Kauli ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu Lowassa

Kauli ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu Lowassa

Juma hujakosea, anachofanya Lowassa ni "umalaya wa kisiasa" Kama ulivyoandika.

Nyingine zone ni porojo tu.

Lowasa ni Malaya wa kisiasa wewe ni Malaya wa nini? Dini, mwili, mawazo au...?
 
Watu wa CCM mwaka huu lazima mtage.....Ufisadi wa LOWASA ulianza kuujua lini...unamwambia mgonjwa wewe Afya yako ikoje.....!!! Angekuwa hakubaliki kwanini unamwaga maPOVU humu....Haijalishi jamaa ni Fisadi...au Mgonjwa...Majanga mliyosababishia hii nchi...tunasema imetosha....Kivyovyote.... tumeamua Kimchagua Lowasa ili kuwaadabisha nyie GAMBAZ ili mjue NCHI hii hamna hatimiliki nayo

Kaka ukawa ndio malofa wameuza vyama,na wala hujui Kama Hakuna upinzani,sasa hivi ni ccm A na B hayo majanga unayosema si ni lowasa ndio mchangiaji mkuu,si katokea ccm huyo,hujui hilo!hivyo sasa hivi ccm kuna afadhali, mafisadi papa wametoka njaa mbaya Sana watu wanakubali kudhalilika!
 
Ukweli utadhidi kudhihiri, Lowasa ni tajiri inawezekana, mimi sina uhakika ana kiasi gani cha pesa ila ninachojua alianza utumishi miaka mingi nyuma,na hata biashara naambiwa pia alianza zamani na zingine alirithi, sina uhakika........ila kuna mtoto wa Rais anatuhumiwa pia kuwa na utajiri mkubwa wa ghafla, sina uhakika ila yanasemwa, na hata yule Dr wa Mihogo naye aliwahi kutamka siku moja kuwa dogo ana ukwasi wa ajabu wakati kamaliza chuo juzi juzi tu, kaupata wapi huo utajiri.....hili wanazuoni wetu hawalisemi, wala kina polepole hawasemi......hii Nchi imejaa unafiki na chuki za hatari.
Mwapachu anatufungua macho kuwa huko CCM kuna matajiri wa kufa mtu ila hawasemwi, anayeandamwa ni Lowasa.......wasomi jitokezeni muweke ukweli hadharani, hii Nchi inawahitaji sana wakati huu, tena kupita wakati wowote ule.

umenena mkuu.....wasomi nchi hii huwa hawaji na altenative mpya zaid ya ku dance according to the tune from the system
 
Inanisikitisha sana nikiiona picha hii na hali halisi ya sasa hivi jinsi Kikwete anavyoshindwa kuwakemea wanao mtukana na kumdhiaki Mh Lowassa na inanitia majonzi nikikumbuka maneno ya Kikwete siku hiyo aliyosema “Nawaomba wakazi wa Monduli, kura zenu zote mpeni mgombea huyu (Lowassa), kwani ni mchapa kazi na ndiye aliyewaletea ukombozi na anayeendelea kufanya hivyo"

Monduli%281%29.jpg
 
Duu mwaka huu tutaona mengi ila tutamchagua lowasa mgonjwa mwenzetu !!!
 
Huwezi kuchangia nje ya mada husika.
Sio ustaarabu katika kutoa hoja.
Hizo thread za mtoto wa rais ziko huku na tumechangia...wewe hujaziona??
Huwezi kuchangia kila kitu kwenye thread

Uchaguz huu unaleta rules mpya jf
 
Aaaaaaa mfa maji!!
What else did u want him to air out? What kind evidence did u want from him?
Talking about substance and rationales of what kind dont make us laugh! Its hard to swallow what u guys are going through but its jst a matter of dynamicity not personallities so thats politics!!
We dont hold frndshp when it comes to politics but we play our cards right
Let me take u back to what kikwete did to lowasa after his heavy support back then!!
Thats why politically people take chances and play dirty as long as u become on top the last laugh belongs to you!

Shake my hand mkuu
 
That was in 2010 but what about this one? Remember this was two years later!

c4.jpg

Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.
 
Kaka ukawa ndio malofa wameuza vyama,na wala hujui Kama Hakuna upinzani,sasa hivi ni ccm A na B hayo majanga unayosema si ni lowasa ndio mchangiaji mkuu,si katokea ccm huyo,hujui hilo!hivyo sasa hivi ccm kuna afadhali, mafisadi papa wametoka njaa mbaya Sana watu wanakubali kudhalilika!

Lini ulianza kujua kuwa LOWASA ni Fisadi tuanzie hapo kwanza...
 
Mtanzania kwa wivu hajambo. Hata akikuona umeanzisha kibanda cha kuuza nyanya hapo nje karibu na kwake yupo radhi kutembea kwa miguu kilomita 6 kwenda kununua paketi ya dagaa ili mradi tu asikuungishe kwenye biashara yako. Ukiwa umezaliwa kwenye familia maskini kama mimi njia mbadala ya kujinasua na umaskini ni kuomba ushauri kwa wale walio kuzidi kifedha na si kuwachukia na kuleta wivu wa kitoto kwani kwa kufanya hivyo utaendelea kulalia godoro la fusi mpaka mwisho wa uhai wako. Watanzania wana mkubali EDO na Edo atatupa njia ya kujinasua kutoka hapa tulipo na kuingia ktk level ingine ya maisha. "Ulipo Tupo"
 
FaizaFoxy naomba definition ya umalaya wa siasa.

Lowasa ni Malaya wa kisiasa wewe ni Malaya wa nini? Dini, mwili, mawazo au...?

Wewe Mba Ta Sanja, kwanini haumuulizi Juma Mwapachu aliyesema hilo. Mimi nnamuunga mkono blindly kwa sababu kasema yeye ni "mwanazuoni"!

Wewe mcfm40 mimi umalaya wangu kama mama'ko, muulize umalaya wake ni upi utapata jibu.
 
Last edited by a moderator:
hahaha kama kila atakae msapport lowasa HANA ISSUE hata kikwete hana issue

Sasa wewe niamboe Juma Mwapachu sasa hivi ana issue ipi?

Yeye hana issue na kaka'ke Bakari Mwapachu hana issue.

Saa hizi wanauza sura tu.
 
Back
Top Bottom