Kauli ipi ilikukera?

Kauli ipi ilikukera?

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,825
Reaction score
3,092
KAULI IPI NA YA KIONGOZI YUPI
INATISHA TOKA 2000-2013...


1.Kuleni nyasi, ndege ya
Rais lazima inunuliwe(MRAMB
A)


2.Foleni Dar ni ishara ya Maisha
bora


(JK) 3.Acheni wivu wa kike
(MSEKWA)


4.Asiyeweza kulipa nauli ya
kivuko
apige mbizi (MAGUFULI)



5.Baada ya kutumia
Helikopta ya Jeshi Kwenda
nayo Urambo "Mlitaka
nipande punda?"
(KAPUYA)


6.Wabunge wa Dar
wanafikiri Kwa kutumia
makalio
(Didas)



7.Ukitaka kula lazima uliwe
(JK)


8.Mnaniuliza mvua kwani
mim waziri wa mvua
(WASIRA)


9.Kila mwananchi atabeba
msalaba wake
(PINDA)


10.Wanafunzi kupata
mimba ni viherehere vyao
(JK) Haya.... ipi NZITO zaidi?
 
KAULI IPI NA YA KIONGOZI YUPI
INATISHA TOKA 2000-2013...


1.Kuleni nyasi, ndege ya
Rais lazima inunuliwe(MRAMB
A)


2.Foleni Dar ni ishara ya Maisha
bora


(JK) 3.Acheni wivu wa kike
(MSEKWA)


4.Asiyeweza kulipa nauli ya
kivuko
apige mbizi (MAGUFULI)



5.Baada ya kutumia
Helikopta ya Jeshi Kwenda
nayo Urambo "Mlitaka
nipande punda?"
(KAPUYA)


6.Wabunge wa Dar
wanafikiri Kwa kutumia
makalio
( 6.Wabunge wa Dar
wanafikiri Kwa kutumia
makalio
(MNYIKA) )



7.Ukitaka kula lazima uliwe
(JK)


8.Mnaniuliza mvua kwani
mim waziri wa mvua
(WASIRA)


9.Kila mwananchi atabeba
msalaba wake
(PINDA)


10.Wanafunzi kupata
mimba ni viherehere vyao
(JK) Haya.... ipi NZITO zaidi?
Kwenye 6 si Mnyika aliyesema bali ni Dr. Didas Masabuli
 
KAULI IPI NA YA KIONGOZI YUPI
INATISHA TOKA 2000-2013...


1.Kuleni nyasi, ndege ya
Rais lazima inunuliwe(MRAMB
A)


2.Foleni Dar ni ishara ya Maisha
bora


(JK) 3.Acheni wivu wa kike
(MSEKWA)


4.Asiyeweza kulipa nauli ya
kivuko
apige mbizi (MAGUFULI)



5.Baada ya kutumia
Helikopta ya Jeshi Kwenda
nayo Urambo "Mlitaka
nipande punda?"
(KAPUYA)


6.Wabunge wa Dar
wanafikiri Kwa kutumia
makalio
(MNYIKA)



7.Ukitaka kula lazima uliwe
(JK)


8.Mnaniuliza mvua kwani
mim waziri wa mvua
(WASIRA)


9.Kila mwananchi atabeba
msalaba wake
(PINDA)


10.Wanafunzi kupata
mimba ni viherehere vyao
(JK) Haya.... ipi NZITO zaidi?

Asiyeweza bei mpya ya umeme awashe kibatari(Professor Muhongo)
 
edit tena tuje tuchangie
 
..wakileta ubishi watapipwa, tena watapipwa tU.... (PINDA)
 
1.jk..ukitaka kula lazima uliwe
2.JOSEPH MBILINYE-tz Ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU
3..PINDA,..mimi na raisi tunalipwa misahara inayokaribiana milioni 6...kama mbunge anajichotea zaidi ya m 11 iweje pm na raisi wawe chini?
4..MBOWE,. katiba mpya itapatikana hata kwa ngumi
5..JK Kukiwa na serikali 3 jeshi litapindua nchi
 
nyie ma ccm ni vigeugeu..naye rais ni kigeu geu tu by felix mkosamali..
 
Wanaoshabikia serikali 3 ni wazee wanaosubiri kufa - Nape
 
Mzee wa kwaya na taarabu.......zikipita serikali tatu nitaingia msituni...
 
jk-NA KURA ZENU SITAKI, MSIPONICHAGUA WATANICHAGUA WENGNE
 
Kauli zinazonikera ni;

Mchakato
Upembuzi yakinifu
Mrejesho
Kupunguza umasikini
Tunatarajia
Tumesaidiwa Dola ..... na Serikali ya.......
Amani ya watanzania (ipi hiyo?)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom