Kauli Hii Ni Potoshi

Kauli Hii Ni Potoshi

Musalia.jpeg
 
Tunachokijua
Musalia Mudavadi anahudumu kama Prime Cabinet Secretary wa Kenya. Alitoa kauli hii akiielekeza kwa Seneta Edwin Sifuna ambaye nimgombea wa urais katika chama cha The Equitable Party. Chama hecho bado ni changa sana lakini itakapowadia siku ya uchaguzi mkuu, chama hecho kitakua zaidi ya miezi sita.

Hata hivyo, kauli ya Waziri Musalia Mudavadi ni potoshi. Rais haamuliwi na muri wa chama bali idadi ya kura atakazopata kulingana na sheria za kikatiba na tume ya uoigaji kura.
Back
Top Bottom