Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

sasa mbona slaa anameza matapishi yake? Lini yeye alishatoa tamko la kumkubali kikwete kama rais wa nchi hii? Yeye si alishatamka waz waz kua rais wa nchi hii ni yeye na kwamba ushindi wa kikwete ni batili.

Hivi Slaa bado tu hajakata tamaa kua wananchi tushajua janja na siri iliyojificha ndani ya hiki chama cha kichaga na kidini?
Its bad that Slaa n his mobb are wasting their time and too bad indeed because this time will come to lost them too.
 
Nionana na Dr. hivi karibuni na nimeamini kuwa mzee huyu kweli ana mda mfupi sana wa kupumzika kwa siku. I think just 3 to 4 hours a day
 
Iam requesting my president to stop complaining about malpractice - corruption and bribe in his political party and instead he shall take action against all alleged of involving in this dirty practice.

We are fed up of hearing and hearing this type of satire from our president. Please take action we still trust you. Complaints of this nature from such a big bwana will never make a change. Hata mimi na wengine tunakushangaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nionana na dr. Hivi karibuni na nimeamini kuwa mzee huyu kweli ana mda mfupi sana wa kupumzika kwa siku. I think just 3 to 4 hours a day

yah ni kweli
inaonesha dada josephine hua anampeleka peleka juu juu sana
mara mahakamani kukata rufaa,mara kwa wakili wa kutetea ile ndoa,kwa kweli yupo katika wakati mgumu sana anahitaji maombi sana
,,forsure everybody needs somebody to call him his wife and vice versa is true
usichoke slaa kupigania ndoa yako,,
 
Kupitia ACCOUNT yake ya kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOK DK.SLAA kaandika haya..

"Rais akilalamika kuhusu rushwa kukithiri, wananchi wanapaswa kwenda kwa nani kupata msaada ili kupambana nayo?"
wanapaswa kujiunga na CDM na ku support M4C ili 2015 tuwaondoe viongozi wanaolalamika tuwaweke viongozi wanaotenda na kutatua matatizo ya wananchi!
 
Tuna rais mmoja tu Mr. Jakaya Mrisho Kikwete na sina hakika kama zaidi ya kutumia rushwa, hadaa, ushirikina na nguvu za kijeshi pia alitumia dhambi ya ukanda kushinda,udini na ukabila sababu hata kule alikozaliwa najua uchakachuaji wa hali ya juu ulifanyika.

Kama unaweza kulielezea hili vizuri nitashukuru sana lakini ukumbuke malalamiko yasiyo na uhalali ni upotofu na upumbavu.
 
Kwa uelewa wangu, Rais hawezi kuongea hadharani bila kauli yake au hotuba yake kupitiwa na washauri husika (eg Siasa, uchumi, ulinzi nk). Sasa mimi nauliza washauri wa Rais wetu wana mgomo baridi au Rais ni mbishi sana? Maana angekuwa anapunguza sana aibu hizi zisizo za lazima.
 
Taakuukuu i mean takukuru nao kupitia mkurugenzi mkuu waliwahi kuibuka na ngonjera za kuwapa muda wa kula krismasi kisha iwashughulikie, hadi leo kimyaaa.
....[/QUOTE]

Krismasi bado haijaisha.
 
sasa mbona slaa anameza matapishi yake??
Lini yeye alishatoa tamko la kumkubali kikwete kama rais wa nchi hii??
Yeye si alishatamka waz waz kua rais wa nchi hii ni yeye na kwamba ushindi wa kikwete ni batili
hivi slaa bado tuh hajakata tamaa kua wananchi tushajua janja na siri iliyojificha ndani ya hiki chama cha kichaga na kidini??
Its bad that slaa n his mobb are wasting their time
and too bad indeed because this time will come to lost them too..
Wewe na mafsadi wenzako ndio mnapoteza muda wenu na 2015 subiri tuwaonyeshe kuwa magamba tumewachoka.
 
Lyimo
Ni vizuri wabunge waanze ili sisi tuwaunge mkono

Wabunge wa upinzani wanaweza kufanya hivyo. Hoja yenyewe itapingwa vikali kwa kusema kuwa ni ya upinzani. Kama Mnyika aliweza kutolewa Bungeni kw akumuita "dhaifu" itakuwa hoja ya kutokuwa na imani naye?
 
yah ni kweli
inaonesha dada josephine hua anampeleka peleka juu juu sana
mara mahakamani kukata rufaa,mara kwa wakili wa kutetea ile ndoa,kwa kweli yupo katika wakati mgumu sana anahitaji maombi sana
,,forsure everybody needs somebody to call him his wife and vice versa is true
usichoke slaa kupigania ndoa yako,,

Hayo ni yako yangu nilimaanisha anafanya kazi nyingi kokote aliko na aendako.
 
sasa mbona slaa anameza matapishi yake??
Lini yeye alishatoa tamko la kumkubali kikwete kama rais wa nchi hii??
Yeye si alishatamka waz waz kua rais wa nchi hii ni yeye na kwamba ushindi wa kikwete ni batili
hivi slaa bado tuh hajakata tamaa kua wananchi tushajua janja na siri iliyojificha ndani ya hiki chama cha kichaga na kidini??
Its bad that slaa n his mobb are wasting their time
and too bad indeed because this time will come to lost them too..

nakuonea huruma maana kiengereza kama lugha tu chenyewe hujui , je kutoa mchango wenye weledi kwa manufaa ya nchi yako utaweza kweli?

pili unadhani tukianza kubaguana kidini na hata kikabila wewe na ndugu zako mtapona?
 
Enyi watanzania jioneeni huruma nyie na vizazi vyenu,amkeni muwakatae hawa mashetani nyinyiemu ambayo yameifanya rushwa kuwa sehemu ya ibada yao,tutasalimika vipi tukiwaendekeza hawa wanunuzi wa madaraka???

EL njia nyeupeeeeee
 
Wabunge wa upinzani wanaweza kufanya hivyo. Hoja yenyewe itapingwa vikali kwa kusema kuwa ni ya upinzani. Kama Mnyika aliweza kutolewa Bungeni kw akumuita "dhaifu" itakuwa hoja ya kutokuwa na imani naye?

waulize mkono na mpina wamefanywaje baada ya kusaini orodha ya wanaokubali hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu
 
[/color]nakuonea huruma maana kiengereza kama lugha tu chenyewe hujui , je kutoa mchango wenye weledi kwa manufaa ya nchi yako utaweza kweli?

Pili unadhani tukianza kubaguana kidini na hata kikabila wewe na ndugu zako mtapona?

sasa swali hilo tuwaulize chadema..
Je,kwa kuendekeza ukanda,udini na ukabila,
wakichukua nchi tutapona??
 
Back
Top Bottom