifi milele,

Mwili ndio hufa, ila Roho Iko vile vile,

Kufa ni kutenganisha mwili wana Roho, kufa SI kudissapear ni kubadili form, unaacha mwili wa nyama na kubaki na mwili wa Roho.

Sasa Mungu Hafi, ulikufa mwili aliouvaa, Kisha akaurudishia Tena uhai( akafufuka).

Uelewa wako uongezeke kwa Jina la YESU.
Pure comedy at play.... eti Mungu akufa eti alikufa mwili wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji1787]ukristo ni usani sana aa loh
 
Japo mimi sipo upande wowote ,ila sio wakristo wote wanaamini ,huyo yesu ndio dhana yao ya kufikirika ya Mungu ,ni tofauti tu kama zilivyo kwa sunni na Shia.
Sunni na shia utofauti wao siyo Mungu alivyo,bali shia itikadi yao ni Ali,binam wa mtume,alidhulumiwa kuwa kiongozi mkuu wa dola la kiislam baada ya mtume kufariki
 
Pure comedy at play.... eti Mungu akufa eti alikufa mwili wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji1787]ukristo ni usani sana aa loh
Kwani kufa ni Nini?

Hata mtu wanaposema amekufa, Roho inakufa?

WEWE ni mchanga bado kwenye mambo haya.
 
Sunni na shia utofauti wao siyo Mungu alivyo,bali shia itikadi yao ni Ali,binam wa mtume,alidhulumiwa kuwa kiongozi mkuu wa dola la kiislam baada ya mtume kufariki
Hizo habari za Mungu ni blabla tu wala sio lazima mtu aamini mungu jinsi unavyoamini wewe .
 
20250507_210405.jpg
 
Back
Top Bottom