by Pdizaina from X
Nikikumbuka aliwahi kusema
1. Kwenye mbuga za wanyama kuna madini ya thamani Sana,na Simba wala hali madini. Tukachimbe "
2. Katiba ni kijitabu Tu
3. Hata mkipiga Kura kule kwingine lakini Sisi ndiyo tutakaounda serikali
4. Utekaji ni vijidrama Tu
5. Kifo ni Jambo la kawaida