Kauli Hii ya Zitto Wapinzani Wote Waitafakari

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,011
Reaction score
74,658
(From Zitto FB wallpage.)

Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.

Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.

Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".

Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".

Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".

Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.

My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
 
Wanafiki mmekutana. Unamnukuu zito lakini unasema haaminiki sana. Yetu macho.
 
Zzk, wakati mwingine akili zinamrudia wakati mwingine zinamtoka.

Any way, dawa ya kuwa kiongozi ni kutatua matatizo na siyo kulialia.
 
Shida mtaruhusiwa kutatua hayo matatizo ya wananchi sasa?

Unakumbuka kuchangia damu nini mlifanywa?
Unakumbuka mayor wa Kinondoni sijui Dar alipata msaada wa kimazingira kuboresha usafi na mtaro wa maji akatakiwa akachukue vifaa na utaalam ulaya nini alifanyiwa na huo mradi wake?
Unakumbuka miradi mingapi wapinzani wametaka kuifanya kwa gharama zao wanapigwa pini?
 
Mkuu kwanza kula like moja yako na nyingine mfikishie Zitto japo kwa maneno.

Jamaa ameongea jambo zuri sana na wewe umemalizia vizuri sana haya ya mwisho.
Niseme ukweli huku mtaani kwetu kuanzia mbunge, diwani, na mwenyekiti serikali ya mtaa ni wa CHADEMA. Tuna tatizo kubwa sana la ukusanyaji taka na barabara ndogo za mitaani ni mbovu sana.

Taka wanachukua fedha kila kaya kila mwezi lakini sasa mtaani kwetu pananuka kama Manzese ya Zamani. Taka hawazoi wakati mwingine majuma mawili(wiki 2).

Barabara sio lazima wapate pesa toka manispaa wangetuchangisha tu hata 2000/- kila kaya wangefukia mashimo na vifusi.

Huu ujumbe uwafikie Meya Borniface ndio diwani wetu, na Kubenea ndio Mbunge wetu. Na Danny ndio mwenyekiti wetu serikali ya mtaa, wote ni CHADEMA.

Kwa hali ilivyo tumeshawasikia watu wakereketwa wa CHADEMA wakisema bora wakati wa CCM au wakati wa John Mnyika.
Wafikishieni ujumbe kuwa tutagoma kulipia gharama za uzoaji takataka hivi karibuni.
 
Zitto ni sawa na Mange, kumtilia maanani ni kujipotosha tu....hafai kwa umma hata kidogo na si mtu wa kumfuatilia. Mwacheni tu ajifurahishe, akikuwa kiakili huenda atabadilika.
 
Nimepitia huo mkutano wa Zitto, kwa kweli ana mpangilio mzuri. Ila mahali nimeona anajichanganya ni hapo aliposema wapinzani wanaweza kutekeleza mambo kwenye maeneo walipopewa dhamana. Kwa aina ya siasa hizi za awamu ya tano ni ngumu sna kukubali wapinzani waonekane wanaweza kufanya lolote kwa wananchi. Miradi fulani fulani ya wapinzani imepigwa chini kisa wapinzani watapa uungwaji mkono. Hata lile jambo dogo sana la mtaa kupewa jina la Victor Wanyama liligeuzwa ni issue ile mbaya.
 
(From Zitto FB wallpage.)

Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.

Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.

Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".

Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".

Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".

Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.

My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
Indeed applicable to Venezuela rather than Tanzania. Our system is ancient craft with masonic ideals and philosophy. It needs alot of time that we don't have. It needs a coup dé ta that we have no sparks to light it up.
 
hii ni kweli kabisa.

ninaishi eneo ambalo tulichagua upinzani - mbunge, diwani na m/kiti mtaa.

kiukweli kuna mambo ambayo viongozi hawa wanaweza kuyafanya yakaonekana hata serekali kuu iki mute!

lakini sijaona effort yoyote - hakuna hata attempt ya ku mobilise wananchi wenye willingness ya kuchangia au kushiriki shughuli za maendeleo.

very sad!
 
(From Zitto FB wallpage.)

Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.

Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.

Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".

Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".

Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".

Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.

My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi

1.Kwa dikteta tuliye naye fedha zinazokusanywa na halmashauri za upinzani zinaamriwa na zinasimamiwa na wateule na makada wa CCM.

2. Dikteta tuliyenaye anapalilia ujinga kwa wananchi. Waelewa wanapata mateso na kutekwa hadi kuuwa ilimradi unaonyesha mawazo tofauti na chama tawala.

3. ZZK ashauriwe kuwa mbinu za wapinzani za Venezuela hazitafaa hapa kwetu. Kitakachofaa ni wananchi wetu kutokuwa wavivu na woga wa chui wa karatasi wao ndio wajiunge na wapinzani kwa sababu ndio wafaidika wa ubunifu wo wote wa halmashauri wanazoishi.

Mfano: Huku Arusha asimila ya mapato ya halmashauri kwa wanawake na vijana zinasimamiwa na RC na DC kulazimisha wanufaika wawe wana CCM kwanza. Kwa vingine kuna ubaguzi rasmi unaosimamiwa na serikali kwa fedha za halmashauri za wapinzani.
 
(From Zitto FB wallpage.)

Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.

Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.

Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".

Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".

Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".

Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.

My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
Kwa maelezo haya jaribu siku moja uingie kwenye shamba la majaruba ya mpunga ukutane na ruba kisha jaribu kumtoa kiustarabu ukifanyikiwa njoo tena kwenye uzi huu utupe maelekezo yaliyotimia.
 
Shida mtaruhusiwa kutatua hayo matatizo ya wananchi sasa?

Unakumbuka kuchangia damu nini mlifanywa?
Unakumbuka mayor wa Kinondoni sijui Dar alipata msaada wa kimazingira kuboresha usafi na mtaro wa maji akatakiwa akachukue vifaa na utaalam ulaya nini alifanyiwa na huo mradi wake?
Unakumbuka miradi mingapi wapinzani wametaka kuifanya kwa gharama zao wanapigwa pini?
True, dawa ya hawa wapuuzi ni demonstration
 
(From Zitto FB wallpage.)

Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.

Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.

Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".

Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".

Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".

Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.

My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
Kama Zitto nae anaitwa msomi basi nami sichelei kujiita msomi japo kwa hili darasa langu la saba.

Inamaana Zitto hajui hata kama almashauri inaongozwa na CHADEMA lakini mtendaji mkuu bado anabaki CCM hivyo magari ya taka na yale ya kuparua barabara mkurugenzi akiyakatalia hakuna cha kumfanya.

Video ya Nasari ilimuonyesha diwani aliyenunuliwa akimweleza mwenzake kuwa ameamua tu kusalimu amri kwakuwa hata miladi iliyokuwa inatakiwa kufunguliwa katika kata ilizuiwa na makatapila ya kukwangua barabara yalizuiwa ili wanachi waone CHADEMA haifanyi kazi, anasema baada tu ya kukubali kuandika barua ya kujiudhuru kila kitu alipelekewa.

Tusidanganyane kwahizi hujuma zinazoendelea CHADEMA itakufa tu kwakuwa hiki chama hakiwezi endelea bila ruzuku na mwisho wa ruzuku ndio umefika kwani hatorudi mbunge wa CHADEMA na pesa ikikata sioni kiongozi wa kuendelea kuwa mstali wa mbele tena wengi watasalimu amri.

Pamoja na hayo yote huku kwenye mitandao sioni dariri ya wananchi Ku surrender, watazidisha mapambano makali kuliko haya yaliopo labda mitandao izimwe.
 
Zitto ni sawa na Mange, kumtilia maanani ni kujipotosha tu....hafai kwa umma hata kidogo na si mtu wa kumfuatilia. Mwacheni tu ajifurahishe, akikuwa kiakili huenda atabadilika.

Umeshindwa kujadili hoja unamjadili Zitto. Zitto ametoa hoja nzuri sana. Wapinzani waache kulialia, watafute njia za kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wanaowaongoza.
 
Zitto ni mmoja wa Wanasiasa wa aina yake hapa Nchini Tatizo la Zitto na Wanasiasa wengi wa Nchi hii nikutokuaminiki na Undumila kuwili Lakini zitto akiamua kutulia ni mtu mhimu sana
 
Back
Top Bottom