olym
JF-Expert Member
- Jul 25, 2019
- 265
- 454
Nimewengana sana na wasiojua panapohitaji a au na wale wenye x kwenye maneno ya kiswahili.Mimi hadi leo nashindwa kuelewa inakuwaje mtu mzima hajui matumizi ya a au h.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe hiyo HKL siijui EGM ilipita kichwani mwangu ,ila nakumbuka vitu vichache vya msingi nilivyokuwa nafundishwa darasa la kwanza kwenye uandishi na kusoma. Nimesoma shule zinazoanzia darasa la 1 sio grade 1 au standard 1.Watu mliosoma HKL huwa mnasumbua sana
Hiv heruf ni nin na silabi ni nin. Mbona mi sivijui
Kijana mwenzetu tuelekeze basi ni wapi ulizitafutie na sie tuje huko huko
Kijana mwenzetu tuelekeze basi ni wapi ulizitafutie na sie tuje huko huko
Wanawake wenye nyodo na wenye lengo la kuchuna wengi huishia kuliwa na kuachwa, zaidi atamkuta na msongo wa mawazo.Angalia zisiishe ukakutana na X ukiwa huna kitu ukaanza maneno mengi kama unajua nilitusua ila sasa sikukutana na wewe, yaani kama tungekutana miezi sita iliyopita bla bla bla.. Nakwambia hivi maana inaonekana unazitafuta kumprove x wako wrong, pia ombea asiwe amepanda viwango na si yule uliyemwacha
Wewe ni kama kenge,husikii mpaka masikio yatoe damu. Huoni umuhimu wa kutafuta pesa mpaka uambiwe na mtoto wa kike,ndio maana amekukimbia. Angekuona una juhudi angevumilia kidogo ajue labda zitakuja.
Kweli mkuuWanawake wenye nyodo na wenye lengo la kuchuna wengi huishia kuliwa na kuachwa, zaidi atamkuta na msongo wa mawazo.
[emoji116]nimeopenda avatar yakoView attachment 1395042
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa kike ndio hatutakiwi kuwa na hela?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu tugawane hizo ambazo umeshazitafuta hadi sasa