Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,435
- 166,891
- Thread starter
- #21
Jamani nawaonea sana huruma wananchi wa Mtera, yaani katika watu wote wakaona Lusinde ndio anafaa sana???
vipi ile alotoa lusinde kuwa Tanzania ni nchi masikini kwasababu tumeweka picha ya nyoka kwenye hela??