Mtaibua na kubukua sheria zote ,ila kwa hili mkuu hatoki ,labda wamuonee huruma ,jingine ni aibu kwa kiongozi wa Chama kubaka wanawake tena wanaoonyesha kuwepo kwa undoa ,yaani haiingii akilini kabisa ,kwa mheshimiwa kama Slaa kuvaa mwananmke ambae data zake zina utata ,na sasa ndio analipa price.
Kwa kuwa shauri hili la madai ya kuibiwa mke sasa limeshapelekwa mahakamani ambapo ndipo sheria hutafiriwa na kuamua nani mkosaji na mkosewa tusubiri tuone mwisho wake utakuwaje badala ya ku predict msindi nje ya mahakama