Rais wa Lebanon, Joseph Aoun alitoa kwa mara ya kwanza kauli kali zisizo za kawaida dhidi ya Hezbollah

Rais wa Lebanon, Joseph Aoun alitoa kwa mara ya kwanza kauli kali zisizo za kawaida dhidi ya Hezbollah

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,650
Reaction score
7,389
Rais wa Lebanon Joseph Aoun alitoa kwa mara ya kwanza kauli kali zisizo za kawaida dhidi ya Hezbollah na Iran katika mahojiano na CNN. Hakukataa mkutano na Waziri Mkuu Netanyahu lakini alibainisha kuwa hautatokea kabla ya makubaliano kufikiwa ili kukomesha vita.

Ujumbe wangu kwa Iran ni kwamba wawe na huruma na kutusaidia watu wa Lebanon wanalipa gharama kwa maslahi yako mwenyewe. Iran inaitumia Lebanon kama njia ya kujadiliana katika mazungumzo yake na Marekani, na hili halikubaliki.

Ninamwambia Naim Qassem: "Watu wa Lebanon si watu wako. Hawawawakilishi watu wa Lebanon." Watu wa Lebanon wamechoka na vita kati ya Israeli na Hezbollah.

SERIKALI ya Lebanon lazima kwenye MEDIA waonekane wanaipinga Hezbollah!!!!!!.

ili SERIKALI yake iendelee kupokea Misaada mbali mbali inayotumika kwenye kuendesha SERIKALI yake!!
 
SERIKALI ya Lebanon lazima kwenye MEDIA waonekane wanaipinga Hezbollah!!!!!!.

ili SERIKALI yake iendelee kupokea Misaada mbali mbali inayotumika kwenye kuendesha SERIKALI yake!!
Acha kutumia Makalio kufikiri!!
 
Wewe uwajui Lebanon!!
Lkn jana IDF imeuwa wanajeshi wa Lebanon 11 weka neno apo??
Acha kutumia makalio kufikiri weka ushahidi wako hapa!!

Askari wa Lebanon waliokufa ni watatu ambao walitaka kukabiliana na wanaume wakaangamizwa wao n gari lao!!
 
Attachments

  • IMG_20260607_102932_144.jpg
    IMG_20260607_102932_144.jpg
    107.5 KB · Views: 6
Huyo ni kibaraka wa USA na wa Lebanon hawamtaki we uliwahi kuona ka revenge au akilalamika kuhusu Israel au America
 
Huyo ni kibaraka wa USA na wa Lebanon hawamtaki we uliwahi kuona ka revenge au akilalamika kuhusu Israel au America
Hata Israel haina ugomvi na raia wa Lebanon wala haidai ardhi ya Lebanon kwa ujumla Lebanon ni rafiki wa Israel Tatizo hapo ni Magaidi ya Hezbollah na Bwana wao Iran tu basi!!!
 
SERIKALI ya Lebanon lazima kwenye MEDIA waonekane wanaipinga Hezbollah!!!!!!.

ili SERIKALI yake iendelee kupokea Misaada mbali mbali inayotumika kwenye kuendesha SERIKALI yake!!
Aisee waswahili yaani ni wavumbuzi mno wa mawazo ya watu
 
Back
Top Bottom