Simple..Alitaka kuwabatiza akashindwa..machungu yalimtoka kinywani kwa hasira
Hasira huondoa busara wahenga walisema
ms anaawarifu anatarajia kujiunga na msomo ya Doctor of Engineering (Computer Engineering) katika chuo kimoja Huko Australia.(Jina la Chuo kwa sasa kapuni kuhofia baadhi ya wanajf kuhujumu)
Ni vizuri kuwaeleza wanajf wenzangu, na wale wanochonga eti hakusoma nawapa habari njema hiyo na kupunguza maneno maneno.
baada ya miaka michache nategemea ms kuwa dk .
hhahaha. ndio maana dk slaa kachukua udokta ule?
labda ufanye kazi huko huko. uairudi huku.
wanaosoma computer engineering bongo ni masekretari.
utakubali kushkwashkwa na bosi wako? utakubali kuvaa kimini?
mkuu anasema anasomea Doctor of Computer engineering.... kwa usahihi inamaana anatibu au yeye ni mganga wa computer
mmekutana wachungaji, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu
mmekutana wachungaji, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu
mmekutana wachungaji kanusa moja, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu lkn hula wale wachanga
mmekutana wachungaji kanusa moja, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu lkn hula wale wachanga
kazi ya usekretari ngumu kweli. ili uitwe company secretary lazima upite ngazi kama 10 hivi za usekretari na kila ngazi lazima uliwe.
utajuta kusomea usekretari ms
mmekutana wachungaji kanusa moja, mkiwa na njaa mnakula wanyama wenu lkn hula wale wachanga(vitoto vya miezi 2)
ninakusikitikia utakapoanza mafunzo kwa vitendo (field). huko ndiko walimu wa masekretari huwa wanaonesha urijali wao.
wamemnukuu wakati gani? alikuwa wapi na akazungumza hayo"KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEVISUKUMIA MBALI(maili 300) VISIWA VYA ZANZIBAR" Ni kauli ya Mwl Nyerere. Kwa anayeweza asome kitabu cha Towards democratization process in Zanzibar cha Dr Mohamed Bakari. Pia nukuu hiyo inapatikana katika kitabu cha I SAW THE FUTURE AND HOW IT WORKS cha Prof Abdulrahaman Babu.
TUJADILI KWA PAMOJA, ALIKUWA ANA MAANA GANI?
"KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEVISUKUMIA MBALI(maili 300) VISIWA VYA ZANZIBAR" Ni kauli ya Mwl Nyerere. Kwa anayeweza asome kitabu cha Towards democratization process in Zanzibar cha Dr Mohamed Bakari. Pia nukuu hiyo inapatikana katika kitabu cha I SAW THE FUTURE AND HOW IT WORKS cha Prof Abdulrahaman Babu.
TUJADILI KWA PAMOJA, ALIKUWA ANA MAANA GANI?