Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Somji Juma, Oct 23, 2012.

 1. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,484
  Likes Received: 2,022
  Trophy Points: 280
  Kupitia ACCOUNT yake ya kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOK DK.SLAA kaandika haya..

  "Rais akilalamika kuhusu rushwa kukithiri, wananchi wanapaswa kwenda kwa nani kupata msaada ili kupambana nayo?"

   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haswa, mimi mwenyewe nimejiuliza sana kwamba anampango gani huyu presid juu ya hilo.
  Atoe ufafanuzi, hii kusema nyangumi wako deep sea sasa Ona vidagaa NAVYO vinamcheze,HAVIKAMATIKI
   
 3. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwanini usianzishwe mchakato wa kutokuwa na imani na Rais kupitia udhaifu huu?? Bilashaka kipengele cha kutokuwa na imani na Rais kwa kushindwa kutekeleza majukumu kipo kwenye KATIBA yetu ya sasa tunayo chechemea nayo. Ni vizuri wabunge waanze ili sisi tuwaunge mkono.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamaa ana dola, na ofisi ya Takukunguru iko chini ya Ofisi yake, lakini naye anabwata na kusikitika!
  Hiki ni kituko cha mwaka!
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Raisi yeye mwenyewe mtuhumiwa wa rushwa, refer list of shame Mwembeyanga.
  Alishawahi kupelekewa list ya majina ya wala rushwa lakini akashindwa kuchukua hatua. Taakuukuu i mean takukuru nao kupitia mkurugenzi mkuu waliwahi kuibuka na ngonjera za kuwapa muda wa kula krismasi kisha iwashughulikie, hadi leo kimyaaa.

  Juzi katika uchguzi wa mkoa wa pwani vijana wa taakuukuu walishuhudia kwa macho yao wanaccm wakigawana rushwa lakini badala ya kuwakamata wao wakaamua kwenda kuripoti kwa mkuu wa mkoa. Hadi hapo tutakapoing'oa ccm ndipo tutpta raisi mwenye nia na uthubutu wa kupambana na rushwa.
   
 6. g

  godfrey_p New Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ni janga kitaifa na mwasisi wake ni ccm so we have to change the ruling part.its the time now to act.
   
 7. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280

  sasa mbona slaa anameza matapishi yake??
  Lini yeye alishatoa tamko la kumkubali kikwete kama rais wa nchi hii??
  Yeye si alishatamka waz waz kua rais wa nchi hii ni yeye na kwamba ushindi wa kikwete ni batili
  hivi slaa bado tuh hajakata tamaa kua wananchi tushajua janja na siri iliyojificha ndani ya hiki chama cha kichaga na kidini??
  Its bad that slaa n his mobb are wasting their time
  and too bad indeed because this time will come to lost them too..
   
 8. M

  Magesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huna lolote na propaganda zako za udin na ukabila
   
 9. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Enyi watanzania jioneeni huruma nyie na vizazi vyenu,amkeni muwakatae hawa mashetani nyinyiemu ambayo yameifanya rushwa kuwa sehemu ya ibada yao,tutasalimika vipi tukiwaendekeza hawa wanunuzi wa madaraka???
   
 10. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280


  u have to face reality even though it pains
  slaa n his chademonstration mobb are wasting their time..
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
   
 12. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Tunasafari ndefu kama tutaendelea kuichagua CCM.
   
 13. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280

  na kama mkombozi ni chadema basi ikaripiwe vikali kwa ibada yao ya udini na ukabila
  maana huo ndio utatumaliza sisi na vizazi vyetu
  usione uzito sote tuikemee tabia hii ya chadema
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Rais aliyepatikana kwa Rushwa lazima atawale kwa misingi ya Rushwa.
   
 15. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280

  na yule atayepatikana kwa ukanda,udini na ukabila atatawala kwa???.....
  Usinipe jibu,,maana naenda zangu lunch nirud kujenga taifa langu..
   
 16. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  . I like this name, it fits them perfectly! Thanks Mwita Maranya!
   
 17. m

  man lesha Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Aliyoyasema dr. Yanatosha congezi neno
   
 18. k

  kukukakara JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ukabila unao wewe, hatuhitaji kujua u mmakonde humu!
   
 19. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja yako. Kama vipi ifanye iwe 'thread' ili kura za awali zianze humu JF, kwa permission ya Mods
   
 20. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280


  ila ningekua mchaga ungenihitaji sio??
  Ila me ni mkristo mwenzako,stil bado hunihitaji coz of umakonde wangu??
  Do you see now where the problem rise?
  I am telling you,this party is a natural calamity more than just tsunami,floods,global warming,earthquake and etc..
  Lets us seek ingridients of acknowldgement..
   
Loading...