Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 21,784 Reaction score 57,260 Jul 17, 2025 #1 🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
V Volodimiri Zelensiki JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,461 Reaction score 4,525 Jul 17, 2025 #2 Baba askofu hao sio wajinga hao ni mashoga wenye njaa
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,635 Jul 17, 2025 #3 😂
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,612 Jul 17, 2025 #4 Wasomi wamegeuka kuwa machawa ya wanasiasa
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,483 Reaction score 18,233 Jul 17, 2025 #5 Manyanza said: 🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi. Click to expand... Wajinga wengi wanatokea CCM lumumba
Manyanza said: 🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi. Click to expand... Wajinga wengi wanatokea CCM lumumba
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,675 Reaction score 18,259 Jul 17, 2025 #6 Manyanza said: 🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi. Click to expand... Mpuuzi huyo,hao waluofutwa ujinga na chuo kikuu kimoja ndiyo wale wavaa suti jua Kali!?..walioua viwanda na kuuza nchi afadhali ya mangungo?
Manyanza said: 🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi. Click to expand... Mpuuzi huyo,hao waluofutwa ujinga na chuo kikuu kimoja ndiyo wale wavaa suti jua Kali!?..walioua viwanda na kuuza nchi afadhali ya mangungo?
K kanamaheri Senior Member Joined Sep 24, 2021 Posts 104 Reaction score 84 Jul 17, 2025 #7 gallow bird said: Mpuuzi huyo,hao waluofutwa ujinga na chuo kikuu kimoja ndiyo wale wavaa suti jua Kali!?..walioua viwanda na kuuza nchi afadhali ya mangungo? Click to expand... Nachelea kuamini kama baba askofu wangu kama ni mjinga kweli. Ngoja nisome katiba yetu maana itakuwa ni hasara kwa kanisa na DK
gallow bird said: Mpuuzi huyo,hao waluofutwa ujinga na chuo kikuu kimoja ndiyo wale wavaa suti jua Kali!?..walioua viwanda na kuuza nchi afadhali ya mangungo? Click to expand... Nachelea kuamini kama baba askofu wangu kama ni mjinga kweli. Ngoja nisome katiba yetu maana itakuwa ni hasara kwa kanisa na DK