Kauli mbiu mpya ya CHADEMA


Siyo nzuri kwani hata watu wasipohamia bado wanamwanya wakuipigia kura na ikashinda vizuri sana
 
Kwangu mimi haina ladha mdomoni, imekaa kipashkuna, hiyo labda itumike kwenye ujumbe mfupi SMS kwenye cm kuhamasishana. Act wewe labda Mbowe, Lema au Mnyika. Mbele yako kuna watu elfu 5. Unasemaje/unawaambiaje?...hamiaaaaaah na wao waitike chademaaaah! Hapo ladha hamna.! Then jifanye wewe ndo hao niliotaja hapo juu, then useme peopleeeeezzz! Utasikia pooowerrrh! Hiyo ndo kauli mbiu yetu cc cdm. M4C PEOPLE'S POWER
 

nimekusoma mkuu mawazo yako ninaimani yatafanyiwa kazi,ni katika suala la uboreshaji tu wa kauli ili ilete mvuto kwa wahusika.
 
Kwani Mkuu Ritz wewe unawashwa nini, si ungoje huko huko usiamie CDM wakati huu uone cha moto its a WIND OF CHANGE NO BODY EVEN RITZ CAN STOP IT!!!!!


ritz! Anaweweseka na movement of change, naona imewachanganya sana lazma mtakiona chamoto 2015,
 
Hapana, mie napendekeza hivi; Wito; PEOPLES POWER! kiitikio; POWER TO THE PEOPLE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…