Zote zimefeli. Tanzania bado inaendelea kuwa nchi maskini sana, ukipima kwa per capita income ni nchi kama 165 hivi kutoka mwisho, kati ya nchi 195.
1. Nyerere
Serikali iijali ujamaa, lakini sera za ujamaa zilipunguza ukuaji wa uchumi.
2. Mwinyi
Yalifanyika mageuzi kuruhusu private sector lakini hakuna lililofanikiwa zaidi ya mwanzo wa rushwa kubwa kubwa.
3. Mkapa
Alijaribu kuweka foundation ya uchumi wa kisasa lakini bado poverty ilikuwa lika mahali Tz.
4. Kikwete
Rushwa za wazi wazi za kitaasisi zinatamalaki. Gap ya matajiri na masikini inaongezeka kwa speed ya SGR. Quality education inajifia kifo cha mende.
5. Pombe Magufuli
Magufuli alileta speed na discipline lakini kulikuwa na trade off kwenye business environment na freedom za watu.
6. Samia
Huyu amepora uchaguzi wazi wazi. Kifupi si rais halali wa nchi. Hakubaliki na almost 99% ya watanzania. Uchumi unapumulia mashine.