Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

When the President complains over graft
Monday, 22 October 2012 23:09

President Jakaya KIkwete

By The Citizen Reporter
Dodoma

President Jakaya Kikwete has complained bitterly about rampant corruption in the internal elections in his own ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM). If the trend continues, he warned, the party risks losing the trust of the people due to corruption and internal divisions.

Mr Kikwete, the national chairman of CCM, was speaking at the close of the general congress of the eighth CCM Women’s Wing—popularly known as Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Clearly disturbed by the going-on at the congress, President Kikwete spoke on Sunday evening of money having been poured in the elections. “There are things that have been happening which are hard to explain,” he added.

“This is very dangerous. If we continue this way, we will create a bad image (of the party) before the public. Using money to gain leadership is very bad, but we have reached a point now that these things are done by women…and now we have reached a stage where women have also started buying votes for leadership.”

President Kikwete’s remarks came only days after former Prime Minister Frederick Sumaye complained that “too much” money went into the victory of his rival in CCM’s National Executive Council contest in Hanang’ District last month.
The ruling party may have opened up about internal corruption, but the country will have to wait for any suspects to be brought to court yet.

The Prevention and Control of Corruption Bureau (PCCB) says it is conducting investigations. “We are still receiving reports from all the regions and we will brief journalists after that,” PCCB Director-General Edward Hoseah told journalists last week.

In a TV programme aired on Sunday evening by Channel Ten, CCM Secretary-General Wilson Mkama said the party leadership was thinking of reviving its corruption watchdog to deal with the crisis.

At Sunday’s UWT congress, Minister for Community Development, Gender and Children Sophia Simba successfully defended her post as national chairperson. Ms Asha Makame was elected the vice-chairperson. Ms Simba beat Anna Malecela, the MP for Same East-CCM, and Ms Mayrose Majinge.
Mr Kikwete said that those using money to gain popularity within the party might succeed in luring the delegates, but it would cost the party its public esteem.

On factions within the party, President Kikwete cautioned the newly-elected UWT national chairperson that her work would be hard and she would achieve little if the rivalry that characterised the campaigns continued.
For the wing and the party to be strong, he advised her, to work with all factions, including those that supported other candidates. He added:

“I am a living example of such situation. After winning the presidency in 2005, I included in my cabinet those who had competed with me in the primaries. Prof (Mark) Mwandosya competed against me but I appointed him a minister and he is still in the cabinet to date.”

Amazingly, he quipped, it is his allies who started fighting among themselves after he formed the government. The President told the winners that they should ensure that the rival groups are dissolved and that they work together if they want to make the party stronger. “Our goal as a political party is to win elections at all levels and on both sides of the Union and form the governments,” Mr Kikwete added. “We will not achieve this if we start competing from within.”

Though he did not mention it directly, Mr Kikwete was apparently referring to the bitter rivalry between Ms Simba and Ms Malecela during the campaigns.

Meanwhile, preparations for the Youth Wing (UVCCM) general congress have been completed. UVCCM Secretary-General Martine Shigela told reporters yesterday that the congress, which will also elect national leaders, will be held today in Dodoma.

He added: “I want to caution delegates and candidates to refrain from bad campaigns and corruption as we have set strategies aimed at controlling those vices. Even after the elections, if we establish that a candidate who has won or lost or a delegate engaged in corruption, we will take action against him.”
The UVCCM is expected to elect its national chairman from among three candidates—Sadifa Juma Khamis, Rashid Simai Msaraka and Lulu Msham Abdalla.

The candidates for vice chairman are Mr Paul Makonda, Ms Mbini Mhita and Mr Ally Hapi. Other positions to be contested include the CCM National Executive Committee, UVCCM representatives to UWT and Parents wings and members of the UVCCM governing council.

sasa swali hilo tuwaulize chadema..
Je,kwa kuendekeza ukanda,udini na ukabila,
wakichukua nchi tutapona??

embu jaribu kubadilika japo kidogo tuu tutafute mbinu nyingine kisiasa, hili swala jamani sio zuri, ewe mungu nakuomba umbadilishe huyu bwana aachane na mambo haya na kama hatobadilika naomba umpelekee udini kwenye familia yake aone uchungu wake kabla ya taifa kuangamia kwa hii mbinu chafu
 
ameen..
Pia auondoe udini,ukanda na ukabila wa chadema kwa maslahi ya tanzania ya leo na ijayo
ameen..
 
ameen..
Pia auondoe udini,ukanda na ukabila wa chadema kwa maslahi ya tanzania ya leo na ijayo
ameen..

kazi uliopewa itakushinda muda si mrefu nikiangalia michango yako wala huna dira wala hujui unachofanya umetumwa kuvuruga angalia kushoto hapo ulipo angalia wadogo zako wanavyopata shida kupanda daladal hapo lumumba vuka bara bara hicho kituo cha basi zinazoenda manzese ubungo uwasaidie
 
sasa unaongelea hisia mimi sio mwanasiasa na sio mchumia tumbo
njoo ghorofa ya pili ministry of finance and economic affairs room no.302
office of commissioner of budget wagebill management and control nikuthibitishie haya nayokuambia..
Njaa kali itakuuua..
 
ameen..
Pia auondoe udini,ukanda na ukabila wa chadema kwa maslahi ya tanzania ya leo na ijayo
ameen..
Kuna wakati mtu unapaswa kujiuliza maswali kuhusu wewe mwenyewe, mimi ni nani? Nafanya nini? Nina faida gani kwa jamii yangu? Nina ubongo wenye IQ nzuri? Nk..ukishindwa kufanya hivyo madhara yake ndo akili kama hizi..
 
Hivi wewe mmakonde mpumbavu bado unaleta udini na ukabila na hali taifa hili liko kwenye mapigano ya kidini,ama kweli adui wa mkristo ni shetani na adui wa mwislamu sio shetani bali mkiristo.shem on you mmakonde!
 
hivi wewe mmakonde mpumbavu bado unaleta udini na ukabila na hali taifa hili liko kwenye mapigano ya kidini,ama kweli adui wa mkristo ni shetani na adui wa mwislamu sio shetani bali mkiristo.shem on yuo mmakonde!

usinitukane
pia mimi mbona ni mkristo mwenzio
bwana yesu hajatufunza ivoo..
 
kazi uliopewa itakushinda muda si mrefu nikiangalia michango yako wala huna dira wala hujui unachofanya umetumwa kuvuruga angalia kushoto hapo ulipo angalia wadogo zako wanavyopata shida kupanda daladal hapo lumumba vuka bara bara hicho kituo cha basi zinazoenda manzese ubungo uwasaidie

then u will tell me who told to come mjini dar es salaaam.
 
sasa unaongelea hisia mimi sio mwanasiasa na sio mchumia tumbo
njoo ghorofa ya pili ministry of finance and economic affairs room no.302
office of commissioner of budget wagebill management and control nikuthibitishie haya nayokuambia..
Njaa kali itakuuua..

Unafanya shughuli gani hapo? Shughuli hizo zina husiana lolote na mishahara hewa?
 
na kama mkombozi ni chadema basi ikaripiwe vikali kwa ibada yao ya udini na ukabila
maana huo ndio utatumaliza sisi na vizazi vyetu
usione uzito sote tuikemee tabia hii ya chadema
Mtu mwenyewe eti unajiita zee la kimakonde,nyambaff nyie ndio mliowafikisha hapo wamakonde wote kwa ufisadi wenu mpaka leo wamekuwa masikini wa akili na mwili pamoja na utajiri walio nao wa korosho,gesi na mafuta bado mnawadanganya kwa kanga na vikofia,sasa hivi wameaanza kuamka wewe bado unaleta propaganda yako ya udini na ukabila,magamba wenzio wameshaona single hii imechuja wewe kwa sababu ni KILAZA umeona ni deal,wamebadilisha wamekuja na mauaji nayo imechemsha na sasa wanakuja na jeshi,Laana hii haitawaacha kamwe mpaka ukombozi wa mtanzania upatikane na mkajibu mashataka yote....Mnanunua madaraka?ili iweje?mwenyekikiti wenu anawakumbatia wala rushwa kwa nini tusiseme ni sehemu ya ibada ya magamba??
 
dah,how much do you get??
 
sasa mbona slaa anameza matapishi yake??
Lini yeye alishatoa tamko la kumkubali kikwete kama rais wa nchi hii??
Yeye si alishatamka waz waz kua rais wa nchi hii ni yeye na kwamba ushindi wa kikwete ni batili
hivi slaa bado tuh hajakata tamaa kua wananchi tushajua janja na siri iliyojificha ndani ya hiki chama cha kichaga na kidini??
Its bad that slaa n his mobb are wasting their time
and too bad indeed because this time will come to lost them too..

u have to face reality even though it pains
slaa n his chademonstration mobb are wasting their time..

na kama mkombozi ni chadema basi ikaripiwe vikali kwa ibada yao ya udini na ukabila
maana huo ndio utatumaliza sisi na vizazi vyetu
usione uzito sote tuikemee tabia hii ya chadema

na yule atayepatikana kwa ukanda,udini na ukabila atatawala kwa???.....
Usinipe jibu,,maana naenda zangu lunch nirud kujenga taifa langu..

ila ningekua mchaga ungenihitaji sio??
Ila me ni mkristo mwenzako,stil bado hunihitaji coz of umakonde wangu??
Do you see now where the problem rise?
I am telling you,this party is a natural calamity more than just tsunami,floods,global warming,earthquake and etc..
Lets us seek ingridients of acknowldgement..

yah ni kweli
inaonesha dada josephine hua anampeleka peleka juu juu sana
mara mahakamani kukata rufaa,mara kwa wakili wa kutetea ile ndoa,kwa kweli yupo katika wakati mgumu sana anahitaji maombi sana
,,forsure everybody needs somebody to call him his wife and vice versa is true
usichoke slaa kupigania ndoa yako,,

kwani kwa josephine pia hafanyi kazi??

sasa swali hilo tuwaulize chadema..
Je,kwa kuendekeza ukanda,udini na ukabila,
wakichukua nchi tutapona??

Join Date : 21st October 2012
Posts : 112
Rep Power : 323
Likes Received 8
Likes Given
8

:blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla:...
 
Wanatumia hela hizo wanazitoa wapi na huko wanawekeza wanaenda kufanya biashara gani? Kama wamekopa watalipaje, na kama ni kutoka kwa wahisani ................................Hivi hawajui kuwa uongozi ni nzigo. Nchi hii inauzwa tukiona hivi hivi. Nashangaa hawa wanaotetea hii rushwa ya ccm, macho wanayo ila hawaoni, masikio wanayo ila hawasikii mpaka nchii hii ibomoke ndiyo watajua linaloendelea. Kalagabaho
 
Back
Top Bottom