Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
Nchi haikuwa tajiri. Makaburu ndiyo walikuwa matajiri.
 
kutumia standards za civilization ya leo kuhukumu killichotokea miaka 100 iliopita ni aina flani ya ujinga, ndio maana tuko busy kulalamika kuwa wakoloni walitubia walitunyonya wakati mabara mengine ambayo yalitendewa hivyohivyo walishamove on wakapiga maendeleo, kila mtu anajua wakoloni walchofanya kwa mataifa mengine sio africa tu, asia america kote
Tatizo ni kwamba ile minyororo ya kale bado imeunganika hadi leo; ndiyo kusema lazima ikatwe. :)
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Watu Kama wewe wanafanya Taifa hili na Bara kwa ujumla kutoendelea
 
Hakuna ubaya hapo! Amemuombea apate kile anachostahili..
 
Hawa niliwaamini nikidhani wanaweza kuleta change in Africa
But now naanza kuwa na wasiwasi
Wanafikra za kizamani sana kuliko za wapigania uhuru wa miaka ya 60
 
Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
ANC au EFF?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
hujapenda ulitakaje malezi mabaya toka lumumba ukweli mnauzungumzia vyumbani nje mnamung'unya
 
Cheki Argentina View attachment 2354011
Screenshot_20220911-234327_Facebook.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Bwana Malema ana haki zote na sababu zote Kuandika alichokiandika.

Amesema Ukweli.

Apongezwe.
 
Mawazo ya sampuli yake ni sawa mtu kuwa nayo, lakini kuyaleta wakati huu ni kutafuta umaarufu usiokuwa na maana, kwangu siku zote kuipiga teke maiti ni upungufu wa akili kwa yule anayeipiga.
ila kuipiga maiti teke kwa upande wangu itapunguza hasira
 
Kauli ya malema haina unafiki wala ulabda ndani yake, ila ni ukweli mtupu hata mimi ningekua na sauti kama ya mlema nisingekua na haja ya kuomba kipaza sauti .......other wise naendelea kupitia coment za wale wa mind slavery
 
Eliza hakuwepo wakati hayo yanafanyika.Eliza ndiye alikuwa kiongozi wakati wa kupata uhuru.Makosa ya Babu zake siyo yake.
Amenufaika na makosa ya babu zake. Mpaka anakitoa hakuwahi kurudisha mali walizoiba babu zake ai kuomba msamaha juu ya maovu waliyotenda baba na babu zake
 
Back
Top Bottom