Mtoto wa rais ni mgombea kwenye uchaguzi huu?
Bandiko lako limejaa "sijui/sina uhakika" kibao.
Unaleta 'speculation' tu jamvini.
Umeasahau kuwa anagombea jimbo la Chalinze au unajitoa akili

Lady,
Tuliza moto mama.
mada hii inawahusu wagombea urais na Mzee Mwapachu a.k.a Bruce Lee anamfagilia Lowassa.
Kwa hiyo wengine waliobaki wanafaa kuwa wachafu eti tu ni kwa kuwa hawagombei URAIS, SHAME ON YOU.
Ndio maana inasemwa kuwa TATIZO NI MFUMO ULIOPO YAPASWA KUFUMULIWA KAMA MARINDA, THAT'S THAT.
VIVA MWAPACHU.
Hivi sasa hana issue.
Sifahamu vp Huyu Mwapachu atajiita msomi kwa aliondika hapo juu. Maneno yake hayana substance wala rationale behind them.
Sifahamu vp Huyu Mwapachu atajiita msomi kwa aliondika hapo juu. Maneno yake hayana substance wala rationale behind them.
Mzee anasumbuliwa na ahadi ya uwaziri wa mambo ya nje ktk serikali ya lowassa km ikitokea miujiza akapata ndo maana anaweweseka,anatapatapa ndo maana amekuwa mlevi wa kutupa