Kauli hii ya spika Anna Makinda Inashangaza

Ngoja nisihangaike na ww, nishakuona huna uwezo wa kuchambua mambo, ulitakiwa useme sijamuelewa hapa na hapa na sio kuja na eti ID yangu inaonesha sijazaliwa, kwambia nani hii ID inamanisha mwaka wa kuzaliwa, Tumia akili kufikiri na sio masaburi, na uache kuchafua hii post huna la kujibu weka masaburi yako chini

<br /

huyu mbishi ni watu wa Nape nini waliotumwa kuharibu upepo humu ndani. Shame on him, bloody traitor

Wadau
wakati wa kipindi cha bunge cha leo Letcia Nyerere alitaka Mkulo ataje makampuni yaliyopata pesa za stimulus package, Kilichonishangaza ni pale spika aliposema "Wizara mmeniangusha kwa kuwa mlipewa miezi miwili", Najiuliza kwani yeye ni sehemu ya serikali? au hajijui kuwa yeye ni mbunge anayetakiwa kuisimamia na kuishauri serikali na sio kujifanya kuwa sehemu ya serikali.
Wadau mnasemaje

Kumbuka Anna Makinda ana wadhifa mkubwa sana katika hii nchi, anaongoza mhimili wa tatu wa dola. Akisema "mmeniangusha" amewaponda vibaya sana. Khee, ulitaka awasifie? unanchekesha!

Tumsamehe tu huyu maana alipaswa kusimamia kile alichotolea maamuzi/ amri

hapa naona watu wameanza ze comedy maada ipo wameiacha wameanza mipasho ya kina wassira, tutafika kweli ??

Ameongea vizuri tu hakuna kosa hata kidogo. Kosa umefanya wewe kwa kutomuelewa vizuri anamaanisha nini.

Hata Ghadaf alikosea 'formula' hiyohiyo ya over 40's . We endelea tu kuficha ujinga wako ili kudhiirisha upumbavu wako.

Kumbuka Anna Makinda ana wadhifa mkubwa sana katika hii nchi, anaongoza mhimili wa tatu wa dola. Akisema "mmeniangusha" amewaponda vibaya sana. Khee, ulitaka awasifie? unanchekesha!

We umesomea wapi somo la 'siasa' nchi hii kwa sasa ina mihimili mmoja na nusu tu si mitatu kama utuambiavyo wewe. Moja Serikali nusu ni Mahkama; huo wa tatu ashauua bi kiroboto zamaaaani, kwa sasa tunajiandaa kufanya kumbukumbu yake ya kwanza hapo novemba. Vipi FF Lailatul Qadir umeiona leo?

Nimeamini Mungu ana watu wengi sana
Tena ana kazi si mchezo, hususan akiwa ana'control watu kama huyu; Wee fikiria mtu wa akili kama hizi anaendesha gari na safari yake anafika unadhani mungu amefanyakazi ndogo hapo ya kumsimamia?

Hata nikieleza bado hutaelewa kwasababu ID yako yenyewe inaonesha bado hujazaliwa. Una miaka minus 4.

inafurahsha kuona unborn child anatalk sense, ila inahuzunsha kwa mtu mzma kuongea nonsense

nakataa katakata, sikubali asilani, katu, kamwe kuwa mwita25 ni mkurya. Wakurya hawako hivyo.

Kama ni mkurya wa kuchongesha kwa wakwere, sawa, vinginevyo, no!!

kweli kabisa,kinachoniuma anatuchafulia heshima yetu sisi wakurya tuliyojijengea kwenye jamii,ya kuwa na misimamo ya kupinga upuuz huo anaoutetea yeye

Kumbuka Anna Makinda ana wadhifa mkubwa sana katika hii nchi, anaongoza mhimili wa tatu wa dola. Akisema "mmeniangusha" amewaponda vibaya sana. Khee, ulitaka awasifie? unanchekesha!

Hey! Uyu mama amerudi?

Kasoro za spika yaelekea n nyingi kwa uhalisia wake mfano suala la Jairo,tuhuma za rushwa kwa baadhi ya wabunge,waziri mkuu kusema uwongo,mawaziri kusema uwongo,nidhamu dun ktk vikao vya bunge etc.
Hayo yote hayana majibu yalo sahihi ya kujua lipi ni la ukwel au uwongo,pia wana jf na vijana tujifunze namna ya kuchagua viongoz wenye uwezo pia tutume vyema kura zetu.
Tupange vyema kupata viongozi makini hasa vijana tuachane na msemo vijana taifa la kesho,tulikomboe taifa hili la maigizo(dowans,jairo etc).

Back
Top Bottom