Tunaomba ututenganishie lini alikua Mungu na wakati gani alikua binaadamu?Mungu alikuja Katika mwili wa Mwanadamu akawa kama Mwanadamu.
Mwili ni mwanadamu,
Roho ni Mungu,
Sasa akivaa mwili lazima aombe Ili kutimiza sifa za mwili ambao ni dhaifu,
Lakini Katika Roho ni Mungu huyo huyo mmoja.
Mungu ni mmoja tu na jina lake personal tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach
Mkuu bado hujaja na hoja mada ni kuomba sio kupaa je Mungu huomba? Alikua anaomba kwanani?Umequote andiko lisemalo ",ninapanda kwa Baba"
Ukiambiwa Yesu alifufuka kwa andiko Hilo pia utapinga.
Aliyewaroga Islam kawafanyia jambo baya sana.
1.Alikuwa Mungu milele kabla hajavaa mwili .Tunaomba ututenganishie lini alikua Mungu na wakati gani alikua binaadamu?
Alipovaa mwili akawa mfano wa mwanadamu aliomba kwa Yeye mwenyewe,Mkuu bado hujaja na hoja mada ni kuomba sio kupaa je Mungu huomba? Alikua anaomba kwanani?
3.huko mbinguni baada ya kupaa tunaambiwa ameketi kuume kwa Mungu baba mwenyezi1.Alikuwa Mungu milele kabla hajavaa mwili .
2. Alipokuja Katika mwili wa Mwanadamu akaendelea kuwa Mungu Katika Roho, mwili wa Mwanadamu.
3. Alipofufuka na kupaa mbinguni, amerudi Tena Katika mwili wa Roho ndiye Mungu huyo huyo aketiye kiti Cha Enzi.
Ndio maana mabaki ya mwili wa Yesu hayapo popote.
Ni Mungu huyo.
Kukaa mkono wa kiume,3.huko mbinguni baada ya kupaa tunaambiwa ameketi kuume kwa Mungu baba mwenyezi
Haya umeyatoa wapi?? Yesu kama mwana wa Mungu ameketi kuume kwa Mungu baba .Kukaa .kono wa kiume,
Ni kuonyesha mamlaka, utendaji,
SI kwamba kuna kiti kulia.
Elewa.
Unanichanganya zaidi,kwaiyo Mungu alikuwa anajiomba yeye mwenyewe.Mungu alikuja Katika mwili wa Mwanadamu akawa kama Mwanadamu.
Mwili ni mwanadamu,
Roho ni Mungu,
Sasa akivaa mwili lazima aombe Ili kutimiza sifa za mwili ambao ni dhaifu,
Lakini Katika Roho ni Mungu huyo huyo mmoja.
Mungu ni mmoja tu na jina lake personal tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach
Mbona unajigonga gonga jitahidi uwe sitaiti:1.Alikuwa Mungu milele kabla hajavaa mwili .
2. Alipokuja Katika mwili wa Mwanadamu akaendelea kuwa Mungu Katika Roho, mwili wa Mwanadamu.
3. Alipofufuka na kupaa mbinguni, amerudi Tena Katika mwili wa Roho ndiye Mungu huyo huyo aketiye kiti Cha Enzi.
Ndio maana mabaki ya mwili wa Yesu hayapo popote.
Ni Mungu huyo.
Allah hutoa "blessings" tatizo lako hujui kiarabu ntakupa soma katika hilo.Hata Allah pia anaswali sasa huwa najiuliza na yeye anaswali kwa nani??
Innallah wamalikatahu yuswalluuuna ala nnabiiy
Qur'an 33:56:Hata Allah pia anaswali sasa huwa najiuliza na yeye anaswali kwa nani??
Innallah wamalikatahu yuswalluuuna ala nnabiiy
Amekaa mkono wa kuume, na akaambiwa kaa hadi atakapopewa mamlaka. Acha kuleta tafsiri zako mwenyewe ili kuhalalisha unachotaka tuamini.Kukaa .kono wa kiume,
Ni kuonyesha mamlaka, utendaji,
SI kwamba kuna kiti kulia.
Elewa.
Leo umekua analytical sana ahsante kwa mchango wako nzuri, hao watu hawataki kuelewa wanajitoa akili na logicAmekaa mkono wa kuume, na akaambiwa kaa hadi atakapopewa mamlaka. Acha kuleta tafsiri zako mwenyewe ili kuhalalisha unachotaka tuamini.
Mie naona confusion yote inakuja kutaka kulazimisha kuwa Yesu ndio huyohuyo Mungu. Yaani Mungu kuna wakati alikufa halafu akajifufua. Na Mungu wakati akikaribia kuteswa anajiomba kikombe kimwepuke. Kama Yesu alikuwa Mungu akafa, kwa nini Shetani hakuchukua mamlaka? Na kwa nini Yesu amjibu shetani ni Mungu pekee apaswa kuabudiwa?
Tanguliza akili zako mwenyewe, badala ya yale ya kuambiwa, na utagundua Yesu na Mungu ni watu wawili tofauti. Yesu ni mwana wa Mongu sio Mungu.
Kwanza kusema Yesu ni Mungu ni sawa na kusema Shetani alimjaribu Mungu. Mungu hajaribiwi na kiumbe chochote