Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,295
Reaction score
39,980
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.

Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.

WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.
 
Chadema michango tunatoa na tunafurahia hilo , kuhusu mpenzi wako wewe endelea nae tu ,huwa kenge wanakatabia kakuto sikia mpaka watoe damu
20250527_200750.jpg
 
Chadema michango tunatoa na tunafurahia hilo , kuhusu mpenzi wako wewe endelea nae tu ,huwa kenge wanakatabia kakuto sikia mpaka watoe damuView attachment 3350917
Jamani huyu sasa mwishowe atakuwa ni nembo ya taifa tusipoangalia!
Maana tangu Samia awachokoze waKenya, kenge katawala sana.
 
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.

Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.

WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.
Chadema wanapenda sana michango😀😀😀
 
Tenaa? Sio mwanaume anapenda na mwanamke anatii?

Nani anamtongoza mwenzake? Tuanzie hapo.
Mwanaume akimtongoza mwanamke haimaanishi ndo wanakuwa mke na mme ila wanaingia kwenye uchumba.

Kwenye uchumba ndo mwanaume anatakiwa achunguze kama mchumba wake atafaa kuwa mke.
 
Back
Top Bottom