Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

Huyu punguani usihangaike nae! Hana wrma wowote kila Rais kwake mbaya! Mwacheni aendelee kuvimba macho yake!
Jenerali ana national identity, significance na profile, ni Who is Who katika nchi hii na ndio maana ana-command following kubwa nchini nzima kuanzia wanazuoni, wachungaji, wasomi, wanasiasa, wafanyakazi na wafanyabishara! Wewe ni kitu gani zaidi ya kudanga mitandaoni? Kumbuka Ndugai alipomtishia kukamatwa, mitandao ilivyorindima watu wakimwonyesha ndugai profile yake ilivyo ndogo kulinganisha na Jenerali mpaka ndugai akaufyata kuelekea kuanguka kwake! wewe ulikuwa wapi? Maraisi wote nchi hii hakuna ambaye hakutaka kujua Jenerali ni nani na mtu wa aina gani! Mkapa alijaribu kumfutia uraia wake aliipata fresh, watu laki 1 walitia sahihi azimio la kupinga Jenerali kufutiwa uraia wake mpaka Mkapa na kiburi chake chote alifuyata mkia mpaka amefariki! Huyo ndiye Jenerali Twaha Ulimwengu unayemsikia kwa sababu nina uhakika hujawahi kumtia machoni physically! sauti ya Jenerali inasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu anayejiita kiongozi katika nchi hii pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama; Jenerali Ulimwengu ni taasisi inayotembea!
 
Binafsi Namheshimu sana huyu mzee ,ila hiyo tweet yake ambayo haingolei positive side ya Magufuli Administration ndiyo ninayo ikataa...........any way ni mawazo yake ,,,,,uhuru wa mawazo....
 
Jenerali ana national identity, significance na profile, ni Who is Who katika nchi hii na ndio maana ana-command following kubwa nchini nzima kuanzia wanazuoni, wachungaji, wasomi, wanasiasa, wafanyakazi na wafanyabishara! Wewe ni kitu gani zaidi ya kudanga mitandaoni? Kumbuka Ndugai alipomtishia kukamatwa, mitandao ilivyorindima watu wakimwonyesha ndugai profile yake ilivyo ndogo kulinganisha na Jenerali mpaka ndugai akaufyata kuelekea kuanguka kwake! wewe ulikuwa wapi? Maraisi wote nchi hii hakuna ambaye hakutaka kujua Jenerali ni nani na mtu wa aina gani! Mkapa alijaribu kumfutia uraia wake aliipata fresh, watu laki 1 walitia sahihi azimio la kupinga Jenerali kufutiwa uraia wake mpaka Mkapa na kiburi chake chote alifuyata mkia mpaka amefariki! Huyo ndiye Jenerali Twaha Ulimwengu unayemsikia kwa sababu nina uhakika hujawahi kumtia machoni physically! sauti ya Jenerali inasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu anayejiita kiongozi katika nchi hii pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama; Jenerali Ulimwengu ni taasisi inayotembea!
Asante sana kwa kumwelezea kwa usahihi kabisa.
Tunaojua historia ya Jenerali Twaha Ulimwengu tokea akiwa Umoja wa vijana Afrika kule Algeria, ndani ya TANU, Mbunge wa Taifa hadi wakati wa G 55, DC, uanahabari, uanazuoni nk, tunashangazwa sana na vijana wasio mfahamu na wanamuelezea Ulimwengu kama mtu mwepesi mwepesi kwa vile hajawahi kuwa Waziri au na jina kwenye chama!
Hawajui kuwa hata Rais yeyote aliyeko madarakani akipata nafasi ya kuzungumza naye atamsikiliza kwa makini kuliko akiwa na kina Majaliwa au wengine walio madarakani.
Ulimwengu alikuwa mmoja wa vijana ambao hata katika umri mdogo Nyerere aliwaamini sana kwa akili bora.
 
Magufuli anapendwa kwa zaidi ya 95% nchi nzima. Wanaomchukia ni kundi dogo tu la watu wenye uwezo wa kueneza propaganda; ingia mtaa wowote wa uswazi au kijijini uliza nani alikuwa raisi bora jibu lako utalipata.
Ulikopita wewe hayo ndio majibu yako, hakuna wa kupendwa 95% nchi hii
 
Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja ya vyombo vyetu vya veting kuwa makini Sana na veting ya mkuu wetu wa nchi. Kwenye hili la a proper and a tharaly veting niliwahi kushauri Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?

Ila sio vema kumsema vibaya marehemu!. Mwacheni marehemu apumzike kwa amani.

Kama ni kumhusu JPM, tuko akina sisi, tulisema kila kitu kumhusu tangu 2014, hivyo wakati anapitishwa kugombea CCM, na wakati tunamchagua, we knew everything about him Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
P
Paskali hebu nisaidie kuhusu hili swala la uzawa na uzalendo. Hivi wanaotuibia na mikataba fake ni wasudani au waganda? Kuna uhusiano gani wa uraia na wizi ya mali ya umma? Kwangu mimi nadhani teache hizi cheap arguments. Tatizo kubwa tunawekeza katika personalities. Hata wewe humu ulimsifia sana JPM na sasa Samia ( hiyo ni haki yako sina shida).:Lakini cha kujiuliza ni kipi cha maana wamefanya? Leo hii Rais anateua mpaka afisa utumishi wa wilaya. Rais akijisikia kukupa uBalozi..there you go…whether una vigezo au huna…hakuna wa kuuliza. Haya ndo mambo inabidi tupiganie. Tujenge mifumo dhabiti itakayotufaa wote kama taifa.

Tz tunaumizwa na wasomi ambao wanashindwa kuangalia big picture. Watu kama akina Ulimwengu ni wachache sana. Wenye uthubutu.

ifike sehemu tuwawajibishe viongozi wetu, hata kwa kuwauliza inconvenient questions.
 
Maana halisi ya great thinker
 
Huyu punguani usihangaike nae! Hana wrma wowote kila Rais kwake mbaya! Mwacheni aendelee kuvimba macho yake!
Anafahamu alipozaliwa aende huko akawajibu wenzake wenye asili yake. Sisi kama Raia asili tunamuona mpuuzi na sio Elite. Kenge kabsaa muhamiaji asiyejitambua
 
Ulikopita wewe hayo ndio majibu yako, hakuna wa kupendwa 95% nchi hii
Na wewe unaweza fanya survey yako hitimisho litakuja hilo hilo; ingia kitaa uliza swali rahisi tu nani bora Samia au Magufuli; au chagua raisi mwingine yeyote isipokuwa Nyerere.

Ni hivi Magufuli hana mpinzani mbele ya watanzania. Sifa ya kiongozi ni kuaminika na watu unaowaongoza wakikutazama wanaona una majawabu ya changamoto zao ata kwa kuwapa hope tu na Magufuli alikuwa mwerevu kwenye siasa hizo.

Wahudumu kufunga gate wamama kuzalishwa barabarani na mkunga kwa bahati aliekuwepo kwenye tukio; kuna mtu hapo asubuhi yake cha moto angekiona. Huyo ndio alikuwa Magufuli, hawa sasa anhaa kwani matatizo yao hao si ya watu maskini.

Hakuna wakumfananisha na Magufuli kwa miaka 37 iliyopita; huo ndio ukweli.
 
Ifike wakati sisi Watanzania tujiulize tunataka Rais wa namna gani maana kila Rais ni kumbebesha lawama tu bila kutambua nae ni binadamu
 
Mkuu hao wanaohangaika na Rais Magufuli ni wa hapa jamii forum walishakutana na kupandikizana ujinga na ukiwauliza watakwambia dikteta na brabra kibao! Je aliyepo vipi kaleta nini? Hamna jibu ni ubabaishaji tu wa kutosha!
 
Hivi kuna mjinga kama wewe mjane wa yule Mhutu humu jukwaani?
 
Wewe ni mtu usiyejua nini unataka! Kutwa nzima uko hapa unabwabwaja juu ya Magufuli! Ukiwa jamii forum na mataahira wenzako mnaomchukia Magufuli unadhani ndo watanzania wote wako kama wewe!
 
JPM was everything he could ever dream off.
Aliachieve kila kitu Jenerali ameachive but only kwenye ndoto.
The fact kua JPM alikua waziri for 20yrs inaonesha alistahili kua alipokua, km asinge stahili asingedumu km waziri miaka yote 20 or kutoboa Mbele ya wenzake 40 ktk uteuzi wa Uraisi. Kuna mawaziri wachache sana waliohudumu kwa kipindi kirefu hivyo. Mkapa alimuita Askari wake wa miamvuli, JK alimuita Jembe lake.

Km YY angekua ana stahili asingeishia kua mkuu wa Wilaya kwa term moja, Mwana Bongo Movie aliefail and now mwanaharakati huru. Angekua na kismati km cha JPM angalau angetoboa kwenye Bongo Movie bt he didnt...kifupi he just a mediocre ktk kila anachokigusa.

Amegundua no one is paying attention unless akimtaja Magufuli, and so far its working well for him angalau anapata airtime.
Siku akianza kuzungumzia mfumuko wa bei na maisha ya watanzania kua magumu mtutag pia.
Arios Amigos.
Huyu aliwahi kusoma kanuni ya Petro katika uongozi (Peter's principle) au siku hizi shule hawafundishi haya mambo!! Nasikia syllabus ya elimu inarejewa hivi sasa!!

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom