kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Ni dhahiri na la maana kujitafakari kuliko kubaki na maneno wananunuliwa!
Yule alipeleka gari la kubeba wagonjwa, tupa kule! Mwingine TV kituo cha mabasi, tupa kule, hao nao eti wanajitolea zamu, weka ndani!(From Zitto FB wallpage.)
Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.
Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.
Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".
Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".
Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".
Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.
My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
Tatizo lake ni mshawishikaji tuZitto ni mmoja wa Wanasiasa wa aina yake hapa Nchini Tatizo la Zitto na Wanasiasa wengi wa Nchi hii nikutokuaminiki na Undumila kuwili Lakini zitto akiamua kutulia ni mtu mhimu sana
Ila akitulia anajua kujenga hoja na nimtu makini sana mwanamikakati lakini haaminikiTatizo lake ni mshawishikaji tu
Kama unashindwa kuelewa kwamba kinachozungumziwa hapa ni falsafa aliyoitoa na sio tabia yake ambayo huwa haiaminiki basi huna haja ya kuendelea kuwepo JF maana sio mahali pako (home of GT).Wanafiki mmekutana. Unamnukuu zito lakini unasema haaminiki sana. Yetu macho.
NdYamekuwa hayo tenaaaa
Ni kweli ila tatizo anatamaa ya kupewa ukubwaYamekuwa hayo tenaaaa
Ila akitulia anajua kujenga hoja na nimtu makini sana mwanamikakati lakini haaminiki
Taja mradi mmoja uliokua utekelezwe kwa pesa za wapinzaniShida mtaruhusiwa kutatua hayo matatizo ya wananchi sasa?
Unakumbuka kuchangia damu nini mlifanywa?
Unakumbuka mayor wa Kinondoni sijui Dar alipata msaada wa kimazingira kuboresha usafi na mtaro wa maji akatakiwa akachukue vifaa na utaalam ulaya nini alifanyiwa na huo mradi wake?
Unakumbuka miradi mingapi wapinzani wametaka kuifanya kwa gharama zao wanapigwa pini?
kumbe tupo chini ya dikteta Magufuli eeeh(From Zitto FB wallpage.)
Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.
Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.
Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".
Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".
Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".
Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.
My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba na kwenye hili ni lazima watumie jeshi kuzuia hii plan B .Shida mtaruhusiwa kutatua hayo matatizo ya wananchi sasa?
Unakumbuka kuchangia damu nini mlifanywa?
Unakumbuka mayor wa Kinondoni sijui Dar alipata msaada wa kimazingira kuboresha usafi na mtaro wa maji akatakiwa akachukue vifaa na utaalam ulaya nini alifanyiwa na huo mradi wake?
Unakumbuka miradi mingapi wapinzani wametaka kuifanya kwa gharama zao wanapigwa pini?
Shida mtaruhusiwa kutatua hayo matatizo ya wananchi sasa?

Zitto ni mmoja wa Wanasiasa wa aina yake hapa Nchini Tatizo la Zitto na Wanasiasa wengi wa Nchi hii nikutokuaminiki na Undumila kuwili Lakini zitto akiamua kutulia ni mtu mhimu sana
Wanafiki mmekutana. Unamnukuu zito lakini unasema haaminiki sana. Yetu macho.
Anayo kumbukumbu kuwa kina boniface walikumbana na msukosuko wa hatari pale walipoenda kukagua mradi uliotekelezwa kwenye eneo wanaloliongoza?(From Zitto FB wallpage.)
Leo nitawapa mfano wa wanasiasa wenzetu wa upinzani katika nchi ya Venezuela, ambapo Rais Mjamaa mwenzetu, ndugu Nico Maduro, kamaradi, amezuia vyama kushiriki uchaguzi. Wakati wa Rais Chavez vyama vya upinzani na wanasiasa wa upinzani walikuwa wanabanwa kweli na Serikali. Hii tunayofanyiwa na Magufuli ya watu kufungwa na kuachiwa, kupigwa, kuzuia mikutano, kukamata watu wanaomkosoa kwenye mitandao ni cha mtoto.
Mwandishi William Dobson aliandika kitabu mwaka 2012 kiitwacho 'Dictator’s Learning curve: Inside the global battle for democracy'. Katika kitabu hiki alimhoji Meya mmoja wa chama cha upinzani katika mji mmoja masikini kabisa kuhusu siasa tofauti. Meya Carlos Ocariz wa Mji wa Petare alimshinda mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Chavez. Rais Chavez akaamua kukata fedha kwenda kwenye mji huo, akaondoa magari ya takataka na kukata maji.
Meya Ocariz anasema, "sikuanza kulalama na kupiga kelele. NIliamua kufanya tofauti na kutekeleza masuala ya maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wangu kwenye mji wangu. Kuhakikisha watu wangu wanapata maji nilitumia magari ya Mji kusambaza maji kwenye nyumba za watu. Nilizuia matumizi makubwa ya ofisi na kupeleka fedha kuzoa taka na kuanza kuwalipa wazazi ili wapeleke watoto shuleni".
Meya Ocariz akaendelea; "Upinzani tunalalamika lalamika tangu mwaka 2000, tunapata nini? Badala yake tuwaonyeshe wananchi tofauti ya siasa zetu na za Kamaradi Chavez. Tutatue matatizo ya watu".
Kwa kimombo anasema; "we must offer true political alternatives to Chavez, solving problems and not just complaining about how we are treated in the system that almost everyone agrees is unfair".
Ndugu wajumbe, sisi tuna maeneo tunaongoza, ama Vijiji, Kata au Manispaa. Sisi pia tumekuwa tukisema kuwa tunataka kufanya siasa tofauti. Je inawezekana tumeshindwa kufanya hivi ndio maana baadhi ya wenzetu wanaondoka na kutuhama? Ninatoa rai kuwa tujitafakari kwa kina sababu za ndani za mawimbi haya ya kisiasa na tupate majawabu ya namna ya kusonga mbele.
My take:
Pamoja na ZZK kutoaminika sana katika siasa zake, lakini falsafa aliyoitamka hapo juu nadhani ndio njia sahihi ya kupambana na uongozi Wa kidikteta pale ambapo Halmashauri zetu zinazoongozwa na wapinzani zinapo nyanyaswa kiuchumi
Tafadhali sana mkuu...Zitto ni sawa na Mange, kumtilia maanani ni kujipotosha tu....hafai kwa umma hata kidogo na si mtu wa kumfuatilia. Mwacheni tu ajifurahishe, akikuwa kiakili huenda atabadilika.
Sio kwa serikali hii ya sasa inayotoa pesa kununua viongozi wa upinzani.hii ni kweli kabisa.
ninaishi eneo ambalo tulichagua upinzani - mbunge, diwani na m/kiti mtaa.
kiukweli kuna mambo ambayo viongozi hawa wanaweza kuyafanya yakaonekana hata serekali kuu iki mute!
lakini sijaona effort yoyote - hakuna hata attempt ya ku mobilise wananchi wenye willingness ya kuchangia au kushiriki shughuli za maendeleo.
very sad!