Kauli ya Ex wangu ilibadili maisha yangu

Kauli ya Ex wangu ilibadili maisha yangu

Hii thredi haina maana, ni kama zile shuhuda za kanisani, "baada ya kuanza kuja madhabahu hii, sasa ivi namiliki gari".
Bila kutaja kama ulipata danga, umeiba, umefanya ufisadi, ulienda kwa mganga etc.
 
Aaaaah mkuu nimeleza hapo kuwa nilianza kuwa na nidhamu ya utafutaji pesa na kuitunza pesa,kitu ambacho zaman nilikuwa sifanyi na baada ya hapo nilikuwa na ndoto ya kufika mbali kwaiyo ilinibidi nifanye kazi kaa bidiii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio kauli inayoonesha utekelezaji wowote "kimaisha na kila nilipokuwa nakumbuka kauli hii ndipo nilikuwa nafanya juhudi za kufanikisha shughuli zangu ili mambo" .
GLU ™
 
kama hukua na nidhamu ya hela, alikuambiaje utafute hela, wakati ulikua mda wote una spend!?
 
Hii sio kauli inayoonesha utekelezaji wowote "kimaisha na kila nilipokuwa nakumbuka kauli hii ndipo nilikuwa nafanya juhudi za kufanikisha shughuli zangu ili mambo" .
GLU [emoji769]
Inawezakana lakini kwa upande wako ikawa hivyo lakin kwa watu wengine ikawa tofaut.

Hata darasani mwalimi anaweza kutumia mbinu zote za kumuelimisha mwanafunzi lakn mwanafunzi akawa mgumu kuelewa na kuifanyia kazi mafundisho ya mwalimu.

Na kumbuka hata mimi miaka fulani hivi,ili kutimiza kazi tunayoifanya ilitupasa tuimbe nyimbo za asili ili tuwe na hamasa ya kufanya kazi.

Mimi ni supervisor nina team ninayoiongoza kufanya kazi.endapo naona wafanyakazi hawana hamasa ya kufanya kazi huwa nachukua vijizawaidi nawapa wanakuwa na furaha na kazi.

Kwaiyo wana wa adamu wako hivyo.maneno yana nguvu ya kukupa hamasa ya kufanya kitu fulani.

Mtu anaweza kuongea kitu fulani kwako ikawa kawaida lakni kwa mtu mwngn s hvyo unavyofkria

Point noted 🖐️
GLU ™
 
kama hukua na nidhamu ya hela, alikuambiaje utafute hela, wakati ulikua mda wote una spend!?

Unajua pesa ya ku spend inakuwa haina akiba

Unaipata leo na kuitumia then unasubr nyngn itakayokuja.

Maana una spend bila mpangilio na unapopigwa mzinga au kuombwa hela una kuwa empty so hali hii inaonekana huna hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka tano hivi imepita baada ya Ex wangu kuniambiea ‘’nisiwe nang'ang'ania vitu vyenye thamani ya gari wakati hata spea ya piki piki sina”.

Mwana JF kauli hii aliniambia Ex wangu baada ya kuniona mimi sina kipato cha kukizi mahitaji yake na aliniomba tuachane maana tunapotezea muda tu.

Nilikuwa namng'ang'ania asiwe mtu wa maamuzi ya haraka lakini alikataa na alipoona namsumbua sana ilibidi anipe dose yangu kuwa “nisiwe nang'ang'ania vitu vyenye thamani ya gari huku sina hata spea ya piki piki, alienda mbali akisema tafuta kwanza pesa ukiwa na pesa utaepukana sana na usumbufu wa wadada,utaepuka kuongea sana au kumbembeleza sana mwanamke unaemuhitaji.

Akazidi kusema wanawake wanatabia moja ukitaka apatikane kirahisi wewe fanya kumshawishi kimatendo na sio maneno.

Mwambie niko malaika beach au tukutane rock beach,atakupa jibu la ndio hata kama ujaeleza shida yako na sio zile promise za tukutane chini ya mti, jua utadhaulika kabla ya...na ukitaka kuamini we tafuta pesa.

Halafu huoni kwanza pesa zitakupa kajeuri fulani hivi kwa mwanamke tofauti kabisa ikiwa huna kitu na ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kukuvumilia akiona maybe siku moja utatoboa na mambo yatakuwa sana”

Kauli hii nilihisi kuwa amenidharau mpaka mwisho niliona isiwe case nikaachana nae.

Kauli yake kimaneno nilipinga ila kimoyo moyo nikaikubali na ndio siku nilianza kutafata pesa na kutunza pesa kwa makini tofauti na zamani nilikuwa natafuta pesa ya kodi na soda basi na sikuwa na ndoto yakumilki nyumba gari au vitu fulani hivi vya kunipa mafanikio.

MREJESHO: Baada ya kuanza kutekeleza kauli ya Ex wangu nilianza kuwa na ndoto ya kufika mbali sana kimaisha na kila nilipokuwa nakumbuka kauli hii ndipo nilikuwa nafanya juhudi za kufanikisha shughuli zangu ili mambo yakae sawa.

Saivi mambo swari yamenyooka na nimeachana na zile ahadi za tukutane chini ya mti, na kweli nimeamini asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kushawishiwa sana na vitu vidogo vidogo na ukiwa na pesa hawana lolongo.

EX wangu huwa namtafuta nimpe hongera lakini kwa bahati mbaya sijawahi kukutana nae na namba zake nilifuta baada ya kunipa DOSE.

Kijana mwenzangu tafuta pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli hii kaka yangu flani aliniambia mda sana, sasa anaishi nje, niameiamini maana wamekua sio sasa.
 
Back
Top Bottom